Wanawake, Mkijipodoa sana mnatutisha... Ebo!

ukweli mdada akijipara sana vipodozi anatisha unaweza ukahisi umekutana na changudoa wa casino. Mfano kwenye kope wanaweka make- up iliyofanana na gaun au blauz aliyovaa,wanja juu,lips anapaka lipshine akimechisha na soli ya kiatu au kiatu chenyewe,vikuku kibao miguun utafikiri muuza tigo,mikononi mibangili kibweeena kama 50 hv ya kila rangi,masikion matundu ma4 na yote kaninginiza heren kubwa ka mmasai,mapoooouuuda! kibao, tabu tupu.
 
du nikajua huwa natishika peke angu kumbe wengi.sasa hivi ni mwendo wakuwagopa.pambafu zao
 
Hahaaaa! Mkuu Gagurito umenivunja mbavu.... Unajua hawa viumbe ni pasua kichwa kweli, unaweza kukutana na mdada yuko natural tu ukampenda, hujawa naye hata miezi miwili unashangaa ameanza kujikoboa na kujisiliba kama hana akili nzuri!!
 
Hahaaaa! Mkuu Gagurito umenivunja mbavu.... Unajua hawa viumbe ni pasua kichwa kweli, unaweza kukutana na mdada yuko natural tu ukampenda, hujawa naye hata miezi miwili unashangaa ameanza kujikoboa na kujisiliba kama hana akili nzuri!!
<br />
<br />
Hahahahahahaa! WANATUTISHA KWELI HAWA WATU.
 
Body ikigongwa gongwa inahitaji 'puty' ili inyooke. Ila 'puty' ikizidi body inachukiza zaidi. Nimeeleweka?
 
kuna vile virangi vyao wanapaka mdomoni utadhani ametoka kula nyama za watu.yaani siwezi thubutu kumsogelea anibusu.halafu nyusi wazinyoa harafu wanapaka midude ya rangi tofauti ka ma** ya kuku.mwingine unakuta mashavu mekunduu yameiva ka jipu linalokalibia kupasuka sijui wenyewe wanakuwa wamepaka nini.halafu mwenyewee ndo anaona kapendezaa.tpuuuu...!!.mia

mhh umetuchamba babu...aya bana NITAACHA .
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa hata hamjui mnachokitaka wasipojiremba mnawafungia macho
 
Kuna wengine kweli wanatisha....utakuta mtu kajipodoa mpaka ukimwangalia usoni ni kama vile ngozi yake haina uhai (maiti!). Mwanamke akiwa natural anapendeza zaidi (na kwa kweli ni sustainable approach kuliko hiyo ya kujibadili)!
 
Dah!! Kuna mdada mmoja nilimuona town nyusi zake amezichonga sijui ndio mnasema kuchonga na wembe halafu kapaka wanja yaani alikuwa anafanana na yule JOKER wa kwenye movie ya BATMAN
 
kwanza akijikwatua sana mwanamke kaa nae mbali maana ukimsalimia kwa kum-hug anaweza kukuletea msala wa marangi kwenye shati ..

hivi jamani wanawake mna ulazima gani kujipaka milangi hadi kutisha??? hamjiamniniau unaongeza nini hasa maana kama u muri hata ukijipaka majivu watakuona tu
 
kweli kaka,kuna wengine hujikandika mpk akitembea vinabanduka na kuanguka vyenyewe!
 
mimi nafikiria kuanzisha kiwanda cha nywele tu...

wapendeze au kutisha shauri yao
muhimu wanilipe pesa na urembo wao...
 
eti wanajipaka marangi rangi Hahaaa... Msubirie gal wako ameshajiremba then mwambie hivyo...kama hapajachimbika hadharan.By the way me nawakubali sana wale wadada wananyoa unga (yaani nywele ndogo ndogo tu).
 
Ukiona mwanamke kajilemba sana ujue mashine yake mbovu ata akikamulia limao na madawa y kichina yanadunda.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom