Wanawake, Mkijipodoa sana mnatutisha... Ebo!

kama anataka kuja kurudishia makeups baadae tena kuna shida gani akizibeba?zingine haziwezi kukaa asubui hadi jioni,mfano unaweza ukala na lip stick isikae tena kama ilivyokuwa mwanzo?embu mtuache tupumue,msitufananishe na hao mnaowanunua
 
Acha kulazimisha mambo kwa fikra zako mlegezo....kujiremba ni umalaya???huko nyumban umeanza kuelimisha hili ulilolileta humu??

Elimu hii nimeanzia kwangu kabla ya kuiweka hapa
Kujiremba sio umalaya..lakini kufanya hilo zoezi ovyo ovyo ni dalili za tabia ya umalaya hilo kataa lakini ndio ilivyo.
 
Sijawahi ona Mwanamke anajipaka wanja kwenye Daladala ni mageni kwangu mara nyingi uwa ni washroom na hata mimi uwa natembea na basics kwenye mkoba kama ni umalaya basi nimekubuhu
 
Sijawahi ona Mwanamke anajipaka wanja kwenye Daladala ni mageni kwangu mara nyingi uwa ni washroom na hata mimi uwa natembea na basics kwenye mkoba kama ni umalaya basi nimekubuhu

Ndo nashangaa mana sijawahi ona how come aseme malaya wanaume wengine bwana
 
Acha tu tujipodoee tu sio wanawake ndio sisi wengine mafisii ,hadi k tunazipodoa siku hizii zinarembua mwee!!

Podoeni kila mlicho nacho ni haki yenu kimsingi ila inapendeza zaidi kuchaguwa na sehemu sahihi ya kufanyia zoezi hili!!huo ndio ukweli.
 
mmh ilo nalo neno.... ila wengine zinawai ku-melt na joto la dar ukipanda public transport mpaka ufike kila kitu kimefulutika!!!!

sasa hapo siatanuka maana joto limesha vivundisha alivyopaka toka nyumbani tena apake vingine bila hata kuoga mbona hatareee
 
Kibo10 we ndo wale wadunguaji wa kwenye daladala nisujipake hata lipshine kisa nitatafsrika vingine kwenye begi langu ninapotoka kuna foundation, lipshine,spray, bodylotioni,wanja,na vikorombwezo kibao urembo ukipungua naongeza
 
Last edited by a moderator:
Hujui maana uwe una uliza kabla hujaanza kuropokwa.....!!!mtoto mdogo akiagizwa dukan na mtu aliyemzidi umri akakataa,unamuitaje???

Usitafute maana ya umalaya kwa kunilazimishia majibu mdomoni kwangu,hiyo niliyokueleza ndio maana yake neno "adabu"linamaana pana inategemea unalitumia wapi na kwa maana gani.
 
Usitafute maana ya umalaya kwa kunilazimishia majibu mdomoni kwangu,hiyo niliyokueleza ndio maana yake neno "adabu"linamaana pana inategemea unalitumia wapi na kwa maana gani.

Basi wewe ni malaya namba moja.....umekosa adabu kwa generalise mambo.
 
Kibo10 we ndo wale wadunguaji wa kwenye daladala nisujipake hata lipshine kisa nitatafsrika vingine kwenye begi langu ninapotoka kuna foundation, lipshine,spray, bodylotioni,wanja,na vikorombwezo kibao urembo ukipungua naongeza

Na tafsiri hizi zipo kweli uwe makini ipo siku utapataniwa bei"ooh!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom