lord atkin
Senior Member
- Sep 30, 2018
- 197
- 683
Kwa mujibu wa Sheria ya vyama vya siasa Sifa za kuwa mwanachama wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa umri kuanzia miaka 18 na Pia Sifa za kuwa kiongozi wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa na umri usiopungua miaka 21. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 6 na 10A cha Sheria ya vyama vya siasa.
Chama cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwakusanya watoto wadogo chamani chini ya mwamvuli wa Chipukizi na kuwapatia Uongozi katika umri huo mdogo kinakiuka sheria iliyo wazi ya vyama vya siasa.
Ni wakati sasa rungu la msajili wa vyama vya siasa kukishukia Chama hiki cha CCM.