wanawake wanaosema NO, wamekwenda wapi siku hizi?

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Nasikia zamani (maana sikuwepo) kazi ya kutongoza na mpaka mwanamke kukukubalia ilikuwa ngumu kuliko kuomba mkopo benki siku hizi. Sina uhakika sana na sababu za wakati huo lakini inaonekana wanawake walikuwa wagumu sana kusema ndio kwa mwanaume aliyekuwa anamtokea.

Sasa siku hizi, kuna watu wanasema "For women saying no is next to impossible nowadays" Siku hizi ni kawaida kabisa kwa wanawake kuwatongoza wanaume, ni kawaida kabisa siku hizi kwa watu kujikuta wamefanya mapenzi bila kutongozana na mengine mengi.

Sasa maswali yangu ni kwamba,
Imekuwaje kwa NO ya wanawake ile ya zamani?
Kumetokea nini kwa kale ka utaratibu ka wanaume kutoka jasho kwa kumtongoza mwanamke kiasi cha kufikia hata mwaka kabla hajampata.
.........................................................
lets talk.....
 
Dah! Mbona hivyo kijana?
Wapo wanawake tuna misimamo ya kutosha bana.
 
Wambie labda watajilekisha maana cku izi wanaume atupati shida kutongoza mwanamke wa aina yoyote.
 
Mazingira yamebadilika,zamani ilikuwa ni vigumu sana hkuwasiliana tofauti na sasa ambapo njia ya mawasiliano imekuwa rahisi zaidi.

Pia zamani kulikuwa hakuna vishawishi vingi tofauti na sasa kwa mfano zawadi na hata tabaka la waliokuwa nacho na wasiokuwa nacho halikuwa kubwa tofauti na sasa,utaona kuwa mwanamke yeyote siku hizi atataka kuwa na mwanaume mwenye maisha mazuri,nyumba,gari na vitega uchumi mbalimbali wakati zamani ilikuwa tofauti,mtu alikuwa akipimwa kwa tabia njema na bidii yake katika jamii.
 
Hizo zilikuwa ni enzi za mwalimu. Kwahiyo inawezekana iliondoka na azimio la Arusha!
 
hata zamani(na mie sikuwepo) wazazi wote(walioenda shule) walikuwa wanashika namba 1 tu darasani.
 
Dah! Mbona hivyo kijana?
Wapo wanawake tuna misimamo ya kutosha bana.
Najua we una msimamo mama but i was talking about hao wengine ambao hata hawaitaji kutongozwa what happened to them? Teh Teh
 
hata zamani(na mie sikuwepo) wazazi wote(walioenda shule) walikuwa wanashika namba 1 tu darasani.
Hahahahahaaa umenikumbusha ........halafu madingi wote walikuwa wanajua kupigana sijui nani alikuwa anabondwa!
 
Mbona nilitoa topic kuhusu hii kitu kueleza ni why Mwanaume hapati mwanamke wa kumuambia "NO" Check Link (ukipata mda wa utulivu pitia)
 
Mbona nilitoa topic kuhusu hii kitu kueleza ni why Mwanaume hapati mwanamke wa kumuambia "NO" Check Link (ukipata mda wa utulivu pitia)
I wont miss it coz najua lecture unazotoa ni baaab kubwa kama ile uliyotoa kwenye thread ya Mr. President...........
 
nasikia zamani (maana sikuwepo) kazi ya kutongoza na mpaka mwanamke kukukubalia ilikuwa ngumu kuliko kuomba mkopo benki siku hizi. Sina uhakika sana na sababu za wakati huo lakini inaonekana wanawake walikuwa wagumu sana kusema ndio kwa mwanaume aliyekuwa anamtokea.

Sasa siku hizi, kuna watu wanasema "for women saying no is next to impossible nowadays" siku hizi ni kawaida kabisa kwa wanawake kuwatongoza wanaume, ni kawaida kabisa siku hizi kwa watu kujikuta wamefanya mapenzi bila kutongozana na mengine mengi.

Sasa maswali yangu ni kwamba,
imekuwaje kwa no ya wanawake ile ya zamani?
Kumetokea nini kwa kale ka utaratibu ka wanaume kutoka jasho kwa kumtongoza mwanamke kiasi cha kufikia hata mwaka kabla hajampata.
.........................................................
Lets talk.....
kuporomoka kwa uchumi duniani ndio sababu ya yote haya!
 
TRY ME AND FIND THE TRUTH!
Yani nakupa complimentari jaribu uone!au tuma kijana wao atakuletea habari kamili.
Situmi kijana wala mzee, mimi mwenyewe ili niamini kama kweli nimeshindwa ila tunakubaliana litakalotokea tunasema hapa
 
Back
Top Bottom