Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,193
aniambie nn sasa na ww, afu usiku wote huu huko chempwapwa hamlali au upo ngomani muda huu?!
khaaa! Tunalala asubuhi.
aniambie nn sasa na ww, afu usiku wote huu huko chempwapwa hamlali au upo ngomani muda huu?!
lol upo bussy na nini bibie? Au upo busy na fesibuku?
khaaa! Tunalala asubuhi.
fesibuku ndio nini!
khaaa! So muda huu mnafanya nn?
lol, huijui fesibuuku?
tunachati jf. We mbona hulali?
siijui hata kidoncho.
mm silali usingizi sina,nawaza tu.
unawaza nini ndugu?
mawazo lol.
mawazo kila mtu ana mawazo,.. Tukikaa tukitembea tuna mawazo... Tukilala tukiamka tuna mawazo... Mawazooo...mawazooooo.
hehehe umekua mrisho mpoto?! Swadakta mawazo yananitesa mie lol.
nishajua unachowaza. Nikwambie?
haya niambie sasa lol.
nipe rushwa niseme.
tiGO RUSHA AU?
nataka hiyo AU.
aah sorry mm situmii tiGO. Ww je?
natumia voda, airtel na zantel.