MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
wanawake bana,haya.
Shemeji yangu Bishanga, hebu tuwe wakweli hapa, ni nini kilichopelekea siri ya kudaiwa na TRA, asishee na mkewe???
Hebu hiyo nafasi yake ajitoe na kumweka mkewe hapo. Kuwa ni mke ndo mwenye matatizo na TRA kisha mkaka wa TRA akawa anawasiliana naye kwa kumsaidia bila kukujulisha, ungejisikiaje kama mume? Au ndo zile za
1. Mwanaume hapaswi kuonyesha madhaifu yake kwa mwanamke hata kama ni mkewe?
2. Mwanamke katu hawezitafuta ufumbuzi wa matatizo yanayomkabili pasipo kumhusisha mumewe??
Plz