Wanawake wana roho mbaya sana

Ukweli upo,lkn si kwa wanawake wote,hasa ktk kizazi cha sasa ambacho hakipendi majukumu ya kifamilia.Pia Mungu ndiye aliyeyafanya hayo ya kwamba mtoto akae tumboni mwa mama.Kama angetaka akae kwa baba ingekuwa hivyo tu. Kwa ni2 tuwe tunalalamika na wanawake/wasichana tu ktk suala la kifamilia kuhusu malezi ya hawa watoto wa kambo na mahousegirl?!!.Kwa hiyo hiyo tabia ipo ila si kwa wanawake wote.Mwanamke kuwa na tumbo la kunitunzia mi2 haimaanishi asiwe na maelewano na wale ambao hawajakaa tumboni mwake!!
 
Pale ambapo sielewi sawasawa ni mwanamke kumchukia mama mkwe wake au wifi yake. Hawa wote ni wanawake, inakuaje hapo?

Tangu lini sifa ya kumpenda au kumchukia mtu ikawa jinsia? Mtu huchukiwa kwa tabia, maneno na matendo yake na si uanamke wake!
 
Ukweli upo,lkn si kwa wanawake wote,hasa ktk kizazi cha sasa ambacho hakipendi majukumu ya kifamilia.Pia Mungu ndiye aliyeyafanya hayo ya kwamba mtoto akae tumboni mwa mama.Kama angetaka akae kwa baba ingekuwa hivyo tu. Kwa ni2 tuwe tunalalamika na wanawake/wasichana tu ktk suala la kifamilia kuhusu malezi ya hawa watoto wa kambo na mahousegirl?!!.Kwa hiyo hiyo tabia ipo ila si kwa wanawake wote.Mwanamke kuwa na tumbo la kunitunzia mi2 haimaanishi asiwe na maelewano na wale ambao hawajakaa tumboni mwake!!
Umenena sawa kabisa kwenye bolded.
Hizo zingine bado nasoma....
 
Mwanamke asiye katili ni yule mwenye undugu wa damu na wewe tu. Mliemuoa, mchumba au unaemgonga sio ndugu kaka! hapo lala jicho moja wazi kila siku....wengi wao vichaa tuu!
Iyo analysis nakubaliana nayo.
 
Signs & symptoms of Schizophrenia are here : DELUTIONS (illogical or bizarre ideas or fantasies), HALLUCINATIONS (sounds in person's mind), DISORGANIZED SPEECH (fragmented thinking, DISORGANISED BEHAVIOUR & NEGATIVE SYMPTOMS. If symptoms persists seek medical advice.


nakubaliana nawe mtoa mada ana severe emotional problem.. Huenda sifa ni za mama yake.!
 
3 wanaume wangapi wanaishi na wakwe zao? Hivi baba wa mkeo akihamia kuishi na wewe hapo ndani, na ajitie faza house utabaki unachekelea? Ukisema una hamu na ugali anamuambia mwanae hakuna kupika ugali usiku, .
Dawa yake ni kumlaza chumba jirani na ninacholala na bintiye, usiku kucha naliza kinanda mwenyewe ataaga.
Nani faza haus?
 
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.

1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.

Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.



Wanawachukia ma housegal wanaliwa na waume zao.......
Wanawchukia Watoto wakambo wanaharibu ndoa zao kwa namna moja au nyingine.........
wanawachukia wakwe wenye tabia za kutaka kuingilia ndoa zao na mipango yao na waume zao.......
Wanawachukia mawifi wanaoingilia maisha yao na kujidai wanataka kaka yao aishi wanavyotaka wao na si anavyotaka mke na mume.....
Mwanamke endelea kuwa ngangari wasije kukupangia nyumbani kwako uishi vipi!!!!!!!!!!!!!!!


Huyo mwanamke Blandina nyoni ni tabia zake tu kama ilivyo kwa baadhi ya wanaume wengine wenye roho mbaya.
 
Very sad! Mie kama mwanamke nimesikitika sana na mtazamo huu, ila najua sana stori za wanaume kutuhusu na hii ni mojawapo, ni mtazamo wa baadhi ya wanaume, hakuna awezaye kuubadili zaidi ya maisha. Ni muhimu sana wasichana ambao hamjaolewa mtumie akili ujejikuta na mume kama huyu.
Wanawake ni viumbe tofauti na wanaume, kwahio kutafuta kuwa na mtazamo mmoja kwenye ishu zote ningumu sana, just let them be.
Sie, individually tujipange kivyetu, seriously.
- kuhusu emotions zetu zinavyoaffect maamuzi
-kuhuhusu jinsi tunavyojipanga kudeal na cheaters and traitors
- jinsi tunavyoshare partners wetu na jumuiya inayotuzunguka
 
Labda nimuulize mtoa mada, je hii ni stori ya jirani, mama yako au mke wako? Au ni mchanganyiko wa matukio toka kwa watu mbalimbali unamjudge nayo mtu mmoja?
 
Hivi wewe Una mama, dada, shangazi, mke, marafiki wa kike, mtoto wa kike je , bibi....

Chunga sana maneno yako mkuu , unadhani
Unatukana wanawake au watoto wa wengine
Umejisahau ya kwamba wamekuzunguka..

At least hata ungesema si wote .. ..
pole AD,wala usikonde,its all about stereotyping!
 
Mwanamke ni mvumilivu na mpole sana, ila akibadilika huwa haangalii nyuma wala anakuwa katili zaidi ya shetwani, na akiamua kufanya jambo baya huwa ha reason, yeye atahakikisha anatimiza hazma yake tu.
 
Si maanishi kuwatusi wanawake, ila wanawake wamekosa kitu fulani kinachohusu reasoning kwenye brain yao, So, mara nyingi wao huenda moja kwa moja kwenye conclusion, huwa wanaruka reasoning kwenye kufanya maamuzi yao, tofauti na wanaume hupitia stages zote kwenye kufanya maamuzi.
 
Ukiona mtu anaanza kuvurumisha matusi mhurumie na msamehe maana uwezo wake wa kufikiri umefikia tamati. Pole
dogo if you feel offended by me!

Una umri gani? umeoa? una wazazi? una madada? uneshawahi kusomesha mtoto wa ndugu yako yeyote yule? Hebu toa hayo majibu then we can takr from there
 
Back
Top Bottom