Wanaume wote wa JF someni hii,mmoja wenu ndo kafanya haya

Huyo mwanamke anaonesha hana adabu hata chembe;

1) Ilikuwa haina haja yeye kukuagiza wewe mafuta kama mumewe kisha jibizana nae (hayo ni mambo yao). Alikuwa anamuonesha mumewe kuwa anauwezo wa kuyapata mafuta? au alikuwa anakupa wewe "green light" lakini ukawa hujijui?

2) Ilikuwa haina haja kabisa ya kujidai kujiliza, alikuwa anataka "sympathy"?

3) Alikuwa hana haja kabisa ya kukuelezea mambo yake na mumewe, walipooana walikushauri wewe? mambo yake ilikuwa anatakiwa ayamalize na mumewe.

Kwa mtazamo wangu, huyo manamke ana yake na haihusiani na mumewe. Na wewe ni pia si mtu wa maana kwani mambo kama haya ya kutongozana kwenu usingeyaleta jamvini. Hamna cha mafuta wala ufuta ni m'washo tu.

baaaaaaaaaaaaasssiii!!
 
Anchekesha na Kunshangaza....
 
mtaona lini anadrive ? Na miwani ya tinted avalie wapi? Inahuuuuu

Sasa ukitaka kuonekana si ndo inabidi ujiandae na wese na service na shida zote...
Unanunua gari ukitegemea hela ya wese itatoka kwenye mfuko wa mtu mwingine... Mh!:shock:
 
Huyo mwanamke anaonesha hana adabu hata chembe;

1) Ilikuwa haina haja yeye kukuagiza wewe mafuta kama mumewe kisha jibizana nae (hayo ni mambo yao). Alikuwa anamuonesha mumewe kuwa anauwezo wa kuyapata mafuta? au alikuwa anakupa wewe "green light" lakini ukawa hujijui?

2) Ilikuwa haina haja kabisa ya kujidai kujiliza, alikuwa anataka "sympathy"?

3) Alikuwa hana haja kabisa ya kukuelezea mambo yake na mumewe, walipooana walikushauri wewe? mambo yake ilikuwa anatakiwa ayamalize na mumewe.

Kwa mtazamo wangu, huyo manamke ana yake na haihusiani na mumewe. Na wewe ni pia si mtu wa maana kwani mambo kama haya ya kutongozana kwenu usingeyaleta jamvini. Hamna cha mafuta wala ufuta ni m'washo tu.

exactly....:poa
FF umemaliza yote!
 
wanaume wa jf someni hii thread,na kwa sababu muhusika yupo humu basi ujumbe wake utakuwa umemfikia. Wiki ilopita kulikuwa na kauhaba ka mafuta ambako hakakuchukua siku nyingi, nikiwa njiani narudi kazini alinipigia simu dada mmoja ambaye tunafahamiana naye pamoja na mumewe akiniomba nimsaidie sababu gari lake halina mafuta, na yupo somewhere Morogoro road akiwa anatokea kazini na sheli za karibu hazikuwa na mafuta.

Nikapitia kumnunulia sheli moja nilipata taarifa kuwa inauza mafuta na ndipo nilipompelekea sehemu alipo na kumkuta mwenye majonzi lakini alijitahidi kutabasamu baada ya kuniona na baada ya kumuwekea mafuta nilimuuliza mumewe aliko akajibu kwa unyonge yupo kazini!

Nikamuuliza tena kwa nini usimwambie kwa kuwa hapa ni karibu na ofisini kwake dada machozi yakaaza kumtoka nikaamua nimuache aende!

Baada ya siku chache nilimpigia kumuuliza akaniambia shemeji, naishi bila matumaini bora ya mgonjwa wa ukimwi! Akasema kuwa siku ile alimueleza mumewe tatizo hilo akamjibu" kwa hiyo.......unataka nikusaidiaje.....kwani mimi nauza mafuta ya gari???

Kama uliweza kununua gari iweje ushindwe kulihudumia, kwanza mimi nina kazi zangu ofisini sina muda .........dada akaamua akate simu maana angeendelea kumsikiliza angemuumiza maana maneno yaliyokuwa yanatoka kwa mumewe wa ndoa ni makali.

Najiuliza hivi sisi wanaume hawa wadada wa watu huwa tunawaoa ili kuwakomoa? Au hatujui maana ya ndoa? Au ni ushamba? Utoto? Au ni ukatili tu tunaamua kuwafanyia?

alitaka amwambie nani amsaidie kama si mumewe? why jamani tunakuwa wakatili hivi?? aghhhhhhhhh

Hebu wanaume wenye hekima jf tusaidiane kumshauri mwenzetu naona hajielewi na haelewi majukumu yake.
Hivi kutafuta au kuweka mafuta kwenye gari nalo ni jukumu la mwanaume?
 
Huyo mwanamke anaonesha hana adabu hata chembe;

1) Ilikuwa haina haja yeye kukuagiza wewe mafuta kama mumewe kisha jibizana nae (hayo ni mambo yao). Alikuwa anamuonesha mumewe kuwa anauwezo wa kuyapata mafuta? au alikuwa anakupa wewe "green light" lakini ukawa hujijui?

2) Ilikuwa haina haja kabisa ya kujidai kujiliza, alikuwa anataka "sympathy"?

3) Alikuwa hana haja kabisa ya kukuelezea mambo yake na mumewe, walipooana walikushauri wewe? mambo yake ilikuwa anatakiwa ayamalize na mumewe.

Kwa mtazamo wangu, huyo manamke ana yake na haihusiani na mumewe. Na wewe ni pia si mtu wa maana kwani mambo kama haya ya kutongozana kwenu usingeyaleta jamvini. Hamna cha mafuta wala ufuta ni m'washo tu.

Hapo kweli wanchekesha haswaaaaaa vidada vinavyo olewa kipindi hiki cha JK akiwa madarakani havina nidhamu kama hiki.
 
Gari si alijinunulia na hakuomba msaada iweje mafuta aombe msaada?

Looks like wewe wahusika! Nilivyoelewa mimi, vituo vingi havikuwa na mafuta na sio mdada hakuwa na pesa! Wanaume nmh!!!!
 
Ukorofi tu wa baadhi ya wanaume.Pole kwa mdada.Wanaume kama hao ndio hutoa nafasi kwa wake zao kuwaa mengine.
 
"...what a bitching disrespecting slut!!! yaani mambo yetu ya ndani anakuja kukuambia wewe.... daaaaaym!!! ataniona!! sa' ni mangapi anayowaambia mashosto wake iwapo jambo kama hili amekuja kufanya umbeya nawe mwanamme mzima??!!! aarrrgh umeniharibia siku yangu kabisa weye na huyo rafiki yako! haikuwa na haja ya kuyaongelea haya hapa... ulifikiri sitokujua?? Usimsogelee mke wangu tena... nitakutungua risasi! mbeya mkubwa weeee..."
 
mtaona lini anadrive ? Na miwani ya tinted avalie wapi? Inahuuuuu

Inaonekana una issue na wanawake wanaodrive! Kulikuwa na shida ya mafuta; nani wa kumwambia zaidi ya mumewe?sikutegemea reply hii toka kwako!
 
Looks like wewe wahusika! Nilivyoelewa mimi, vituo vingi havikuwa na mafuta na sio mdada hakuwa na pesa! Wanaume nmh!!!!

Aliapa mwenyewe gari atalimudu kwa kila kitu iweje nihusishwe na uhaba wa mafuta? Atafute mwenyewe kama alivyo tafuta pesa za kununulia gari.
 
Huyo mwanamke anaonesha hana adabu hata chembe;

1) Ilikuwa haina haja yeye kukuagiza wewe mafuta kama mumewe kisha jibizana nae (hayo ni mambo yao). Alikuwa anamuonesha mumewe kuwa anauwezo wa kuyapata mafuta? au alikuwa anakupa wewe "green light" lakini ukawa hujijui?

2) Ilikuwa haina haja kabisa ya kujidai kujiliza, alikuwa anataka "sympathy"?

3) Alikuwa hana haja kabisa ya kukuelezea mambo yake na mumewe, walipooana walikushauri wewe? mambo yake ilikuwa anatakiwa ayamalize na mumewe.

Kwa mtazamo wangu, huyo manamke ana yake na haihusiani na mumewe. Na wewe ni pia si mtu wa maana kwani mambo kama haya ya kutongozana kwenu usingeyaleta jamvini. Hamna cha mafuta wala ufuta ni m'washo tu.
:bump: Thead :closed_2:
 
upuuzi mtupu .yaani niishi kwa matumaini kisa wese? daladala zimeisha? je bajaji? je bodaboda? je punda? wanawake wengi wanaishia kujiuza kisa tu waonekane wanadrive
mtu anakuwa na wanaume kibao kisa gari
switi wa mafuta.
honey wa service
darling wa leseni
angel wa insurance nk nk
huyo jamaa yako yuko right kabisa ukinunua gari ujue na jinsi ya kulihudumia maana sio kitu cha muhimu sana hiyo ni luxury thing.kama huna huwezo achaaaaaaaaaaaaaa.

Hii ndiyo "MMU - Post Of The Year" ... Wakati mchakato wa kutafuta "MMU - Thread Of The Year" unaendelea!
 
Ukorofi tu wa baadhi ya wanaume.Pole kwa mdada.Wanaume kama hao ndio hutoa nafasi kwa wake zao kuwaa mengine.

nafasi gani hiyo wewe unaiongelea hapa???? mmmmh, hivi hujui mengine ninayomtimizia yooote bila kinyongo??? sa' nimwekee wese afu akaishie kwa mashoga zake jioni nzima?? to hell with that.... if she can't compromise on this one then let it be.... daaaaym!! some pipo bwana!!
 
  • Thanks
Reactions: LD
Duh Rejao ni wewe uliyeweka hii comment? Kweli nimeamni umeanza kuwa na akili.
Simply huyo mwanaume hapendi huyo mkewe atumie hilo gari. Kutokana na comment ya huyo bwana, yaelekea hilo gari ndio chanzo cha ugomvi wao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom