Wanawake, Mkijipodoa sana mnatutisha... Ebo!

Hivi hii tabia ya wanawake kutembea na vipodozi kwenye mikoba yao inaashiria nini?
Ki ujumla mimi sikubaliani nayo kabisa,maana unakuta mtu ametoka nyumbani na ashakaa kwenye dressing table zaidi ya saa moja akijipamba tu.
Kama ni mafuta kashajipaka manukato kashajipulizia kila idara lakini bado akitoka anabeba hivyo vitu tena kwenye mkoba wake.
Tabia hii wanayo sana wanawake malaya ki ukweli nikimwona mwanamke kwenye daladala/kwenye gari yake anajipaka paka lip sticks huwa mimi namwona ni wale wale tu!
Ebu tujiulize kwani haiwezekani ukajiandaa vya kutosha ukiwa nyumbani na ukitoka umetoka?
Au ni zana za kujiweka katika hali ya kawaida baada ya kuchepuka?
Mbona first lady wetu akiwa kwenye majukumu yake ya kila siku hafungui begi kujipodoa tena?
Tunaulizana tu msipaniki kama ikikugusa!
 
mmh ilo nalo neno.... ila wengine zinawai ku-melt na joto la dar ukipanda public transport mpaka ufike kila kitu kimefulutika!!!!
 
Hivi hii tabia ya wanawake kutembea na vipodozi kwenye mikoba yao inaashiria nini?
Ki ujumla mimi sikubaliani nayo kabisa,maana unakuta mtu ametoka nyumbani na ashakaa kwenye dressing table zaidi ya saa moja akijipamba tu.
Kama ni mafuta kashajipaka manukato kashajipulizia kila idara lakini bado akitoka anabeba hivyo vitu tena kwenye mkoba wake.
Tabia hii wanayo sana wanawake malaya ki ukweli nikimwona mwanamke kwenye daladala/kwenye gari yake anajipaka paka lip sticks huwa mimi namwona ni wale wale tu!
Ebu tujiulize kwani haiwezekani ukajiandaa vya kutosha ukiwa nyumbani na ukitoka umetoka?
Au ni zana za kujiweka katika hali ya kawaida baada ya kuchepuka?
Mbona first lady wetu akiwa kwenye majukumu yake ya kila siku hafungui begi kujipodoa tena?
Tunaulizana tu msipaniki kama ikikugusa!

Una mke wewe?
 
Acha tujipodoe kwa raha zetu ndo mana tukaubwa wanawake that why unaona hivo.vitu acha nature zetu zishape zenyewe ndo mana kutembea na.vipodozi kwa mwanamke ni jambo la kawaida sana mwanamke urembo babu eeh.hasa ukiwa mrembo hafu kujiremba haihusishi malaya point of correction eti ma..ya haihu..
 
Sasa umalaya na kujiremba wapi na wapi? Ungekuwa unatokwa na hedhi na kubeba mimba na kuzaa kwa uchungu ungeelewa.

Waache wajiweke vizuri, we inakupunguzia nini? Kama unawaonea wivu na wewe jirembe
 
Hebu sometimes tuacheni tupumue jamani kwani tatizo liko wapi?Kila mtu na maisha alivyojipangia aishi sasa ukianza kufatilia mambo ya watu hautakaa uishi maisha yako
 
Sasa umalaya na kujiremba wapi na wapi? Ungekuwa unatokwa na hedhi na kubeba mimba na kuzaa kwa uchungu ungeelewa.

Waache wajiweke vizuri, we inakupunguzia nini? Kama unawaonea wivu na wewe jirembe

Ili upate jibu nijuwe we ni me au ke?
 
Kwani lazima uhamishie duka la vipodozi kwenye mkoba wako?
Jipodoleeni nyumbani

Mi hujipodoa kwaajili ya mme wangu, akiwa hayupo nakua kawaida akiwepo teh lazima lakin kawaida kidogo
 
Back
Top Bottom