Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

kwani mapenzi ni nini?
kungonoka?
au yanaanzia jinsi mnavyoongea, mnavyo-care, michezo ya kimahaba, kuspend pamoja nk

ila mmewaandama wanawake wakichaga weeee mmechoka sasa mmeanza na wanaume wa kichaga

this is boaring kwa kweli

Tena mi nadhani wakimaliza wanaume wa Kichaga , watahamia na Kwenye Ng'ombe , Mbuzi, Nguruwe, Mbwa wa wachaga! Wakimaliza mifugo labda watapumua!
 
Kuna mahala nliona mnamzungumzia kenge.... aisee kenge ni afazali ya FUKO! Malabuku huyu FUKO...... heri kenge anaoga, FUKO noma! Nyambaf....KITE!
Taratibu ODM, umesahau masharti ya daktari kuwa huruhusiwi kukasirika mpaka mwaka huu uishe?...lol
 
kwa sababu hili swala limeletwa na mwanamke basi mimi sina shaka na aliyo yasema. wanaume wanao pinga hili wananifanya nijiulize mara mbilimbili jinsia zao na tabia zao. Xg asante kwa kutujulisha. kumbe ndo maana wanawake wa kichagga wanakuwa wanatoka nje ya ndoa. kumbe wanaume wa kichagga wanahonga tu lakini down mapenzi zero. hahahaaa..!!. nimeipenda hii. tegemea kutukanwa sana sababu umegusa ikulu. mmu tunazungumzia mapenzi. hata ukweli ukipingwa na watu 1000 utaendelea kuwa ukweli tu. safi sana. ova
 
to me their my favorite
maisha sio ngono tu,kuna starehe nyingi
ngono inaaply kwa % chache
kuna starehe nyingi,kunywa mvinyo,kuwatch movie,kuchatchat nk
so kwangu mimi sijali kungonoka
i love u chagas

Smile waambie hao washamba. Kama unayajua mapenzi halafu huna hela si upuuzi tu. Si utakuwa unaenda gest bubu, mapenzi gani hayo. To me mapenzi ni hela kama huna hela hamna cha mapenzi. Ngoja tuendelee kuzisaka tu hizo hela nyie endeleeni tu kujua mapenzi, tutakuja kuyanunua tu....

Smile you made my day!!
 
ahahaaa lizy kumbe ndo maana yake na shuwaini je? ahahaaaaaaa mbavu zangu

Hehehehe we ulikua hujui Smiley?
Habari ndio hiyo. . . akili zetu tumezitoa huko.

Shuwaini ni sawa na Swine a.k.a kiti faya.
 
Aiseee, hii sredi imenisaidia kuwafahamu wachaga wa JF. Asprini kumbe hata wewe unakwenda kuhesabiwa mwisho wa mwaka?:lol:
 
to me their my favorite
maisha sio ngono tu,kuna starehe nyingi
ngono inaaply kwa % chache
kuna starehe nyingi,kunywa mvinyo,kuwatch movie,kuchatchat nk
so kwangu mimi sijali kungonoka
i love u chagas

kama umeolewa naomba usitudanganye
 
Wao wanajua kutafuta hela na kiukweli hela wanazo lakini kwenye mapenzi ni 0, hata kutongoza wengi wao hawajui wanajua kuhonga tu, na wanawake wanawakubali sababu wanapewa matumizi yakutosha ila wengi wa wake zao au magirl friend zao wana wanaume wapembeni wa kuwaridhisha kimapenzi. USIBISHE FANYA UTAFITI

haku penzi pasipo fweza.hata hao wanaojua mapenzi halaf hawana hela wake zao wanaenda kuwapa wachaga ili wapate mahitaji vinginevyo hata pedi watatumia vipande vya khanga kisa mwanaume anajua penzi
 
Vibinti vilivozoea kusuguliwa tangu vikiwa nasare skuli, akili zao zinafikiria ngono tu! Hayo mashimo yangekuwa yanajaa ingesaidia sana kupunguza haya masredi upupu..... CRAP at its best


etiii ehhh, kumbe
ndivyo wanavyokuwa!!
Mpashee
 
Ishu kama hizi zisizo na kichwa wala miguu ndio katika ya vitu vinanifanya niwe nachungulia tu Jukwaa la MMU siku hizi....
hata mimi mwisho leo. nataka nikutoe out wkend hii my dia. najua umechoka mwili na roho
 
Back
Top Bottom