Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 9,533
- 14,438
anayemsaidia ni mdada,anapigiwa simu wakati mko pamoja sebuleni,anapokea na kuongea na huyo mdada,mke anasikia sauti ya kike kwa mbali,presha inapanda inashuka.Anavizia mzee amekwenda toilet anachukua simu ya mmewe na kuscroll last number received,anai note,anai set simu yake kwenye sms na kumwandika mama wa watu ujumbe huu:
"Nani wewe unampigia simu mume wangu (anamtaja kwa jina),malaya mkubwa wewe,kwanza una ukimwi,mkome mme wangu...etc etc". Upande wa pili mama wa watu anapokea ujumbe huo wakati yeye ndo anahangaika kwa nia njema kumsaidia jamaa mambo yake ya kodi......just imagine,halafu ni mama mtu mzima ana heshima zake.
Yaani....nimechoka kabisa.
Hapa mzee, Mwanamke alikua na haki ya kuhoji na kutukana hivi ulimwambia kama una mwanamke anakusaidia mambo yako TRA? au uliamua kunyamaza?