wanawake sa ingine mnajifedhehesha!

anayemsaidia ni mdada,anapigiwa simu wakati mko pamoja sebuleni,anapokea na kuongea na huyo mdada,mke anasikia sauti ya kike kwa mbali,presha inapanda inashuka.Anavizia mzee amekwenda toilet anachukua simu ya mmewe na kuscroll last number received,anai note,anai set simu yake kwenye sms na kumwandika mama wa watu ujumbe huu:
"Nani wewe unampigia simu mume wangu (anamtaja kwa jina),malaya mkubwa wewe,kwanza una ukimwi,mkome mme wangu...etc etc". Upande wa pili mama wa watu anapokea ujumbe huo wakati yeye ndo anahangaika kwa nia njema kumsaidia jamaa mambo yake ya kodi......just imagine,halafu ni mama mtu mzima ana heshima zake.
Yaani....nimechoka kabisa.

Hapa mzee, Mwanamke alikua na haki ya kuhoji na kutukana hivi ulimwambia kama una mwanamke anakusaidia mambo yako TRA? au uliamua kunyamaza?
 
Mzee mwenzangu Bishanga huyo mwanamke atakuwa alishitukia tone of voice ya mume, maana inawezekana haikuwa ya kikazi zaidi, bali mahaba........
Chezea wanawake weye, wana saikolojia ya hali ya juu, japo hawana vyeti vya taaluma hiyo................LOL

Hiki hapa hata mimi huniibii babu Mtambuzi....yani yaniiiiii......TONE OF VOICE inasemaga yote.
 
Last edited by a moderator:
mzima weye Bishanga! kha pole sana kwa huyo ndugu! wivu ndio chachu ya penzi bashaija, lolest!
 
Last edited by a moderator:
hilo nalo neno kongosho....
Au bishanga ana small hausi zake mkewe anazisaka? Dhahama imemuangukia bibi wa tra? Haiwezekani mkewe akurupuke tu kama hakukuwa na 'mazingira ' yasiyoeleweka.....z

Mke mwe.....kuna wanawake vimeo we acha tuu! Kuna watu wana nguvu za kukurupuka bila kujua a wala be,nafikiri huwa ni vipaji aiseee.......ugonjwa mkubwa tulionao wanawake ni KUTOJIAMINI na KUJIHISI!!!!!!
 
Papaa Bishanga mutu mukubwa,mutu ya ndizi pole sana okusanga nini? mawasiliano muhimu katika ngazi yoyote ya mahusiano kufichaficha ishuu zako kumesababisha ahisi una mahawara

Huu ndio ule ugonjwa niliousema.......yaani hisia zake badala ya kudili na mumewe anaemvulia ch.upi anaenda kumtukana mwanamke mwenzie si ugonjwa wa akili huo!!!!!
 
yummy,
kama mumeo mtulivu unaweza kukurupuka? unless uwe na nature ya ukorofi

Mke mwe.....kuna wanawake vimeo we acha tuu! Kuna watu wana nguvu za kukurupuka bila kujua a wala be,nafikiri huwa ni vipaji aiseee.......ugonjwa mkubwa tulionao wanawake ni KUTOJIAMINI na KUJIHISI!!!!!!
 
yummy, kama mumeo mtulivu unaweza kukurupuka? unless uwe na nature ya ukorofi
BADILI TABIA hivi dunia ya sasa kuna wanaume watulivu eee???hebu nitonye pakuwapatia(natamani kweli nikumbane nao) well,tuachane na hili.
Kamwe sitakurupuka kama namuamini mume wangu lakini hata pale nitakapohisi kuwa mambo hayaendi sawa siwezi vile vile kuanza kupurukushana na simu yake na kuanza kumtusi mtu nisiemjua wala kujua kwa undani uhusiano wao. Cha kwanza ningefanya utafiti na kupata uhakika wa kila kitu(ni mtaalamu kidogo pande hizo)hapo ndio ningemuuliza muhusika mkuu ambae ni mume wangu na sio huyo bibie wa TRA..........LOL:tongue: hata ingebidi tubebane mpaka kwa huyo bibie sawa lakini matusi hayasaidii.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga una mambo wewe huyo mwanamke umemtoa wapi weye wa kukuliza maswali kama hayo???

Maana mie najua mama koku mliachana sasa huyo mpango wa kando anaona wivu wa nini???

Mzima lakini wewe..........
 
Huyo jamaa yako naye kwa nini anataka mbinu mbinu za kukwepa kodi? ndo maana sirikale haina pesa!
 
BADILI TABIA hivi dunia ya sasa kuna wanaume watulivu eee???hebu nitonye pakuwapatia(natamani kweli nikumbane nao) well,tuachane na hili.
Kamwe sitakurupuka kama namuamini mume wangu lakini hata pale nitakapohisi kuwa mambo hayaendi sawa siwezi vile vile kuanza kupurukushana na simu yake na kuanza kumtusi mtu nisiemjua wala kujua kwa undani uhusiano wao. Cha kwanza ningefanya utafiti na kupata uhakika wa kila kitu(ni mtaalamu kidogo pande hizo)hapo ndio ningemuuliza muhusika mkuu ambae ni mume wangu na sio huyo bibie wa TRA..........LOL:tongue: hata ingebidi tubebane mpaka kwa huyo bibie sawa lakini matusi hayasaidii.

safi sana Yummy
 
Last edited by a moderator:
shida iko kwako na sio mkeo na hili linawaangusha wanaume wengi sana,Simpendi mwanaume mwenye mishemishe zisizoeleweka.
sio mwaminifu kama wewe Bishanga kwanini mkeo akuwekee quotation mark mimi mume wngu hata apokee cm usiku wa saa tisa wla sishtuki.namwamini na ananiamini sana mambo mengi hata ya siri kubwa ananiambia naninamshauru its becaus I'M HIS BEST FRIEND !!!!!!IS YOUR WIFE YO BEST FRIEND Bishanga???????????ila kama ni mwanamke wa uswahilini chunga siri zako usimwambie bora ufe nazo!
 
Nivea hapo kwenye red ulimaanisha nini?????????????
 
BADILI TABIA hivi dunia ya sasa kuna wanaume watulivu eee???hebu nitonye pakuwapatia(natamani kweli nikumbane nao) well,tuachane na hili.
Kamwe sitakurupuka kama namuamini mume wangu lakini hata pale nitakapohisi kuwa mambo hayaendi sawa siwezi vile vile kuanza kupurukushana na simu yake na kuanza kumtusi mtu nisiemjua wala kujua kwa undani uhusiano wao. Cha kwanza ningefanya utafiti na kupata uhakika wa kila kitu(ni mtaalamu kidogo pande hizo)hapo ndio ningemuuliza muhusika mkuu ambae ni mume wangu na sio huyo bibie wa TRA..........LOL:tongue: hata ingebidi tubebane mpaka kwa huyo bibie sawa lakini matusi hayasaidii.

Yummy wanaume watulivu wapo, mmoja katika elfu moja....
 
Last edited by a moderator:
Hawatoshiki bro cjui ni tamaa dada zangu badiliken inafikia wakati tuamua kuwa single kwa 7 hizo!
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom