Wanawake ambao hawajaolewa: Kukaa bila mume kuna madhara yoyote?

Maisha ni mtindo ambao unajiamulia kuishi mwenyewe na kuwa na furaha usikilize mtu wala kumuangalia mtu ishi maisha ambayo utakuwa na furaha na amani
Kama umeolewa na kuna mikasa ndoani basi nikwambie hakuna ndoa isiyo na mushkeri unachotakiwa jiangalie wewe kwanza wewe wa zamani na sasa hivi kuna tofauti gani ujirekebishe
Pili kaa na mwenzio ongea kwa furaha sio kukalipiana na mahasira
duuh...wewe utakuwa pro pesa.no, i mean "professor". well said!!
 
Mie nipo peke yangu miaka 16 sasa maisha yanasonga na mwanangu shule kama kawaida ,kikubwa ni kujiamini tu .
Uyo mtoto ulimpataje...? Basi kaa ukijua mwanao kashakosa muelekeo kwa kumkosa babaye.... Mama anakuwa mlezi na Baba anakuwa muendesha familia .... Labda utuambie kujiamini huko unakozungumzia wew nikupi ?

Sent from mTalk
 
Mtoto anapokosa malezi ya mzazi wa jinsia moja huwa si kitu kizuri katika akili na makuzi yake...........pia haya maaamuzi ya kuamua kuishi pekee yako huwa ni ya kibinafsi (selfishness) na huwa yanafanywa kwa kuangalia nafsi yako tu na si maendeleo na future ya mtoto.........tofauti na watu wengi mnavyodhania ndoa si kwajiri ya burudani......ndoa ni kwaajiri ya watoto na familia tu.....hayo mengine ni mbwembwe.......siku ulipokubali kutoa nguo mbele ya mwanaume sijui ulikuwa unawaza nini maana lile tendo mbali na kwamba ni starehe ila ni tendo lenye maana isiyo husika na starehe bali ni tendo takatifu lenye malengo ya kuwaleta watu wawili pamoja kuunda familia...........sasa wewe unafanya halafu mtoto anakuja unaanza kuongea upumbavu wa kutaka kuishi pekee yako.......kama ulilijua hilo mapema usingethubutu kumuachia mwanaume atupie kiumbe humo ndani......maana unamleta mtoto duniani kuja kupata shida za kisaikoloji yote kwasababu unajifikiria nafsi yako pekee yako.............ila hata sikulaumu........watoto wa kike miaka hii wengi wenu m'mekosa role model wa kuwashape character zenu.........wengi mnaiga role models wa kwenye mitandao ya kijamii na wanawake wanaoigiza kwenye filamu za Hollywood na hata hapa afrika . Ila mnasahau kuwa wengi wao hayo maisha si halisi au wanapreach kitu wasicho practise ..........leo mwanamke kama joyce kiria anaweza kukujaza maneno negative kuwa wanaume wakizingua komaa pekee yako ila yeye unamuona kila siku anavyopigania ndoa yake isisambaratike...........beyonce anaimba "to the left" "i am a survival" na nyimbo nyinginezo ambazo zinahasisha wanawake kutokujali mahusiano au hata kukomaa bila mwanaume ila yeye kutwa kucha yupo ubavuni mwa Jay zee........... jlo naye hivyo hivyo kutwa kuandika nyimbo zenye mlengo wa kuhamasisha wanawake wasiwe wavumilivu katika mahusiano yao ila yeye kutwa nzima kuhangaika na viserengeti boys.............mwisho wa siku swali la kujiuliza ni kwamba kama umeamua kuishi pekee yako bila mwanaume kisa umeconclude kuwa wote wapo sawa,je....umetembea na wanaume wote ukawamaliza na kujiaminisha kuwa wote wanafanana basi wewe ni kahaba uliyekubuhu maana iweje wanaume wote wakutende kama si wewe ndiye unakasoro ya tabia au unajisahau unapokuwa nao............mwisho wa siku ipo clear na wazi hakuna mwanaume ambaye anataka kuishi bila mwanamke pia hakuna mwanamke anataka kuishi haya maisha bila mwanaume.......tatizo huwa tunavijitabia vya kutokuwa makini linapokuja swala la kuwa na uhusiano wa kudumu.........kama ni mwanaume basi atakuwa anatafuta mwanamke wa kugegeda, kumchezea mwili wake tu bila kujali kuwa huyo anayemchezea ni mama yake mtu na mke wa mtu siku zijazo.......hadi maruhani ya ujana yatakapomwisha ........na wasichana wakishajijua wanamvuto hata wa asilimia 20% tu basi ataweka standards za juu mno za kuchuja wanaume na mbaya zaidi huwa hizo standards haziapply katika baraza la mapenzi ya kweli.....au utakuta kujihami kunazidi anakataa wanaume wa level zake anakuja kushikishwa ujauzito na mume wa mtu au konda au dereva wa boda boda ambaye huwa anakuja ule wakati mwanamke amejisahau na misimamo yake ya insecurity sasa haya yote huzalisha jamii ya vijana wasio kubaliana wanawake wanasena wanaume ndio chanzo wanaume wanasema wanawake ndio tatizo.......
Umenisuuza roho ....
7GDcwJq.jpg

Sent from mTalk
 
Mengine nikujipa moyo lakni umri kama unaruhusu fanya hivyo changamoto ya maisha ya single uwezi kuyapata kwenye janvi hili bali wengi wataficha matatizo

laiti ungejua moto niliopitia...tena usinlize baba.Bt asante kwa ushauri
 
My dear unadhani kuna binadamu anapenda kuishi peke yake basi!! Ni hizi dhahama za dunia ndizo zinapelekea huko maana mambo tafrani.

Kuna wakati utatamani tu angekuwepo mwenzako japo umshirikishe tu kitu fulani,akuliwaze,n.k

Kila maamuzi unayoyafanya yana faida na hasara zake, so ni wewe tu kupima upande unaoona utakufaa.
Hii mada umenikumbuka zamani miaka ya 90 huko nikiwa darasa la tatu. Kile kitabu cha Kiswahili kuna sura ilikuwa inamhusu Sungura ikiitwa "SIZITAKI MBICHI HIZI"...

Ukiona mtu mume au mtu mke anaponda suala zima la ndoa ujue kwake pia, ndoa imeshakuwa" MBICHI HIZI "... Anyway nisiseme mengi, hii mada ni ya akina dada /mama.

Ila umetoa mwongozo mzuri. Ukweli ni kwamba, hakuna binadamu asiyehitaji mwenza. Nyingine zote ni ajali za kimaisha tu.
 
Kuolewa kwa mwanamke ni lazima na ndo heshima ya mwanamke yeyote duniani, leo hii mama clinton labda asingeweza kufika hapo alipo bila support ya mume, na kwenye ndoa hata zamani za wazazi na bibi zetu mwanamke ndoa ilikuwa siyo kwa ajili ya furaha ya mke ilikuwa kwa ajili ya kumfurahisha mume na kuzaa watoto tu, ndo maana walidumu hawakutaka kulinganisha kama sisi.
Waambie hao mabinti wa kidigitali. Kuolewa ni sheria kuzaa ni majaliwa.
 
Back
Top Bottom