lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 403
Zamani nilijua wanaume ndio tunajisogeza na kusimama nyuma ya wanawake ili tu kugusa makalio yao na sehemu zetu za siri na kuna wanaume ambao walikuwa wanamaliza kabisa haja zao palepale wakati amesimama nyuma ya mwanamke.
Siku hizi mambo yamekuwa vice versa ambapo mfano kwenye mabasi ya Mwendokasi mwanamke anaweza ingia ndani na kuna sehemu kubwa tu ya kusimama bila kubanana lakini utashangaa anasimama mbele yako huku akisugua sugua makalio yake kwenye sehemu za siri za mwanaume.
Iliwahi nitokea hii, kuna siku mdada mmoja alipandia kituo cha njiani cha mwendokasi ila alipoingia tu akaniwekea makalio yake kwa mbele huku akijisugulisha makalio yake kwa mzee Abdallah kichwa wazi.
Nilikuwa nahitajidi sana kumkwepa na ilifika point nikamwambia dada samahani simama vizuri mana unanilalia ndo akasimama straight baada ya kujishtukia na kugundua kwamba mimi sio mzee wa zile pigo.
Nyumbani nina mke napata chululuu kila ninapohitaji isipokuwa tu zile siku ambazo mke wangu anaingia mwezini sasa ukijaribu kunishawishi kwa staili ile ni ngumu sana kushawishika, kuna wakati mwanamke anaweza hisi labda jogoo hapandi mtungi kumbe nyumbani una mke na sio mgeni wa papuchi.
Je wewe mdau ushawahi kutana na changamoto kama hii kwenye usafiri wa umma?
===
Pia soma: Kwa video hii, mwendokasi uwe na sehemu tofauti ya wanawake na wanaume