Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

Jiteteeni wanaume. hapo inakuwaje mama analala kama gogo. baba nae hajui mapenzi mi sisemi napita njia.
 
akili ya watanzania wengi imezama kimapenzi tu.mmekosa ya kujadili.utamu au raha ya mpnz ipo kichwani mwa mtu
 
Hahaha!! Sio kuchoka mwili na roho tu Smile acha tu najitahidi kurudi katika hali ya kawaida..
asante sana kwa kutuwakilisha mkuu. utarudi tu katika hali ya kawaida ingawa yalotukuta ni magumu.ila kwa imani tutayashinda.so umekubali offer yangu au unamuogopa lizzy?
 
Hahahaha ndo ujue kimombo kwetu kitamboooo. .
Si wazungu bana.
kweli si unakumbuka ule mchezo wa marite marite? kumbe bwana ilikuwa ni am i right?
na baishoo i love you baby? unaipata?
 
LIZZY na wachaga wenzio woote humu najua ukweli unauma ila mapenzi yote kwa ujumla ( si kungoneka tu) hamjui. Just recognize your deficiencies and find solutions
 
ahahaa dah kumbe wale wazee ni sooo mitusi yote hii waliiitoa wapi jamani?

Nimecheka mpaka nimepata mafua! Inaonekana da Lizzy kakaa kwa bibi/ na babu sana. Cha ajabu wazee wenyewe hawakwenda shule ki- hiivyo lakini umombo haukuwa taabu sana.
 
Hivi mapenzi ndio uti wa mgongo wataifa hili? Mim nilifikir hawana elimu kumbe hawajuw mapenzi? Nenda ukaone matusi ya elimu zao huko kwao? TRA,BOT,MABENK, UTAJUWA UMUHIMU WA ELIMU NA SIO MAPENZI. Very sorry.
 
Kwa Mekuz/Mangiz hunitoi..wananikonga sana!
Na wote niliokutana nao mpaka wa sasa mapenzi wanajua vizuri..kula good times, adventures, kujali na maendeleo pia.
Pole yako wewe unaesubiria kuhongwa, ujiwezeshe mtoto wa kike..loooh!
 
Wao wanajua kutafuta hela na kiukweli hela wanazo lakini kwenye mapenzi ni 0, hata kutongoza wengi wao hawajui wanajua kuhonga tu, na wanawake wanawakubali sababu wanapewa matumizi yakutosha ila wengi wa wake zao au magirl friend zao wana wanaume wapembeni wa kuwaridhisha kimapenzi. USIBISHE FANYA UTAFITI

Vipi population ya kilimnjaro ama Moshi ikoje? hehehe mimim analysis yangu ni kuwa majamaa yanaweza maana population density ni ushahidi!!!
 
Back
Top Bottom