Wanawake wakiwagomea wanaume itakuwaje???

haaaah haaah mkuu kama masharti ndio haya kuanika strategy hapa jamvini sitaweza, badala ya kupata naweza kukosa, watu wanasubiri waibe mbinu lol.
We kijana Ousofia anakutafuta mkapeane maujanja....hebu fanya chap kumtafuta
 
hapana. Donti go anewea bana, situmiagi ttcl lol sa nifanyaje?
Yan kweli Mpatanishi nawewe mzigo...yan hapo unatapatapa hivyo....binti akisema kitu hutakiwi sina sa ntafanyaje....Komaa tafuta hadi ukipate...shauri yako...utatoswa hadi na Jane matriple Sifuri hahahahaaaaaa
 
Huu mgomo ungeleta maafa!Manake wanaume sisi bana,wengine wasipopata hata siku moja wanapata kifaduro!
 
Yan kweli Mpatanishi nawewe mzigo...yan hapo unatapatapa hivyo....binti akisema kitu hutakiwi sina sa ntafanyaje....Komaa tafuta hadi ukipate...shauri yako...utatoswa hadi na Jane matriple Sifuri hahahahaaaaaa

aaaah mkuu mm ni mmoja tu si unamjua mwenyewe lakini?
 
Back
Top Bottom