wanawake ni kama pesa..

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,837
wanasema pesa humfuata mwenye pesa..
huwezi kupata pesa nyingi bila kuwa na pesa japo kidogo sio...
mimi katika experience yangu naona na wanawake
hivyohivyo....
ukiwa single mda mrefu inakuwa ngumu
kupata mwanamke....
but ukiwa kwenye relationship na mwanamke mmoja...
ndo kama umewaambia vile....wakufuate.
utashangaa wanavyokuwa easy kwako....
yaani ukitaka kupata bahati ya wanawake..
kwanza chukua mmoja....
sijui ni nini but wanawake huwa wanapenda mwanaume
mwenye mwanamke tayari...i mean hata kama hajui
kama unae....atavutiwa tu na wewe...
but kama upo single ni tofauti....
wanaume wote waliooa,huwa wanashangaa kuona
bahati zao zinaongezeka baada ya kuoa...

mimi niliwahi kukaa single kwa miezi mitatu.....
nilipoanza kutafuta mwanamke wa kunifaa
nilisumbuka wiki tatu....
nilipompata niliemtaka.one week later nilikuwa
nina wengine kama wanne wako pending....wananisikilizia
women bana....
 
Mkuu ngoja nilifanyie kazi hili. Ambacho najua ni kwamba ukianza mahusiano mapya wale wa zilipendwa utafikiri wanaambizana wote wanarudi na kutaka kurudisha mahusiano au angalau kukumbushia. Na hii ina apply pande zote si kwa wanawake tu
 
kabisa kabisa....
mi naona wanawake hasa wanakuwa
wanavutiwa na mwanaume mwenye mwanamke tayari
sijui kwa nini??
 
Hata na wanaume nao wanavutiwa na mwanamke mwenye mchumba/mume tayari.
Ila mie naona ni utovu wa nidhamu na kutojiheshimu kumtaka mtu ambaye ana mpenzi tayari.
 
wanasema pesa humfuata mwenye pesa..
huwezi kupata pesa nyingi bila kuwa na pesa japo kidogo sio...
mimi katika experience yangu naona na wanawake
hivyohivyo....
ukiwa single mda mrefu inakuwa ngumu
kupata mwanamke....
but ukiwa kwenye relationship na mwanamke mmoja...
ndo kama umewaambia vile....wakufuate.
utashangaa wanavyokuwa easy kwako....
yaani ukitaka kupata bahati ya wanawake..
kwanza chukua mmoja....
sijui ni nini but wanawake huwa wanapenda mwanaume
mwenye mwanamke tayari...i mean hata kama hajui
kama unae....atavutiwa tu na wewe...
but kama upo single ni tofauti....
wanaume wote waliooa,huwa wanashangaa kuona
bahati zao zinaongezeka baada ya kuoa...

mimi niliwahi kukaa single kwa miezi mitatu.....
nilipoanza kutafuta mwanamke wa kunifaa
nilisumbuka wiki tatu....
nilipompata niliemtaka.one week later nilikuwa
nina wengine kama wanne wako pending....wananisikilizia
women bana....
uko sahihi sana mkuu!
SINA COMMENTS HAPA
 
The boss ah hah ha ha, ndio maana mimi sitoki ngoja nitafute hata wa geresha ili nami nipate pumziko la moyo. Aksante kwa ushauri.
 
Hata na wanaume nao wanavutiwa na mwanamke mwenye mchumba/mume tayari.
Ila mie naona ni utovu wa nidhamu na kutojiheshimu kumtaka mtu ambaye ana mpenzi tayari.
...Tunajaribu kutafuta maeneo yenye gharama nafuu. Unajua ukipata demu ana mchumba au mume wake lazima mahitaji mengi atakuwa anamrekebishia wewe utakuwa unatoa vocha tu za buku buku!! akili mukichwa wajameni.....
 
Kwa mtindo huu ndio maana ukimwi hauishiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!
 
Hata na wanaume nao wanavutiwa na mwanamke mwenye mchumba/mume tayari.
Ila mie naona ni utovu wa nidhamu na kutojiheshimu kumtaka mtu ambaye ana mpenzi tayari.

U said it well!
Wanaume ndio wamezidi kabisaaaaaaaaa.Wakiona mtu engaged tayari ndio wanamuona mzuri wakati yupo single walikuwa hawamuoni.Hovyo!
 
...Tunajaribu kutafuta maeneo yenye gharama nafuu. Unajua ukipata demu ana mchumba au mume wake lazima mahitaji mengi atakuwa anamrekebishia wewe utakuwa unatoa vocha tu za buku buku!! akili mukichwa wajameni.....

mhh, mke/mchumba wa mtu ashawishike kwa credoo ya buku?..
 
The boss ah hah ha ha, ndio maana mimi sitoki ngoja nitafute hata wa geresha ili nami nipate pumziko la moyo. Aksante kwa ushauri.

kumbe umenidump!!! OMG!! haya its all gud!!! tafuta wa kuegeshea ili uwavutie wengine according to prinsipo ya boss
 
U said it well!
Wanaume ndio wamezidi kabisaaaaaaaaa.Wakiona mtu engaged tayari ndio wanamuona mzuri wakati yupo single walikuwa hawamuoni.Hovyo!

ZD si waharibifu!!! ndo zao wanataka kutafuniwa wameze tu sasa imekula kwenu

ZD, lilyflower FL Pretty mwendo wetu ule ule....lets do our bit!!
 
mhh, mke/mchumba wa mtu ashawishike kwa credoo ya buku?..
Usishangae bibie haya mambo yapo na tunaya experinced....Sio kwamba kakupenda kwa sababu ya vocha ya buku ila jamaa kasema yani kwa kua gharama nyingine kuna mtu anamaliza so we kutuma vocha tuu ukijisikia!!
 
Ya ngapi inatosha?

cjui zinawatoshaga ngapi coz mie mambo ya credo najihudumia mwenyewe kutokana na mawasiliano yangu yalivyo, sasa hiyo buku kwa kweli mhh, haya ndio mnawa2mia hiyo buku then mnalalama kwamba mna2ma lakini hawawacal, sasa utamcal vipi m2 na credo ya buku na c ajabu yeye alivyokuomba ana mawacliano yake ya muhimu na wa2 wengine...ahh
 
Usishangae bibie haya mambo yapo na tunaya experinced....Sio kwamba kakupenda kwa sababu ya vocha ya buku ila jamaa kasema yani kwa kua gharama nyingine kuna mtu anamaliza so we kutuma vocha tuu ukijisikia!!

kama mr/mchumba ananihudumia nitakavyo kwanini nishawishike na wewe muharibifu? mana huna lingine zaidi ya kuniharibia, na najiulizaga jamani hao wanawake wenu mnawapatiaga wapi jamani? mbona wapo kama hawajitambui kabisa.
 
Back
Top Bottom