Wanawake ambao hawajaolewa: Kukaa bila mume kuna madhara yoyote?

Mtoto anahitaji malezi ya pande zote mbili asikudanganye mtu malezi ya mtoto sio kitu cha mchezo mchezo tu
Nimefanya research ndogo isiyo rasmi, nimegundua wengi wa wasichana waliolelewa katika familia zisizokuwa na baba/mwanaume (kama kiongozi wa familia) ni ngumu sana kudumu kwenye ndoa/mahusiano yao.

Hii ni kwakuwa wengi wao hawajui "role", mamlaka na mipaka baina yao na wanaume. Wanapenda kuishi kama walivyokuwa wakiishi na mama zao.

Wengi wao ndoa hawaziwezi. Mwisho wake wanaishia kuachika na kuwa single parents.
 
Mkwanja utapata tu mumy usijali kikubwa jitume usikate tamaa komaa mpaka kieleweke usikae bureee, huku ukimtanguliza mungu katika kila hatua upigayo na kumbuka yeye hachelewi wala hawai hivo don't give up ukikosa leo jua kesho utapata!
Huyo Mungu unayemshirikisha kwenye hiyo shirki yako ndiye aliyemuumba mume, kisha akamfanyia mke, ili waishi wawili. Leo unamshauri mwenzio aishi peke yake, halafu hapo hapo unamshirikisha na Mungu. Huo si ni sawa na Ushirikina?
 
nafunga na kuomba nisipate nyege wala kisimi kisisimame
Ukifunga na kuomba, unamuomba Mungu yupi? Mungu huyuhuyu aliyemuumba Adamu na Eva waishi pamoja, au mwingine wa kisasa aliyemuumba Eva na Everine ili wasagane..?

Huu si Ushirikina jamani?
 
Joto la mwenzi wako lina raha yake atiiiiiii! usikae peko yake labda kuwe na sababu za msingi eg. amefariki au amesafiri
 
Maisha ni wewe mwenyewe unavyoamua yaweje, na furaha iko mikononi mwako mwenyewe, usitegemee kuna mtu atatoka huko atokako kuja kukupa wewe furaha, kama unahisi mfumo wa maisha ulionao unakukosesha furaha ni bora ukatafuta njia mbadala unayohisi itakupa furaha, maisha mafupi,kwanini uishi na stress lol
 
Maisha ni wewe mwenyewe unavyoamua yaweje, na furaha iko mikononi mwako mwenyewe, usitegemee kuna mtu atatoka huko atokako kuja kukupa wewe furaha, kama unahisi mfumo wa maisha ulionao unakukosesha furaha ni bora ukatafuta njia mbadala unayohisi itakupa furaha, maisha mafupi,kwanini uishi na stress lol

Asante mine,b blessed.....ndo najaribu kuzichanga na zangu.
 
Back
Top Bottom