Wanaume wote wa JF someni hii,mmoja wenu ndo kafanya haya

I'm honored kamanda. Afu watu wanashangaa eti mkewe anachukuliwa na taxi driver! Sasa kama mume ukimpigia umepata pancha anakuuliza kama yeye ni fundi gereji, na unampigia taxi driver anamwaga pole za kufa mtu na anakuja anatatua tatizo inaku-cost 10,000 tu! In the end unaanza kuona beyond ile 10 unamuona utu wake!
Wanaume wabinafsi sana, kutwa kulalamika housegeli ndo anapika na kufua (hata na kutandika kitanda). Afu ukijibu mkeo utumbo na ukarudi home ukakuta na gari kalifikisha unajionea sawa tu! Nsije nikaharibu udhu wangu wa xmas mie, aaaghhrrr! Sarawili zingine utadhani wanaume!

...lol...

...haya mahusiano, mapenzi na urafiki ndani ya ndoa za miaka hii tunahitaji kufungua marriage counselling services kiukweli....zama za kupeleka kesi kwenye mabaraza ya wazee kwa usuluhishi, hawawezi kutoa majibu muafaka kwa kesi hizi.

...haijulikani nani kakamata makali nani kakamata mpini, wote majeruhi!
 
I'm honored kamanda. Afu watu wanashangaa eti mkewe anachukuliwa na taxi driver! Sasa kama mume ukimpigia umepata pancha anakuuliza kama yeye ni fundi gereji, na unampigia taxi driver anamwaga pole za kufa mtu na anakuja anatatua tatizo inaku-cost 10,000 tu! In the end unaanza kuona beyond ile 10 unamuona utu wake!
Wanaume wabinafsi sana, kutwa kulalamika housegeli ndo anapika na kufua (hata na kutandika kitanda). Afu ukijibu mkeo utumbo na ukarudi home ukakuta na gari kalifikisha unajionea sawa tu! Nsije nikaharibu udhu wangu wa xmas mie, aaaghhrrr! Sarawili zingine utadhani wanaume!

kwa hiyo we unaweza kuliwa mzigo na dereva tax kisa kakusaidia pancha? Kwa gari yako mwenyewe? Unaponunua gari ujue pia kuihudumia, unamiliki gari hata kufungua tairi huwezi unategemea nini? Acheni kubweteka.
 
Mie nimeshuhudia mdada wa heshima anachukuliwa na dreva wa bodaboda! Its not always about money aisee, its about kujiskia unapendwa, unathaminiwa na unalindwa! Unless unafanyia biashara! Hata makahaba wanaojiuza, ana mtu wake anayemfeel na kulegea magoti kwake! Na hukawii kukuta kahaba ndo ana hela zaidi za kumtunza.hii stori inaonekana ni ya mwanamke anayejitosheleza lakini anakosa upendo. Kwani mume akimwambia mkewe naomba maji ya kunyuwa, does it mean yeye hana miguu ya kufuata maji dinging mwenyewe? Its about lov banaa!
yaani sometimes wanawake wana matatizo sana yaani wengi wanajiuza wapate tu vimagari. Kwani usafiri duniani umeisha? Watu wanaishi kwa mateso kweli,kisa tu waonekane ayaa na virusi je?
 
halafu wanataka 50/50 kwenye uongozi
wakati gari management tu imemshinda

kweli wakiwezeshwa wanaweza

Huwa nakupendaga sana kwa kuwapaga mashosti ukweli
hilo gari wakati anajinunulia mbona hakuombaga msaada si alijinunulia mwenyewe?
 
Mie nimeshuhudia mdada wa heshima anachukuliwa na dreva wa bodaboda! Its not always about money aisee, its about kujiskia unapendwa, unathaminiwa na unalindwa!

Alaaaa kumbe...!!

Basi ndo maana huwa mnadanganywa sana. All njemba needs to do is act like he listens, commiserate with you, tell you a whole bunch of sweet nothings, and boom...you spread your legs wide open.
 
Yaani siongelei kuchukuliwa, naongelea kuolewa! Na nitamheshimu kuliko ambae ananijibu nyodo na madigrii yake! Utu ndo naujali kuliko hela manake hata akili na mikono ya kutafuta hela nnayo mwenyewe! Watu wanakaa kwenye manyanyaso ili waendeshe prado! Kwani wewe si unaweza kutembea na housigeli kwa sababu anakufulia nguo na kukuletea maji ya kunywa?
kwa hiyo we unaweza kuliwa mzigo na dereva tax kisa kakusaidia pancha? Kwa gari yako mwenyewe? Unaponunua gari ujue pia kuihudumia, unamiliki gari hata kufungua tairi huwezi unategemea nini? Acheni kubweteka.
 
wanaume wa jf someni hii thread,na kwa sababu muhusika yupo humu basi ujumbe wake utakuwa umemfikia. Wiki ilopita kulikuwa na kauhaba ka mafuta ambako hakakuchukua siku nyingi, nikiwa njiani narudi kazini alinipigia simu dada mmoja ambaye tunafahamiana naye pamoja na mumewe akiniomba nimsaidie sababu gari lake halina mafuta, na yupo somewhere Morogoro road akiwa anatokea kazini na sheli za karibu hazikuwa na mafuta.

Nikapitia kumnunulia sheli moja nilipata taarifa kuwa inauza mafuta na ndipo nilipompelekea sehemu alipo na kumkuta mwenye majonzi lakini alijitahidi kutabasamu baada ya kuniona na baada ya kumuwekea mafuta nilimuuliza mumewe aliko akajibu kwa unyonge yupo kazini!

Nikamuuliza tena kwa nini usimwambie kwa kuwa hapa ni karibu na ofisini kwake dada machozi yakaaza kumtoka nikaamua nimuache aende!

Baada ya siku chache nilimpigia kumuuliza akaniambia shemeji, naishi bila matumaini bora ya mgonjwa wa ukimwi! Akasema kuwa siku ile alimueleza mumewe tatizo hilo akamjibu" kwa hiyo.......unataka nikusaidiaje.....kwani mimi nauza mafuta ya gari???

Kama uliweza kununua gari iweje ushindwe kulihudumia, kwanza mimi nina kazi zangu ofisini sina muda .........dada akaamua akate simu maana angeendelea kumsikiliza angemuumiza maana maneno yaliyokuwa yanatoka kwa mumewe wa ndoa ni makali.

Najiuliza hivi sisi wanaume hawa wadada wa watu huwa tunawaoa ili kuwakomoa? Au hatujui maana ya ndoa? Au ni ushamba? Utoto? Au ni ukatili tu tunaamua kuwafanyia?

alitaka amwambie nani amsaidie kama si mumewe? why jamani tunakuwa wakatili hivi?? aghhhhhhhhh

Hebu wanaume wenye hekima jf tusaidiane kumshauri mwenzetu naona hajielewi na haelewi majukumu yake.

nawe acha uvivu, nenda kwanza ongea na aliyetoa hayo maneno akwambie kama kweli aliyatoa na kama aliyatoa ni kwa sababu gani. ndipo uje ulaumu wanaume hapa.
kama wewe ni mtanzania angalia hilo jina lako, unasababu gani za kukushawishi kuchagua jina hilo?
 
mpenzi taratibu bana mwe tatizo wanaume wengi huwa wanafikiri pesa na vitu vya nje vikiwepo yote yamekamilika nafikiri hawatuelewi kama wenyewe tusivowaelewa.
Mie nimeshuhudia mdada wa heshima anachukuliwa na dreva wa bodaboda! Its not always about money aisee, its about kujiskia unapendwa, unathaminiwa na unalindwa! Unless unafanyia biashara! Hata makahaba wanaojiuza, ana mtu wake anayemfeel na kulegea magoti kwake! Na hukawii kukuta kahaba ndo ana hela zaidi za kumtunza.hii stori inaonekana ni ya mwanamke anayejitosheleza lakini anakosa upendo. Kwani mume akimwambia mkewe naomba maji ya kunyuwa, does it mean yeye hana miguu ya kufuata maji dinging mwenyewe? Its about lov banaa!
 
I'm honored kamanda. Afu watu wanashangaa eti mkewe anachukuliwa na taxi driver! Sasa kama mume ukimpigia umepata pancha anakuuliza kama yeye ni fundi gereji, na unampigia taxi driver anamwaga pole za kufa mtu na anakuja anatatua tatizo inaku-cost 10,000 tu! In the end unaanza kuona beyond ile 10 unamuona utu wake!
Wanaume wabinafsi sana, kutwa kulalamika housegeli ndo anapika na kufua (hata na kutandika kitanda). Afu ukijibu mkeo utumbo na ukarudi home ukakuta na gari kalifikisha unajionea sawa tu! Nsije nikaharibu udhu wangu wa xmas mie, aaaghhrrr! Sarawili zingine utadhani wanaume!

Ukweli vitu vingine vinashangaza sana...........sasa asiposaidiwa na mume wake, nani amsaidie. Next time akiomba msaada kwa mwingine pls usije apa kuomba ushauri. i've changed my mind pls shot all of them.
 
Alaaaa kumbe...!!

Basi ndo maana huwa mnadanganywa sana. All njemba needs to do is act like he listens, commiserate with you, tell you a whole bunch of sweet nothings, and boom...you spread your legs wide open.

What????????????
 
King'asti nadhani umeiweka vema.
Niwaulize nyie kina kaka mnaoshabikia huyu mkaka mwenzenu alivyojibu ni sawa, uanaume wenu uko wapi?
Sometimess si kuwa mwanamke anashindwa ila tu anataka nawe ujisikie kuwa anakutegemea, bila wewe yeye awezi. Hivi mnavyoonaga magal au wake zenu wanarukia juu ya viti wakiona mende wewe ukiwepo mnafikiri wanawaogopa kweli?

Ukimpata mwanamke ambaye anafanya kila kitu, I mean kila kitu utajisikiaje?
Kodi ya nyumba alipe, watoto asomeshe, matengenezo ya magari, matibabu, walinzi, wageni, ujenzi n.k ilhali wewe upo utajisikiaje?
Kuna baadhi ya vitu .......................Sa wewe wa kazi gani?? tunaamua kuwaachia angalau kukuwekea ile heshma ya uanaume ah!

na wengine wasivyo na jema si ajabu angerudi nyumbani na kumsimulia alivyotaabika leo juu ya mafuta, angeanzisha ugomvi kwa nini hakumwambia.
 
makaburini - unaweza ukarudi na ku-post mrejesho kutoka kwa huyo rafiki-mke-wa-mwanamume?
 
My man acts like he listens all the time, that is all it takes him to blind me and keep my ears deaf. Ukija na acts zako u just get my magic smile and u take a hike to hell. U shld start doing that to ur lady and see how it works like magic!
Alaaaa kumbe...!!

Basi ndo maana huwa mnadanganywa sana. All njemba needs to do is act like he listens, commiserate with you, tell you a whole bunch of sweet nothings, and boom...you spread your legs wide open.
 
Kweli hapa unategwa wewe....

Inaonekana mwanaume sio mshikaji wako ki-viiile, ni mke ndo uko close naye

Tuache hayo... manunuzi ya gari sidhani kama yalikuwa kwenye makubalian yao
au Matumizi ya gari hayamfurahishi mwanaume...
Pamoja na hayo, wanawake inabidi tukomae, ukishaona mwanaume hafurahii mambo yako, komaa, acha kumuomba msaada....

Lakini na mwanamke kutembea na gari inawaya yelo yelo nayo yataka moyo... ni fedheha
nakubaliana na wewe. lakini pia ninahisi ni kama wawili hawa walishaonyana juu ya kuwasha gari siku hiyo. ni kama bibi alikomaa na hivi wese likakatika . alipord kwa mume , mume aliyepinda ndo akajibu hayo, tena inaonekana dada alijibiwa maneno makali zaidi ya haya yaliyo ripotiwa. lakini huyu anaeleta maada aache kudandia ndoa za watu. siku ataziliwa huyo bibi ataomba dunia ipasuke
 
Yaani siongelei kuchukuliwa, naongelea kuolewa! Na nitamheshimu kuliko ambae ananijibu nyodo na madigrii yake! Utu ndo naujali kuliko hela manake hata akili na mikono ya kutafuta hela nnayo mwenyewe! Watu wanakaa kwenye manyanyaso ili waendeshe prado! Kwani wewe si unaweza kutembea na housigeli kwa sababu anakufulia nguo na kukuletea maji ya kunywa?

house girl,never, sio mimi,tatizo katika ndoa halitatuliwi kwa kupiga kazi nyingine ya nje.labda kama huna mke.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom