Wanawake wana roho mbaya sana

Ni wazi hata kama mtabisha kuwa wanawake wana roho za ajabu hata angekuwa mama yako au yangu. Wote tumelelewa na wanawake tunawajua jinsi walivyo na mapenzi makubwa na viumbe vyao lkn vya wengine hawawahusu. Huu ni ukweli. Kama una mke au mchumba, rafiki chunguza vizuri. Usijifanye umependa sana kiasi kuwa huoni mambo hayo. Hatuna sababu ya kuwachukia kwa jinsi walivyo bali tunazidi kuwapenda ili wawe wnawke wazuri kwa tabia. Kwa maana roho mbaya nia asili yao.

Ni wazi kuwa wanaume wengi hawawaungi wapenzi wao ktk matendo yao maovu vinginevyo dunia isingekalika. Wanaume wengi wanavyofanya ni kuangalia, kusikiliza na kutoa ushauri au kukaa kimya bila kuchukua hatua kwa kile wanachowaeleza. Kila jambo analokueleza mpenzi wako sio ukweli mtupu. Hivyo pima maneno yao kabla ya kuchukua hatua.

Wanaume wengine wakiambiwa kitu mfano: (1) Huyu mdogo wako ana tabia hii au (2) huyu msichana wa kazi ni ................ au (3) Anakuja kukuambia mama yako ananiingilia ktk.................Halafu wnaume wengine walivyo mafala anaanza kuungana na wake zao kuwatimua. Chukua tahadhari na kuwa makini na uwawa-handle jinsi inavyofaa.
 
ndugu zangu,
wanawake wana roho mbaya!! Kama wauza sumu! Hacheni habari zenu eti mama kanizaa ni sawa lakini kwa niliyo shuhudia kwa macho yangu..wanawake wana roho mbaya ata shetani anawaogopa! Ulishawi kuona mama wa kambo wewe! Au mnatetea tu kisa maswala ya jinsia... Sisi kule kwetu ata wachawi wengi wao kama sio wote ni wanawake
kuna mambo wanawake wanafanya hadi dunia inashangaa! Ni wana roho mbayaaaaa!
 
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.

1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.

Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.

haaaah haaah haaah
 
Kama wanawake wana roho mbaya, ni kina nani wanaobaka watu huko DRC as a weapon.
Kama wanawake wana roho mbaya, Joseph Konyi ni mwanamke?
Kama wanawake wana roho mbaya, Bin Laden alikuwa mwanamke?
Kama wanawake wana roho mbaya, umasikini wa Afrika unaosababishwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe ni wanawake ndio wanaopigana?
Kama wanawake wana roho mbaya, al shaabab ni wanawake?
Kama wanawake wana roho mbaya, boko haram ni wanawake?
Kama wanawake wana roho mbaya, mafisadi papa wa TZ ni wanawake?
Kama wanawake wana roho mbaya, Jussa ni mwanamke?

Wanawake are peace loving caring beings. But frusturated like the ***hole aliyeanzisha hii mada na wale wanao support.
Shame on you who disrepect women. Fools!
 
1.
Hebu akangalia mwanamke alivyokutunza miezi tisa tumboni huku akiteseka
na masickness kibao.
2. Akapata uchungu mkali wakati anakuzaa.
3. Hakulala usingizi akikubembeleza na kukunyonyesha na kuharibu ujana
wake kwa ajili yako!
4. Akifua matapishi na mimavi yako kipindi unajinyea
5. Akakusomesha hadi umekuwa na pesa kidogo, hadi umesahau kila kitu na
kuanza kumsemea mbaya MAMA yako ambaye ni Mwanamke!
Hapa ndio hasa roho mbaya yetu inapojidhihirisha. Kilaza sana mtoa mada.
 
Si
maanishi kuwatusi wanawake, ila wanawake wamekosa kitu fulani
kinachohusu reasoning kwenye brain yao, So, mara nyingi wao huenda moja
kwa moja kwenye conclusion, huwa wanaruka reasoning kwenye kufanya
maamuzi yao, tofauti na wanaume hupitia stages zote kwenye kufanya
maamuzi.
Ndio maana wengi ni cheaters only because of reasoning.
 
Si maanishi kuwatusi wanawake, ila wanawake wamekosa kitu fulani kinachohusu reasoning kwenye brain yao, So, mara nyingi wao huenda moja kwa moja kwenye conclusion, huwa wanaruka reasoning kwenye kufanya maamuzi yao, tofauti na wanaume hupitia stages zote kwenye kufanya maamuzi.

kutokana na hii comment yako naweza kuamini kweli afrika inaongozwa na wanawake maana kama viongozi weng wa afrika wangekuwa wanareason tusingekuwa hapa tulipo
 
Hivi wewe Una mama, dada, shangazi, mke, marafiki wa kike, mtoto wa kike je , bibi....

Chunga sana maneno yako mkuu , unadhani
Unatukana wanawake au watoto wa wengine
Umejisahau ya kwamba wamekuzunguka..

At least hata ungesema si wote .. ..
Ukweli unauma,hapo hakuna matusi wala hajatukanwa mwanamke bali ni ukweli kuhusu wanawake including his/her and our family members(girls)!!!
 
Mkuu kama unagari na ofisi acha ku ringisha
Basi ..

We unamatatizo yako binafsi unamletea kila mtu .
si useme tu nini kulikoni upewe ushauri kuliko kumwangukia kila mwanamke ..
Mbona wewe inaonekana kama inakutouch,ukisikia yalaaaaah ujue limekupata aliyelenga ni mwenyeshabaha hakufanya makosa!!!
 
Mbona wewe inaonekana kama inakutouch,ukisikia yalaaaaah ujue limekupata aliyelenga ni mwenyeshabaha hakufanya makosa!!!

kama we unakubali yaliyoandikwa nawaonea huruma wanawake kwenye familia yako..

Nyie ndo wale fuata mkumbo.. Pole mi ni mwanamke na sikubalia na jinsi alivyoaandika
Haya mambo yapo lakini jinsi alivyoelezea amekosea sana.. Na kama unadhani tutakaa
hapa tukubali mambo haya imekula kwako..
 
Ukweli unauma,hapo hakuna matusi wala hajatukanwa mwanamke bali ni ukweli kuhusu wanawake including his/her and our family members(girls)!!!

so sad to see people like you...

don't say our because some of us don't agree with what he said..
so far is your family and his...
 
ndugu zangu,
wanawake wana roho mbaya!! Kama wauza sumu! Hacheni habari zenu eti mama kanizaa ni sawa lakini kwa niliyo shuhudia kwa macho yangu..wanawake wana roho mbaya ata shetani anawaogopa! Ulishawi kuona mama wa kambo wewe! Au mnatetea tu kisa maswala ya jinsia... Sisi kule kwetu ata wachawi wengi wao kama sio wote ni wanawake
kuna mambo wanawake wanafanya hadi dunia inashangaa! Ni wana roho mbayaaaaa!

Asante kaka, watu wengine wao bora wa comment tu. Kuna Mangese mengine yanaweza sababisha ukala ban bure
 
so sad to see people like you...

don't say our because some of us don't agree with what he said..
so far is your family and his...

Halafu kama wewe Afrondezi mtu atakae kuoa atapata tabu sana. If u are already married then sorry on him.
 
Back
Top Bottom