Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,270
- 8,031
1. Hebu akangalia mwanamke alivyokutunza miezi tisa tumboni huku akiteseka na masickness kibao.
2. Akapata uchungu mkali wakati anakuzaa.
3. Hakulala usingizi akikubembeleza na kukunyonyesha na kuharibu ujana wake kwa ajili yako!
4. Akifua matapishi na mimavi yako kipindi unajinyea
5. Akakusomesha hadi umekuwa na pesa kidogo, hadi umesahau kila kitu na kuanza kumsemea mbaya MAMA yako ambaye ni Mwanamke!
Dada kinachoshangaza kinatokana na magumu anayopitia mwanamke/haya uliyoorodhesha. Lakini inashangaza kuona kuna baadhi ya wanawake japo wanapitia haya yote lakini bado roho zao zina kutu sana.
ninaamini kwa upande wa mawifi ni suala la wivu tu hasa ikiwa kaka anamtunza mkewe kuliko dada zake wanayvotunzwa na waume zao.