Hapo nakubaliana na wewe
Achana na Kila kitu mama nimama hakuna Kama mama Kama unaona kijigari na kiofisini bora bac umefilisika kiakili
Hapo nakubaliana na wewe
Wanasema wanawake HAWANA HURUMA , Ila wana UCHUNGU,MEN WANA HURUMA,hata kibiblia wanawake ndio walioleta maasi mengi mfano Eva alipodanganywa Na nyoka,Ayubu aliambiwa na mkewe amtukane mungu ili afe,KICHWA CHA YOHANA KILIKATWA BAADA YA MTOTO WA MFALME kumwomba mama yake ushauri achague zawadi gani, KUZAA MTOTO KWA MWANAMKE NI SAWA NA KWENDA HAJA KUBWA NGUMU TU ,kwa hiyo kubeba mimba siyo issue sana ni mgawanyo tu wa majukumu wapo wanawake ni wabaya kuliko shetani.
what i can say is the same, wanawake wana roho mbaya sana.
Tena kama nyie mlioenda enda shule ndo mna roho mbaya sana. Mnajifanya hamu entertain mambo ya extended family. Hivi unafikiri ulivyonikuta mimi nina kagari na kaofisi unadhani nilidondoka toka mbinguni? leo hutaki kaka zangu wala nani
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.
1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.
Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.
naunga mkono hoja
Mkuu kama unagari na ofisi acha ku ringisha
Basi ..
We unamatatizo yako binafsi unamletea kila mtu .
si useme tu nini kulikoni upewe ushauri kuliko kumwangukia kila mwanamke ..
haha haha, i like it. Hawafai hawa
1. Hebu akangalia mwanamke alivyokutunza miezi tisa tumboni huku akiteseka na masickness kibao.
2. Akapata uchungu mkali wakati anakuzaa.
3. Hakulala usingizi akikubembeleza na kukunyonyesha na kuharibu ujana wake kwa ajili yako!
4. Akifua matapishi na mimavi yako kipindi unajinyea
5. Akakusomesha hadi umekuwa na pesa kidogo, hadi umesahau kila kitu na kuanza kumsemea mbaya MAMA yako ambaye ni Mwanamke!
Wanawake wana roho sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.
1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.
Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.
Mmmh,i wish mama zako wangeiona hii sentence..wewe ni kati ya viumbe wazito wasiojua hata kumshukuru mungu kwakuletwa hapa duniani...hum-appreciate hata mama yako mzazi. Angekuwa na roho mbaya si angekuflash chooni au angekunywea muarobaini ukafa..
Na kama una madada wanalipi baya walilokutendea?? Au una psychological problem..labda umekua kama chokoraa mpka ukaokotwa na mzungu akakulea mpk sasa..Labda katika ukuaji wako hukuwahi ku-experience uwepo wa mama au dada katika maisha yako...otherwise usingesema huo utumbo.
'wanted to arouse female hormones.
succeeded.