Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,446
raha ipo tena sana, ila sio ya kulazimisha shosti kuishi kwa matumaini mchezo?
Hapo watu huwa wanazilazimisha raha huku wakiishi kwa matumaini
raha ipo tena sana, ila sio ya kulazimisha shosti kuishi kwa matumaini mchezo?
kwan ndugu umeuliza kuwa ndio tabia yake kuomba msaada?Lazima mwanamke ajifunze kusimama peke yake siku zote
Mbona gari kanunua bila kumtegemea mwanaume?
Huyo jamaa aliye msaidia atamsaidia vyote sasa
yy huyo mumewe akiwa na shida haombi msaada?
ndoa gan ss iyo wakat wa shida mnakimbiana, si mliahid kuwa pa1 kwenye shida na raha uko ni kukwepa majukumu yako.
upuuzi mtupu .yaani niishi kwa matumaini kisa wese? daladala zimeisha? je bajaji? je bodaboda? je punda? wanawake wengi wanaishia kujiuza kisa tu waonekane wanadrive
mtu anakuwa na wanaume kibao kisa gari
switi wa mafuta.
honey wa service
darling wa leseni
angel wa insurance nk nk
huyo jamaa yako yuko right kabisa ukinunua gari ujue na jinsi ya kulihudumia maana sio kitu cha muhimu sana hiyo ni luxury thing.kama huna huwezo achaaaaaaaaaaaaaa.
wanaume wa jf someni hii thread,na kwa sababu muhusika yupo humu basi ujumbe wake utakuwa umemfikia. Wiki ilopita kulikuwa na kauhaba ka mafuta ambako hakakuchukua siku nyingi, nikiwa njiani narudi kazini alinipigia simu dada mmoja ambaye tunafahamiana naye pamoja na mumewe akiniomba nimsaidie sababu gari lake halina mafuta, na yupo somewhere Morogoro road akiwa anatokea kazini na sheli za karibu hazikuwa na mafuta.
Nikapitia kumnunulia sheli moja nilipata taarifa kuwa inauza mafuta na ndipo nilipompelekea sehemu alipo na kumkuta mwenye majonzi lakini alijitahidi kutabasamu baada ya kuniona na baada ya kumuwekea mafuta nilimuuliza mumewe aliko akajibu kwa unyonge yupo kazini!
Nikamuuliza tena kwa nini usimwambie kwa kuwa hapa ni karibu na ofisini kwake dada machozi yakaaza kumtoka nikaamua nimuache aende!
Baada ya siku chache nilimpigia kumuuliza akaniambia shemeji, naishi bila matumaini bora ya mgonjwa wa ukimwi! Akasema kuwa siku ile alimueleza mumewe tatizo hilo akamjibu" kwa hiyo.......unataka nikusaidiaje.....kwani mimi nauza mafuta ya gari???
Kama uliweza kununua gari iweje ushindwe kulihudumia, kwanza mimi nina kazi zangu ofisini sina muda .........dada akaamua akate simu maana angeendelea kumsikiliza angemuumiza maana maneno yaliyokuwa yanatoka kwa mumewe wa ndoa ni makali.
Najiuliza hivi sisi wanaume hawa wadada wa watu huwa tunawaoa ili kuwakomoa? Au hatujui maana ya ndoa? Au ni ushamba? Utoto? Au ni ukatili tu tunaamua kuwafanyia?
alitaka amwambie nani amsaidie kama si mumewe? why jamani tunakuwa wakatili hivi?? aghhhhhhhhh
Hebu wanaume wenye hekima jf tusaidiane kumshauri mwenzetu naona hajielewi na haelewi majukumu yake.

Yaani hapa nahisi mmemiss point nzima! Huyu dada hajalia kwa sababu hajanunuliwa mafuta, angeweza hata kupigia driver taxi akamuambia niletee 10 lts ntakupa hela ukifika. Tatizo kulikuwa na shida ya mafuta, sasa amdekee nani? Raha ya kupendwa iko wapi yarabi?! Hajasema kama hana hela ya mafuta, mafuta yalikuwa ya shida! Hivi mkeo kila akikwama kitu akampigia simu kaka yake utajiskia mwanaume bado? Aisee, kweli uanaume kazi!
Loh ndoa hii lazima
1. Wamechokana
2. Wakati wa tukio kulikuwa na jiugomvi
3. Nyumba ndogo inahusika.
Pole dada ila kuna wanaume wenye majibu ya kuumiza!

kwan ndugu umeuliza kuwa ndio tabia yake kuomba msaada?
yy huyo mumewe akiwa na shida haombi msaada?
ndoa gan ss iyo wakat wa shida mnakimbiana, si mliahid kuwa pa1 kwenye shida na raha uko ni kukwepa majukumu yako.
Wakati wa kununua gari alisema atalimudu kila kitu iweje sasa kuombana msaada wa mafuta wkt alisema atalimudu?
upuuzi mtupu .yaani niishi kwa matumaini kisa wese? daladala zimeisha? je bajaji? je bodaboda? je punda? wanawake wengi wanaishia kujiuza kisa tu waonekane wanadrive
mtu anakuwa na wanaume kibao kisa gari
switi wa mafuta.
honey wa service
darling wa leseni
angel wa insurance nk nk
huyo jamaa yako yuko right kabisa ukinunua gari ujue na jinsi ya kulihudumia maana sio kitu cha muhimu sana hiyo ni luxury thing.kama huna huwezo achaaaaaaaaaaaaaa.
mkuu mie ndo nilifanya hivyo'ina maana unamwonea sana huruma mke wangu au kuna lingine
Hapa kuna zaidi ya mafuta ya gari,
Laiti huyo bi dada angekuwa karibu tumwombe atupe hints muhimu za hiyo movie yao!!

me cant u .