Wanawake wanapenda kudanganywa au kuambiwa ukweli?

umekula SENKSI HAPA!hakuna namna anaweza kutoka droo,NOT ME GEOFF-MPWA ORIJINO

Hahaha! Mtoto kasepa tayari! Jaribu kwa PM sasa. Afu udanganye kiduchu. Inaelekea anapenda kudanganywa.
 
Mimi nasapoti kwani nilishakosa demu hivi hivi kwa kumwambia ukweli tena na ulimsaidia sana. Cha kushangaza akapata mtu ambaye mimi namjua akamwambia yeye mambo safi demu akaingia laini sasa jamaa kumbe choka mbaya sasa ameshazaa na jamaa tena ndo hivyo. Nilimpata demu mmoja juzi mitaa ya Posta kwani nilikuwa natoka Kanisani cha nilipomwona nikamdangaya nina gari ipo gereji nimekuja kudroo pesa kidogo hapa CRDB sasa demu akaingia laini nilipofika maeneo fulani nikalamba kisha nikamwambia kesho aje ofisini nilimdanganya na akaenda kumbe mimi fisi ni mlalahoi tu nina ishi Mbagala. Asante kwa kuleta Topic hii
 
mimi nasapoti kwani nilishakosa demu hivi hivi kwa kumwambia ukweli tena na ulimsaidia sana. Cha kushangaza akapata mtu ambaye mimi namjua akamwambia yeye mambo safi demu akaingia laini sasa jamaa kumbe choka mbaya sasa ameshazaa na jamaa tena ndo hivyo. Nilimpata demu mmoja juzi mitaa ya posta kwani nilikuwa natoka kanisani cha nilipomwona nikamdangaya nina gari ipo gereji nimekuja kudroo pesa kidogo hapa crdb sasa demu akaingia laini nilipofika maeneo fulani nikalamba kisha nikamwambia kesho aje ofisini nilimdanganya na akaenda kumbe mimi fisi ni mlalahoi tu nina ishi mbagala. Asante kwa kuleta topic hii

you are the fake pastor!
 
SEMA ROHO ITULIZANE HATA KAMA HUNIPENDI BORA KUNIDANGANYA ROHO ITULIE.Kumbe aliimba nani vile?
 
Bhayanda,

Dear Sir/Madam,

teh teh teh
Hapo ni kucheza 50 / 50 maana ni lazima umwangalie sana usoni wakati unapo longa naye usidanganye saanaaaaa na usiseme ukweli saaanaaaa lazima vyote uvi balance pasije tokea jambo la aibu huko mbeleni ukashindwa kurekebisha mambo yakitaka kuharibika.

kwa swali lako 70% hupenda kudanganywa na ndivyo wanasema ati wanaridhika moyoni duuuuh hapo tu ndipo wanaponiachaga hoiiiii

tupo
 
Kila mtu aliyeko penzini ana haki ya kudanganywa, kusifiwa na kupewa bichwa na mpenzi wako.
Hebu fikiria mke au mumeo hajawahi kukuambia kuwa umependeza hata mara moja, au mumeo hajawahi kukuambia kuwa wewe ni mzuri, au mkeo hajawahi kukuambia kuwa una akili sana , je utajisikiaje?
 
Kwa kweli mtu yeyote lazima atajisikia vibaya kwa hilo.......kwa mfano siku moja nilihudhuria sherehe moja wakaingia mtu na mkewe,kama kawaida watu wakiingia kwenye ukumbi kama kuna watu mnawafahamu basi mnaenda kuwapa hi!!!

Sasa hapo ndo kimbembe kilipoanza yule bwana akamsalimia dada mmoja akamwambia umepezaaaaa!!! mke akamaind akasema tumetoka wote hukuniambia nimependeza unawaambia watu wengine...leo hapa hakuna sherehe ni turudi nyumbani....yaani ugomvi ulianza wakatia aibu pale,watu wakawatoa nje hakuna kurudi ndani kuharibu sherehe ya watu..........

Kwa iyo hayo mambo yapolazima tujenge taratibu ya kuwasifia wapenzi tusijione kwamba tumewazoea...
 
Back
Top Bottom