Wanawake CHADEMA wamshukia Tendwa

iwe zaidi ya kuita press confrence. ingieni front mkawatetee na kusikiliza shida za wanawake wanawake sehemu za vijijini na kuwashawishi wanawake wengi zaidi wawaunge mkono. hata hivyo ni mwanzo mzuri!
 
Hili suala la tendwa huwa nalifananisha na refa anaechezasha mpira huku akionyesha dhahiri anashabikia timu flani ambapo hata hiyo timu ikishinda bila kupendelewa hakuna mtu atakaeamini kama hajaipendelea kwa hiyo moja kwa moja hili linaonyesha Arumeru democrasia kwa vitendo na haki kwa vyama vingine ni ngumu sana kutendeka
 
Hili suala la tendwa huwa nalifananisha na refa anaechezasha mpira huku akionyesha dhahiri anashabikia timu flani ambapo hata hiyo timu ikishinda bila kupendelewa hakuna mtu atakaeamini kama hajaipendelea kwa hiyo moja kwa moja hili linaonyesha Arumeru democrasia kwa vitendo na haki kwa vyama vingine ni ngumu sana kutendeka...
 
Back
Top Bottom