wanawake ni kama pesa..

Hahahaha unajua hapa sijakuelewa ulitaka uongelee nini haswa?
nachomaanisha ni kwamba, wanawake wengine hupenda kuwa na mwanaume ambaye yuko committed kwingine ili matumizi yake madogo madogo yawe met, lakini pia asibanwe/asigandwe ili awe free kujichanganya na wengine, especially wale wanaojali wallet zenu kuliko nyie wenyewe. umenielewa mpwa?
 
Suala zima hapa ni kwa nini umeshakuwa na mahusiano halafu ukubali mahusiano mengine! Hebu tujichunguze, lazima tutakuwa na walakini! Yawezekana tumegeuka wanyama, twaendeshwa na hisia na si utashi wa nafsi yetu!
 
Unajua usikute wanasimuliana na aliyesimuliwa nae anataka atest zali
 
kama nina mama kjjn na nahitaji kuongea nae je? halafu hawa wanawake wakuomba vitu kama credoo nao khaa, natamani niwape semina wawe wanawabomu viwanja na magari...

hahaaa lil!!! ukiwa tayari kutoa semina ----venue ntaprovaidi mimi
 
hahaaaaa machali yalinicheza tena bora ningekuja, nawaacha mzichabange weeee mkiwa chakari nawasachi nasepa!!! teh teh!!!
FYI wapwa wakiwa tungi wanakuwa makini kuliko wakiwa sober. Vinanda kwa wingi na Memory Card haiingii virus! Muulize ZD kama unabisha. Alilewa banta jana wakati wapwa tunasokomeza ulabu na kusokomezea na njiwa.
 
mlilewa wote fidel muulize tuktuk yake imelala wapi?? ilimshinda jana
 
hahaaaaa machali yalinicheza tena bora ningekuja, nawaacha mzichabange weeee mkiwa chakari nawasachi nasepa!!! teh teh!!!
Hahahaa,Bht hujipendi? wapwa wapo makini hao ni balaa.Yani bora hata usiwe na begi kubwa,wanasechi kama umebeba glasi.
 
Hahahaa,Bht hujipendi? wapwa wapo makini hao ni balaa.Yani bora hata usiwe na begi kubwa,wanasechi kama umebeba glasi.

usiniambie!!!! loh baraaaaaaaaaa hiyo!! eti ulilewa nanihiii ni kweli Xpin ndo kasema lakini...
 
usiniambie!!!! loh baraaaaaaaaaa hiyo!! eti ulilewa nanihiii ni kweli Xpin ndo kasema lakini...

Ndio kasema hivo? Nililewa mapenzi sio kinywaji,si unajua shemejio ninavompenda.Ila naomba mwambie asitoe siri za ndani tena.
 
Ndio kasema hivo? Nililewa mapenzi sio kinywaji,si unajua shemejio ninavompenda.Ila naomba mwambie asitoe siri za ndani tena.

Baeleze mamaa! Banta, dare ze moa! Hahaha! Leo mchumba hata hujanisalimia, tabia gani umeanza?
 
Back
Top Bottom