Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,221
- 28,666
Habari wapendwa?
Samahani, nataka kupata 'experience' toka kwenu wanawake wenzangu ambao huenda mmezaa hajaolewa au hujazaa ila hujaolewa. Hivi kukaa kwenu hivo bila mume mmeona kuna madhara yeyote?
Coz the way mapenzi yanavozingua mi binafsi naanza kuona bora niishi mwenyewe na mwanangu na maisha yaendelee.
Wenye uzoefu tafadhali.