TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 5,947
- 10,804
Halafu kafupi, kakali kwelikweli, kamesababisha hadi nalichukia tendo la ndoaHuna mwanamke hapo una mwanaharakati. Hamto dumu
Halafu kafupi, kakali kwelikweli, kamesababisha hadi nalichukia tendo la ndoaHuna mwanamke hapo una mwanaharakati. Hamto dumu
Naunga mkono hojaIn law kila kitu ni arguments na critical thinking.... Kitu ambacho wanaume hawataki kusikia.
ndoa halisi ni ile ambayo umempata mume au mke kwa kumwomba Mungu na Mungu akakupatia halisi yake unayefanana naye. ukimpata huyo, ng'ang'ana, kwasababu ni almasi. ila hawa wa kuokotana tu kwa akili za kibinadamu, wanawake wengi huwa wanaolewa kwa kufuata kipato au mafanikio, na kama mwanamke wa aina hiyo akipata kile alichokuwa anakitafuta huwa anaona hakuna haja tena ya ndoa.Nafahamiana na wanawake wengi sana wanasheria, wenye tabia njema na wenye uzuri na mvuto wa kila aina.
Wanawake hawa wengi hawana waume, hata kama wana watoto.
Baadhi walifanikiwa kuingia kwenye taasisi ya ndoa, wengi ndoa zao zikafa, licha wapo wachache zimesimama imara.
Kwanini hali ni tofauti na walimu ambao wengi wao wameolewa na ndoa zao zinadumu sana?
🤣🤣Kama anaweza kukaa na wajinga zaidi ya 100 shuleni atashindwa kukaa na huyo 1 wa nyumbani😀
Kipato mkuu Sasa mwalimu alete jeuri Umsuse na watoto ataishije?Nafahamiana na wanawake wengi sana wanasheria, wenye tabia njema na wenye uzuri na mvuto wa kila aina.
Wanawake hawa wengi hawana waume, hata kama wana watoto.
Baadhi walifanikiwa kuingia kwenye taasisi ya ndoa, wengi ndoa zao zikafa, licha wapo wachache zimesimama imara.
Kwanini hali ni tofauti na walimu ambao wengi wao wameolewa na ndoa zao zinadumu sana?
Ni kweli....yaan ilidumu Miaka mi3 tu mkuuTo yeye njoo uone unasimangwa na mdogo wa Mpwayungu Village
😀😀😀😀
SawasawaMi mwenyewe natafuta mwalim nimuoe
Acha masikhara, ndoa za walimu ni tamu sana, labda kama mume alikuwa hana akili za kuuona utamu wa walimuNi kweli....yaan ilidumu Miaka mi3 tu mkuu
Wewe ndo mjinga 1, wanaume wangekuwa wajinga wangekaa na hao wanasheria pia.Kama anaweza kukaa na wajinga zaidi ya 100 shuleni atashindwa kukaa na huyo 1 wa nyumbani😀
Skamooo😂😂🏃♂️🏃♂️Jichanganye🤒🥴
Umeenda kombo kidogo.Wanawake wanaolea watoto wao vizuri ni walimu.Kipato mkuu Sasa mwalimu alete jeuri Umsuse na watoto ataishije?
Marahaba😉 nimetoka job nipo hoi 🥵Skamooo😂😂🏃♂️🏃♂️
Sahihi KabisaUmeenda kombo kidogo.Wanawake wanaolea watoto wao vizuri ni walimu.