wanawake sa ingine mnajifedhehesha!

:lock1::lock1::lock1: lock lock lock!!!!!!
check hiyo konnie.
 
sijui Bishanga kapigwa na mwiko, mbona kapotea?

njoo mwaya, nakuonea huruma kweli, na huyu mkeo lazima tumchape, yaani kakuharibia japo si sana.

Sasa jipange kwenda kuomba msamaha huyu mbibi wa TRA tu ili aendelee kukusaidia, ila msipigiane simu saa za usiku.
 
sioni tatizo mke kujua assets zangu,kwanza ni vizuri,lakini mishemishe za mjini napataje hela,napitia kona gani,viunzi gani naruka,hiyo simwambii,wanawake hawana muamana bana.
nikuoe wewe nipate wazimu,mtu mwenyewe mgomvi ka nini!

Kuna ukweli mkuu..nakubali
 
pole sana bishanga,
kwa nini mkeo hajiamini?
Ina maana miaka yote mliyoishi pamoja hajakujua tu?
Au umeweka mazingira ya kutoaminika kwa mkeo?

Hebu keti zungumza na mkeo kuhusu swala hilo, na athari alizokusababishia, na wewe kama una mambo chobingo au mazingira ambayo sio aminifu yaache.....

Pole sana
 
BADILI TABIA, tatizo bishanga macho juu juu kama kunguru, wee ona tu eti anamsifia msichana wa kazi 'mzuri'
kwa nini asiseme 'mchapakazi?'
 
Last edited by a moderator:
BADILI TABIA, tatizo bishanga macho juu juu kama kunguru, wee ona tu eti anamsifia msichana wa kazi 'mzuri'
kwa nini asiseme 'mchapakazi?'

hilo nalo neno kongosho....
Au bishanga ana small hausi zake mkewe anazisaka? Dhahama imemuangukia bibi wa tra? Haiwezekani mkewe akurupuke tu kama hakukuwa na 'mazingira ' yasiyoeleweka.....z
 
Last edited by a moderator:
Duuh mimi nawalaumu hao TRA, yaani Bishanga na biashara yako ya ndizi wanakudai kodi mpaka ndoa inatikisika.
 
Pole bishanga, inawezekana hukujijengea uaminifu kwa mkeo tangu awali, humu jf tu pia huaminiki(joke). Jifunze kumshirikisha mkeo hizo mambo yako hata kama si kwa kumtaka ushauri hata kwa kujiongelesha pia si vibaya.
 
Back
Top Bottom