Wanaume tuache hii- inaharibu Ndoa Zetu

Status
Not open for further replies.

Regia Mtema

R I P
Nov 21, 2009
2,970
864
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa baadhi ya wanaume walioa siku hizi wanapowatangoza wanawake huanza kuwaponda wake zao kwa kudai kuwa wake zao ni washamba,hawana mvuto...mara mwingine utasikia mara ohoo yaani simpendi kabisa siku hizi mke wangu,yaani sijui hata kwanini nlimuoa..wengine wanadai oho mke wangi nililazimishwa tu kumuoa ila mimi wala simpendi mimi nakupenda wewe...mwingine utasikia wewe unafana sana na meko wangu ila wewe mzuri zaidi na unaakili zaidi ya mke wangu...

Hii inaweza kusababisha yule unayemtongoza akamdharau mkeo if they will gwt time to meet..au anaweza kumsahau hata kama hamfahamu.
Jamani hivi kwani unapomtongoza mtu ni lazima useme haya?hakuna maeneo mengine mazuri ya kumuapproach huyu mrembo mpaka ummuingize mkeo?

Enyi wanandoa fanyeni yote but have atleast a minimum respect to ur wives..
 
The fact kwamba mwanaume anataka kuwa na nyumba ndogo ni dharau tosha kwa mkewe!
 
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa baadhi ya wanaume walioa siku hizi wanapowatangoza wanawake huanza kuwaponda wake zao kwa kudai kuwa wake zao ni washamba,hawana mvuto...
mianamume kama hiyo inafaa kupigwa mawe...
 
Huyo anayetongoza mwanamke mwingine kwa kumponda mkewe lazima atakuwa mshamba. Kwani huwezi kumuimbisha demu mpaka umponde mkeo? Na wanawake wanatakiwa kujua mwanaume anayemponda mkewe kwako ujue akikupata na kukutumia na kisha kukuchoka lazima na wewe atakuponda kwa wengine...
 
Hivi bado kuna watu wanatongoza kwa style hii?

Na kama wapo, kina mama wanaotongozwa wanapaswa kumwambia jamaa arudi kwa mkewe. Unless otherwise ni biashara inafanyika pale
 
the fact kwamba mwanaume anataka kuwa na nyumba ndogo ni dharau tosha kwa mkewe!
nyumba ndogo muhimu, asikwambie mtu if you are a really man, you know wat i mean??, yeah pamo-jah.
 
wengine wanasemaga wako mbioni kuwa divorce wake zao lakini wake zao ving'ang'anizi hawataki divorce, halafu wakibambwa ndio tunasikia habari za ngumi and or kulia machozi mpaka miguuni
 
Kweli kabisa wanaume mlio oa jaribuni kuwa wastaraabu mnatubania ridhiki sisi ambao hatujao kwa kupanua kweli mashimo.
 
mianamume kama hiyo inafaa kupigwa mawe...


Mkuu binadamu wote hawako perfect. Unakumbuka ile story ya Dar ambapo Wanaume 225 waliomba ifanywe DNA test kuhakikisha kwamba watoto waliopatikana kwenye ndoa zao ni watoto wao halali? 150 walikuwa si watoto halali wa Wanaume wale, kwa hiyo binadamu wote tuna mapungufu makubwa sana sijui hali hii inasababishwa na nini hasa katika miaka hii ya karibuni. Si ajabu hali hii ilikuwepo toka zamani lakini watu walikuwa hawayaongelei sana mambo haya kama ilivyo sasa.
 
ekzaktil, mwanaume wa mujini hawezi kudate kuchumbia na kuoa mshamba au sio?

ndo maana yake we kama mtu huendani nae ulimuoje??? au ushamba kaanza kwenye ndoa!!!!!!!!!!

justification nyingine bwana utumbo mtupu!!!! nimpate mmoja kama huyo atajuuuuuuuuuuta kutongoza nje ya ndoa wallah!!!!
 
Kweli kabisa wanaume mlio oa jaribuni kuwa wastaraabu mnatubania ridhiki sisi ambao hatujao kwa kupanua kweli mashimo.

its been long since you made me laugh Fidel, hahahaaaaaaaaaaaa lol!!!
 
Anayetongozwa na anayetongoza lao moja!! How comes mtu anakuja kwako bila aibu anakutongoza at the same time he is married!! You dare even listen to him!!!
I really dont know what is wrong with human Beings!!

You men!!! can you just answer me the following
1. Do Women have different taste?
2. How do you feel when you are sleeping with another woman while you have your own wife?

Even if women have different tastes why in the first place did you get married to a woman who is not of your choice? Because if you had married a woman of your choice, There is no reason of looking for another woman!!
nyie!! wanaume, nyie!!!!! Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!! To hell with you all
 
You men!!! can you just answer me the following
1. Do Women have different taste?
2. How do you feel when you are sleeping with another woman while you have your own wife?


1. Do Women have different taste?
The taste is completely the same, bali hutegemeana na fikira zako, utundu kati yenu, na interests/hobies zako, kama yule mwanamke ana sifa ngapi unazozipenda wewe. Hakuna yenye meno! Japo kuna miili mingine hupendi smell zao by nature. Ila tutambue tu kwamba, kuoa au kuolewa sio mwisho wa kupenda au kutamani. Na wengi wetu tunashindwa kutambua hisia zetu kuwa zipi za tamaa na za mapenzi.

2. How do you feel when you are sleeping with another woman while you have your own wife?
You may feel a real gentleman onthe sport, but later you may wish to purnish your self. After leaving the place, you feel as a big looser.

_____________________________________________________________________
Mapenzi ya kweli hayana sababu, na yemeambatana na misamaha isiyo na mipaka wala masharti.
 
wanaume wa staili hiyo ni washamba na wadhaifu ..pia wana upungufu kichwani sio kawaida
kumponda mkeo unayelala nae kitanda kimoja hainiingii ?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom