Wanawake wanapenda kudanganywa au kuambiwa ukweli?

Hakuna ndoa isiyokuwa na longolongo! Kisa mlokole ndo usimwambie mzuri??!!
Pia kumbuka hata church huwa kuna groups flan za majungu so lazima wasimuliane ya home kwao hapo ndo pabaya!!

Ndoa za walokole na zenyewe zina longolongo?
 
hapa wakija ma JF extremists watasema hii sredi inashabikia uongo iondolewe.
bek to ze topik: no koment so fa
 
Kila mtu aliyeko penzini ana haki ya kudanganywa, kusifiwa na kupewa bichwa na mpenzi wako.
Hebu fikiria mke au mumeo hajawahi kukuambia kuwa umependeza hata mara moja, au mumeo hajawahi kukuambia kuwa wewe ni mzuri, au mkeo hajawahi kukuambia kuwa una akili sana , je utajisikiaje?
Sioni udanganyifu uko wapi katika hayo!!!
Kama hujapendeza akwambie umependeza?
Kama ni mzuri akwambie ni mbaya?
Shda ni kwamba watu tunachukulia kuwa vigezo vya BUJIBUJI NDO VIWE VYA mIKELA...Big No!
Vile utakavyoambiwa au kutokuambiwa na mkeo au mumeo ndo ukweli kwake yeye!

Ndoa inawezekana bila kudanganyana!...Wanaodanganya ni wale wanaofoji aina ya upendo ambao haupo, na wanataka kuishi maisha ambayo siyo ya class yao, kwa nia ya kutaka waonekane wako juu, kumbe wanateseka.!
I hate cheating!
 
Mi nikitokea nyumba ndogo ofisi nzima inanisifu kwa jinsi nlivyopendeza, nikitokea home sijawahi kusifiwa na watu baki hata mara moja.
 
Kwanini mpaka umdanganye amependeza?Siumpendezeshe kweli!

issue ni kwamba unaweza ukamvika mkeo mavazi mazuri tu, lakini umbo lake lisionyeshe ni kwa kiasi gani amependeza!sasa hapo moyo unakuwa mgumu kusema wife umependeza, kwa hali halisi utajilazimisha tu kusema, lakini kiukweli hamna kitu!
 
Sioni udanganyifu uko wapi katika hayo!!!
Kama hujapendeza akwambie umependeza?
Kama ni mzuri akwambie ni mbaya?
Shda ni kwamba watu tunachukulia kuwa vigezo vya BUJIBUJI NDO VIWE VYA mIKELA...Big No!
Vile utakavyoambiwa au kutokuambiwa na mkeo au mumeo ndo ukweli kwake yeye!

Ndoa inawezekana bila kudanganyana!...Wanaodanganya ni wale wanaofoji aina ya upendo ambao haupo, na wanataka kuishi maisha ambayo siyo ya class yao, kwa nia ya kutaka waonekane wako juu, kumbe wanateseka.!
I hate cheating!

PJ sijaona kiboksi cha senksi, ningekugongea mkuu!!!!!!!!!
 
Kusifiwa na kupewa bichwa sawa lakini kudanganywa?? hard to swallow.
 
sio kila nguo nzuri itakupendeza, amini hilo.
Kama uliona ofisinikwako mama kavaa gauni zuri, usitarajie na mkeo litampendeza kwa kiasi kilekile alichopendeza mama wa ofisini kwako.
 
issue ni kwamba unaweza ukamvika mkeo mavazi mazuri tu, lakini umbo lake lisionyeshe ni kwa kiasi gani amependeza!sasa hapo moyo unakuwa mgumu kusema wife umependeza, kwa hali halisi utajilazimisha tu kusema, lakini kiukweli hamna kitu!
Sasa kwanini usimvike yanayoendana na umbo lake mpaka uone kapendeza?Au ndo ile "nimemwona mke wa fulani kapendeza na pedo..na wewe embu vaaga upendeze." wakati mama miguu kama chelewa!
 
mimi sijui mwenzenu nikoje,sipendi kuambiwa nimependeza,kama naona aibu mtu akiniambia hivyo. Na huwa naona sawa tu kama sijaambiwa umependeza.
 
Uongo sio lazima inategemea na wewe umejiwekeje kwa mwenzi wako. Kama anakujua kuwa huwezi kusifia lakini unajua kuwa kapendeza haina shida. Maana kuna wengine wanapitiliza kuna rafiki yangu ukimkuta anamsifia mke wake utafurahi lakini akimwachia sekunde mbili akikutana na msichana njiani atamsifia ile mwisho na ataendelea kumsifia mpaka apate tunda na si mmoja ni wengi. Mambo haya huwa hayana formula eti we koroga kwa kusikiliza formula zilizo work kwa watu wengine.
 
He! Kudanganywa nayo ni haki!!. Kwa taarifa yenu wanawake huwa tunajua ukweli. Tukipendeza tunajua na tukichusha tunajua ingawa wengi wanaochusha wanapotezea. Wanajifanya madisminders.
Wanandoa ni vizuri sometimes kushauriana mvae vipi. Sio unaona mwenzio ameenda chaka unamsifia kiuongo matokeo yake hutaki kuongozana nae kwa aibu.
 
Mtoa mada wewe ni mwongo basi humtendei haki mwenzi wako. Maana nikisema mke wangu umependeza simfananishi na beyonce kuwa lazima ampite ila namfananisha na yeye mwenyewe akiwa amevaa nguo nyingine au kama amesuka namfananisha na yeye mwenyewe akiwa hajasuka ndo namwambia amependeza. Hivyo huwa sidanganyi maana mke wako ana akili sana anajua kuwa hili limetoka kiukweli na likitoka kisanaaa atajua na sasa atakutfsiri kuwa umekuwa mtu wa sanaaa na maana yake huko nje wanakukoma sasa inategemea na action yake kwa hilo.
Ushauri wangu: usidanganye sema ukweli mbona wengine tumezeeka na wake zetu kwa kusema ukweli? na waliojiona kama wewe kuwa lazima wadanganye wako single leo maana uongo una mwisho ukweli ukidhihirika huji renew.
 
Back
Top Bottom