Wanawake, Mkijipodoa sana mnatutisha... Ebo!

Moderator uzi wangu huu wa jana mmeunganisha na huu uzi wa 2011 ni upuuzi mkubwa tena sana
Topic:wanawake kijipodoa podoa ovyo ni tabia ya kimalaya!
Jipangeni acheni ujinga uzi huu na wangu ulikuwa na maudhui tofautikabisa
Na kama bunge la mwaka juzi na la mwaka huu tunatumia uzi mmoja fanyeni hivyo ili jf tusianzishe tena uzi za bunge aisee nyie ni mangifi kweli!
 
Last edited by a moderator:
Kuna colleague wangu mmoja nilimshauri apunguze hayo majitu na makucha ya kubandika aisee alininunia mwezi mzima..
 
Kuna mdada nilimuimbisha siku moja .Siku hiyo alikua simple halafu anavutia ..lahaula! kesho ya akaja kapaka masizi(make up) uso na kwenye macho na midomo mekunduu hata hata hamu ya kumpiga busu ilipotea na kuanzia siku hiyo hamu naye sina
 
alikuwa hivi
nail.jpeg
 
Uko right Mwanajamii ukiwaendekeza hawa viumbe utakuwa kichaa! Nafikiri ni muda muafaka mwanamke kufanya vitu kwa ajili yako mwenyewe (be urself), utashangaa sana ukiwa hivyo unakuwa more attractive!
Ukiwaendekeza sana hawa viumbe, nmh hawaridhiki siku zote!

Siri moja ni kwamba wanavalue sana kitu wanachokihangaikia, ukiwaplease sana they get bored easily fast! If u feel like kujipodoa, do it for urself msimamo wako is more attractive to them kuliko unatural wako! Wakigundua u do everything for them, u cease to be a challenge na watakutake for granted!

Ni mtizamo ulikuwa so much influenced by my experience!
Hapo red ndo ugonjwa wangu. Msumbufu nampenda sana. Akinidharau namfatilia sana ila ikitokea akubali furaha inapita kifani.
 
Niliwahi kuangua kicheko cha ghafla nanihii yangu alipotoka chumbani, mi nilikua sebuleni hahahahhhahahahha sijui alipaka poda kopo zima manake duh!
 
ni hatari mpoki aliwambia ni nani yule! jioni ile alionekana kama binti sasa bahati mbaya kutana nae asubuhi .mmmhhh
 
haaaaaa unatafuta kupigwa :banplease: shauri yako ngoja waje wakusikie hii kitu hapa
Moderator uzi wangu huu wa jana mmeunganisha na huu uzi wa 2011 ni upuuzi mkubwa tena sana
Topic:wanawake kijipodoa podoa ovyo ni tabia ya kimalaya!
Jipangeni acheni ujinga uzi huu na wangu ulikuwa na maudhui tofautikabisa
Na kama bunge la mwaka juzi na la mwaka huu tunatumia uzi mmoja fanyeni hivyo ili jf tusianzishe tena uzi za bunge aisee nyie ni mangifi kweli!
 
Sasa umalaya na kujiremba wapi na wapi? Ungekuwa unatokwa na hedhi na kubeba mimba na kuzaa kwa uchungu ungeelewa.

Waache wajiweke vizuri, we inakupunguzia nini? Kama unawaonea wivu na wewe jirembe

hahahaaaaa nmecheka sana ' nawewe jirembe"
 
[QUOmTE=Mtambuzi;2495053]@AshaDii........ Siku ukisikia kuna Shajara za Ulimbwende, nakuomba uende ukaangalie jinsi Wanyange walivyojisiriba vipodozi na Lebasi mwili mzima, yaani utadhani ni waganga wa Maruhani...............[/QUOTE]
Hahahahaaa mtambuzi umenichekesha sana.
 
Imebainika kwamba wanawake wanaojiremba sana usoni kwa rangi za midomo zenye kuonekana sana, na vipodozi vingine vikiwemo vile vya kope za macho, huwatisha wanaume badala ya kuwafurahisha au kuwavutia...Tatizo la wanawake kujipodoa sana usoni linatokana na kutojiamini kwa wanawake hao.
nakubaliana na wewe mkuu, na kama mwanaume unatakiwa uwe na uwezo wa kujenga confo la mwanamke wako, kile kinachokuvutia mwambie na msifie, usichopenda mwambie kwa upendo na hatarudia, tatizo mahusiano mengi siku hizi watu hawako huru kujielezea, mwanamke anaishia kuweka effort kukufurahisha kumbe wewe wala hauko huko, wanaume wakiwa wazi tangia mwanzoni inaepusha unnecessary cost. Interest za wanaume zimepishana unampata mtu ambaye nyuma alikuwa na boyfriend anayependa au asiyejali vitu hivyo so anaassume na wewe haujali kumbe unateseka. Kwa mfano mimi sipendi mawigi kabisa, na bahati mwenzangu alikuwa hatumii sikukumbuka kusema baada ya mwaka akanifanyia surprise, sikuweza kujizuia nilimwambia kabisa sipendi mawig akaenda kuvua na ajavaa tena labda kama anavaa wakati sipo mie sijui, ila imemsaidia afahamu vizuri kuwa napenda style zake za nywele na nina notice changes. Mwanamke kujaribu vitu vipya ni nature yake, ila wewe mwanaume ndio unatakiwa kuwa mwazi maana sio vyote utavichukia kuna vingine utavipenda. Kama mwanamke anakupenda atakusikiliza tu.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom