Wanawake ambao hawajaolewa: Kukaa bila mume kuna madhara yoyote?

Mtoto anapokosa malezi ya mzazi wa jinsia moja huwa si kitu kizuri katika akili na makuzi yake...........pia haya maaamuzi ya kuamua kuishi pekee yako huwa ni ya kibinafsi (selfishness) na huwa yanafanywa kwa kuangalia nafsi yako tu na si maendeleo na future ya mtoto.........tofauti na watu wengi mnavyodhania ndoa si kwajiri ya burudani......ndoa ni kwaajiri ya watoto na familia tu.....hayo mengine ni mbwembwe.......siku ulipokubali kutoa nguo mbele ya mwanaume sijui ulikuwa unawaza nini maana lile tendo mbali na kwamba ni starehe ila ni tendo lenye maana isiyo husika na starehe bali ni tendo takatifu lenye malengo ya kuwaleta watu wawili pamoja kuunda familia...........sasa wewe unafanya halafu mtoto anakuja unaanza kuongea upumbavu wa kutaka kuishi pekee yako.......kama ulilijua hilo mapema usingethubutu kumuachia mwanaume atupie kiumbe humo ndani......maana unamleta mtoto duniani kuja kupata shida za kisaikoloji yote kwasababu unajifikiria nafsi yako pekee yako.............ila hata sikulaumu........watoto wa kike miaka hii wengi wenu m'mekosa role model wa kuwashape character zenu.........wengi mnaiga role models wa kwenye mitandao ya kijamii na wanawake wanaoigiza kwenye filamu za Hollywood na hata hapa afrika . Ila mnasahau kuwa wengi wao hayo maisha si halisi au wanapreach kitu wasicho practise ..........leo mwanamke kama joyce kiria anaweza kukujaza maneno negative kuwa wanaume wakizingua komaa pekee yako ila yeye unamuona kila siku anavyopigania ndoa yake isisambaratike...........beyonce anaimba "to the left" "i am a survival" na nyimbo nyinginezo ambazo zinahasisha wanawake kutokujali mahusiano au hata kukomaa bila mwanaume ila yeye kutwa kucha yupo ubavuni mwa Jay zee........... jlo naye hivyo hivyo kutwa kuandika nyimbo zenye mlengo wa kuhamasisha wanawake wasiwe wavumilivu katika mahusiano yao ila yeye kutwa nzima kuhangaika na viserengeti boys.............mwisho wa siku swali la kujiuliza ni kwamba kama umeamua kuishi pekee yako bila mwanaume kisa umeconclude kuwa wote wapo sawa,je....umetembea na wanaume wote ukawamaliza na kujiaminisha kuwa wote wanafanana basi wewe ni kahaba uliyekubuhu maana iweje wanaume wote wakutende kama si wewe ndiye unakasoro ya tabia au unajisahau unapokuwa nao............mwisho wa siku ipo clear na wazi hakuna mwanaume ambaye anataka kuishi bila mwanamke pia hakuna mwanamke anataka kuishi haya maisha bila mwanaume.......tatizo huwa tunavijitabia vya kutokuwa makini linapokuja swala la kuwa na uhusiano wa kudumu.........kama ni mwanaume basi atakuwa anatafuta mwanamke wa kugegeda, kumchezea mwili wake tu bila kujali kuwa huyo anayemchezea ni mama yake mtu na mke wa mtu siku zijazo.......hadi maruhani ya ujana yatakapomwisha ........na wasichana wakishajijua wanamvuto hata wa asilimia 20% tu basi ataweka standards za juu mno za kuchuja wanaume na mbaya zaidi huwa hizo standards haziapply katika baraza la mapenzi ya kweli.....au utakuta kujihami kunazidi anakataa wanaume wa level zake anakuja kushikishwa ujauzito na mume wa mtu au konda au dereva wa boda boda ambaye huwa anakuja ule wakati mwanamke amejisahau na misimamo yake ya insecurity sasa haya yote huzalisha jamii ya vijana wasio kubaliana wanawake wanasena wanaume ndio chanzo wanaume wanasema wanawake ndio tatizo.......
 
Kuolewa kwa mwanamke ni lazima na ndo heshima ya mwanamke yeyote duniani, leo hii mama clinton labda asingeweza kufika hapo alipo bila support ya mume, na kwenye ndoa hata zamani za wazazi na bibi zetu mwanamke ndoa ilikuwa siyo kwa ajili ya furaha ya mke ilikuwa kwa ajili ya kumfurahisha mume na kuzaa watoto tu, ndo maana walidumu hawakutaka kulinganisha kama sisi.
Mtoto cute shy umeongea bonge la point hadi nimekutaka hapa.......mmtizame kwanza so cute.....
 
tulishapotezana muda sana....niliona nitakufa kwa pressure aisee.
Kuwa specific ......pressure zinatokana na mambo gani anayofanya maana si kila pressure unasababishiwa zingine za kujitakia........watoto wa kike wa siku hizi matatizo mnapoyatafuta huwa masikio yanawasimama hamsikilizi mtu mkizinguliwa wanaume wote tunaitwa wakorofi.......
 
Back
Top Bottom