wanawake wanaosema NO, wamekwenda wapi siku hizi?

Situmi kijana wala mzee, mimi mwenyewe ili niamini kama kweli nimeshindwa ila tunakubaliana litakalotokea tunasema hapa
Nimeshakuruhusu,km majibu yatakuwa hapa hapa naomba na mchakato ufanyikie hapa hapa live na mshindi apatikane hapa hapa,hakuna cha pm,wala nn haya anza kumwaga mistari..........!
 
Be careful Cantalisia... Hii ya kufingiana hujenga "unbound Chemistry" inakua utafikiri una kiu cha kukata roho in the long run...
Hahahahahaa Ashadii unaniharibia bhana....Lol!
Umesoma novel moja inaitwa "Nothing lasts forever" ya Sydney Sheldon?
 
Hahahahahaa Ashadii unaniharibia bhana....Lol!
Umesoma novel moja inaitwa "Nothing lasts forever" ya Sydney Sheldon?

Nilikua simsomi kabisa Sydney Sheldon... However kuna vitabu The Voice of Reason ame recommend ndo vipo kwenye list ya kuvitafuta, i will however add hio just in case...
 
Nimeshakuruhusu,km majibu yatakuwa hapa hapa naomba na mchakato ufanyikie hapa hapa live na mshindi apatikane hapa hapa,hakuna cha pm,wala nn haya anza kumwaga mistari..........!
AAAH hii mistari iko protected na Trade Mark bhana kumwaga hapa itarahisisha piracy ya wajamaaa bure.
Hapa tunafanya Declaration then tunakuja kuleta matokeo
 
Nilikua simsomi kabisa Sydney Sheldon... However kuna vitabu The Voice of Reason ame recommend ndo vipo kwenye list ya kuvitafuta, i will however add hio just in case...
Ni kizuri sana ndo kinaongelea hii habari ya wanaume kubet kwamba atampata mwanamke fulani na mwanamke alipogundua kwamba wamebet kwa ajili yake akamkubali jamaa kweli na kama ilivyo kawaida yenu wadada akafall kiukweli
 
Nahisi tunashindwa kuelewa kuwa zamani watu walioana kwa kuchaguliwa na wazazi, mtu alikuwa haowi au kuolewa bila wazazi wake kuridhia kuwa mwoaj/mwolewaji ndiye kweli chaguo lao, so issue za kutongozana hata kama binti angekubali sidhani kama ilikuwa ikijulikana kwani kwa kufanya hivyo kungeweza kumzibia riziki ya kuolewa.

Sasa kwa wakti tulio nao wazazi hawana nafasi tena ya kuwapangia vijana machaguo yao, hivyo kila upande hasa (kwa wasichana), kwa sababu ni free market inabidi wasiringe saana kama ilivyokuwa hapo awali. Na wanaume nao siku hizi si waoaji, unakuta mtu ana machaguo hata matano, kwamba akikataa huyu najaribu kwa huyu, kwa sababu sasa ni dunia huru.

hivyo kwa uono wangu wasichana wengi wanakuwa waoga wa kukataa kwa sababu wanaamini kuwa wakimkosa leo kesho atakuwa keshachukuliwa na mwingine. Siku hizi hakuna cha "NAMWOGOPA BABA" au "TWENDE KWANZA KWA WAZAZI", kwanza wanaume wa siku hizi pia hawapendi longo longo.
 
Ni watu kuacha maadili yao na kukumbatia utandawazi,pia watu wamemsahau Mungu na kushikilia mambo ya dunia,hivyo shetani kuwa kazini zaidi.
 
Ni kizuri sana ndo kinaongelea hii habari ya wanaume kubet kwamba atampata mwanamke fulani na mwanamke alipogundua kwamba wamebet kwa ajili yake akamkubali jamaa kweli na kama ilivyo kawaida yenu wadada akafall kiukweli

Nijaribu iliisha vipi?? Then akampata only to find out he falls for real for the lady.... just when the lady anagundua it was for the bet but not the love for her, anaamua hamtaki tena the guy na kutaka kusepa (or kasepa kweli) then the guy anaanza kujuta na hivo kuanza nguvu mpya ya kum-convince kwamba yes it was true but i came to know the real you and eventually fell in love with you.... But all in all at the end wanakua tena pamoja....

Am i close Musimo jr?? lol
 
hakuna mapenzi ya dhati na ndo maana neno no hulipati, watu wanakubaliana ili tu wapotezee muda no mapenzi
 
hivyo kwa uono wangu wasichana wengi wanakuwa waoga wa kukataa kwa sababu wanaamini kuwa wakimkosa leo kesho atakuwa keshachukuliwa na mwingine. Siku hizi hakuna cha "NAMWOGOPA BABA" au "TWENDE KWANZA KWA WAZAZI", kwanza wanaume wa siku hizi pia hawapendi longo longo.
Hapo nilipoweka rangi ndipo penye maneno
 
Be careful Cantalisia... Hii ya kufingiana hujenga "unbound Chemistry" inakua utafikiri una kiu cha kukata roho in the long run...
kwanza heshima yako dada mkubwa,sio hivyo sisy nilitaka ajue kwamba bado tupo hata siku hizi,kwani bila NO tutawajuaje hawa matapeli?
Tapeli ukimwambia no hawezi kufatilia kwa miezi sita au mwaka kwa vile shida yake ni kuonja tu,
Ila mkweli na mwenye nia hata miaka miwili atakomaa mpaka umkubali na akuoe,
Tatizo wasumbufu wengi wanataka kuonja tu dada,
Nakutakia wikend njema!
 
AAAH hii mistari iko protected na Trade Mark bhana kumwaga hapa itarahisisha piracy ya wajamaaa bure.
Hapa tunafanya Declaration then tunakuja kuleta matokeo
Km hutaki hapa basi na majibu hayana umuhimu wa kuwa hapa!
Mie nataka nikupe vibuti vya mbavu hapa hapa live,ila nimegundua huna uwezo wa kuvivumilia hahahhhh!
Msimamo uko pale pale,nawakilisha wanawake wa siku hizi ambao bado tunasema NO.
 
Hahahahaaa uzuri wa kuwa mwanaume ni kuwa tuna nguvu ya kuvumilia sana, kingine its hard kumjua mtu anayesema ukweli just kwa kutumia muda................i think its better ukaanza kufikiria kipimo kingine cha kumjua mtu real na tapeli (as u called them)

As for our case tutaendelea private na mwisho tutajadili kama matokeo yaje ama la
 
Haaaa haaa,nina vipimo vingi sana sio muda peke yake hicho tu ni kimojawapo,kwavile umeamua kujitoa mhanga ww jaribu then utajua namaanisha ninaposema NO.
 
mtoa mada PAMADAKU PAKO...(masaburi yako)
cz umetoa mada ya kudhalilisha..km umewapata ao panya wako pasi[po kutoa jasho bas ni ao ao haina haja ya kusema wanawake wote

na ukome kufananisha wanawake wenye maadili yao na Hao wauzaji.

kua na adabu
 
Nijaribu iliisha vipi?? Then akampata only to find out he falls for real for the lady.... just when the lady anagundua it was for the bet but not the love for her, anaamua hamtaki tena the guy na kutaka kusepa (or kasepa kweli) then the guy anaanza kujuta na hivo kuanza nguvu mpya ya kum-convince kwamba yes it was true but i came to know the real you and eventually fell in love with you.... But all in all at the end wanakua tena pamoja....

Am i close Musimo jr?? lol

Hahahahaaaa believe me you can be a mwandishi, what u portrayed here is a total different story which could catch the eye of books readers like me and am tellin you i would buy it for any cost.

on this the girl started kuwa mgumu as usual (it was written in the 80's) then by chance before she agreed to be with the guy akajua kwamba jamaa alikuwa ame bet na jamaa kwamba atampata tu. Akaja kumwuliza jamaa jamaa akakubali lakini akasema ni wakati huo alikuwa na mawazo hayo but now he loves her for real and hes not even interested with the money waliyobet.

The girl akafall kwenye hiyo cheap trap akamwambia then nakubali na tuchukue na hiyo hela yao, kweli wakachukua na ndipo hapo the girl akaja kujua kwamba the guy didnt love her but the guy naye akaja kugundua kwamba the girl was pregnant wakati anataka kumdump na the girl akatishia kumpeleka pabaya.

Mwisho inaishia jamaa anampoison yule mdada, the girl anakufa na kesi inaanza.........................
 
pamoja na sababu za kiuchumi,pia wanawake wamekuwa wengiiiiii ckuhz kupita wanaume,angalia hata takwimu za hospitalini wachumba kibao ndo wanazaliwa sasa huo mda wa kusema no wataupata wapi,akidengua mwenzie anakaba fasta
 
Hakuna Ukweli, Usifananishe Enzi za kuandikiana barua na post card na enzi hizi,
Hata gesti sijuhi kama zilikuwepo enzi hizo!
 
Back
Top Bottom