Hii ya Dkt. Chriss Mauki mnaionaje wakuu? Huyu si muharibifu wa ndoa za watu?

Joyce joyce

JF-Expert Member
May 23, 2020
457
1,973
Wakuu, huko kwenye twitter nimeona wanaume wakimshambulia Ndugu Chris Mauki kutokana na bandiko lake aliloweka huko kuwa wanaume ambao wanaombwa hela na wake zao na kusema kuwa kuna Jambo nafuatilia kila Siku wanasema hivyo, Chris Mauki anasema kuwa hao wanawake wanapaswa kujua kuwa wameolewa na wasanii.

Bandiko hilo limeibua hisia Kali kwa wanaume wakimtuhumu huyo jamaa, hivyo Mimi naomba Mauki kili makosa kawaombe wanaume wenzio msamaha bhana maaana umekosea kwa sababu wanawake hatuolewi kwenda kuomba hela, tunaolewa kwenda kusaidia wanaume kutafuta hela na ukiolewa haimanishi kuwa wewe tu ndio uchukue hela za mume no, hata mume anapaswa kuchukua za Mke Wake.

Pia naomba nifafanue Jambo muhimu Sana Kwa wanaume na wanawake Juu Ya maneno Kama haya, kumekuwa na maneno meeengi Sana Juu Ya watu ambao hawajitumi au hawajapata au hawajafanikiwa au hawajatajirika, maneno haya yamekuwa yakisemwa Sana na watu ambao wametajirika au wamefanikiwa

Ndugu zangu naomba nitamke wazi kuwa hawa wooote wanaosema haya maneno ni WASANIII wakubwa kuliko unavyofikiria, ukiona mtu anakuja na swaga Zake kuhusu kufanikiwa akiwalaumu wale ambao hawajafanikiwa naomba kukujulisha kuwa mtu huyo kuanzia hapo faham kuwa ni MSANII wa WASANII na usimsikilize ukafadhaika ni MUONGO.

Ndugu zangu watu hawa wamekuwa wakijitokeza hadharani na kudanganya watu maneno meeeengi wakijificha kwenye kichaka cha shughuli zao, na Mara nyingi wamekuwa wakitoa historia ya UONGO Juu Ya utajiri wao, utawasikia wanasema kuwa Mimi nilisomeshwa na mama akiuza vitumbua, mwingne utasikia Mimi nilianza kufanya biashara ya kuuza Karanga, utasikia maneno Ya kisaniii meeengi Lakini ni waongo wakubwa Ndugu zangu, wengne wanajidai kuwa wao ni wema wanasaidia watu kumbe wamejificha kwenye kichaka cha Msaada.

Ninaomba niwaeleze kuwa hawa watu pia wanatumika saana kwenye makongamano mbali mbali ya akina mama Kama mashuhuda wa kudanganya wanawake, akipewa nafasi pale mbele atatudanganya weeee, muongo Mkubwa waogope Kama ukoma hawa watu ni wasaniii wakubwa

Ndugu zangu ngoja niwataje wachache tu Kama ushahid Wangu, kuna mdada mmoja Alikuwa anakaa Mbezi beach kwenye gorofa alikuwa anaendesha renji rova, huyo mdada alikuwa hakosi kwenye vyombo vya habari Kuelezea wanawake namna ya kupata hela Namna Ya kutajirika alijitokeza Sana akiwalaumu wanawake wanaomba hela kwa wanaume, Alikuwa akisimlia Sana habari za vikomba na kulaumu wanawake Juu Ya wanawake kutotajirika huyo dada kwa sasa hivi yuko gerezani na mume wake wakiwa na kesi ya kuuza madawa ya kulevya.

Ndugu zangu kuna mtu anaitwa Erick Shigongo, huyu Jamaaa ametumika saana kwenye makongamano ya wanawake akielezea namna ya kutajirika akitoa shuhuda nyingi Sana, Ndugu zangu Faham kuwa huyu mtu alijiingiza Ccm akawa anapiga hela chafu Sana alikuwa anapata tenda za hatariiiii ambazo kwa namna ya uhalisia ilikuwa ni kuhujumu hela za wananchi na kumbuka kofia moja alikuwa anauzia Ccm kiasi ambacho ukiambiwa utamkubali magufuli kuwa kweli tulipigwa, na kumbuka magufuli alipoingia madarakani alikuta Deni la bilioni Kama sita Jamaaa anadai eti katengeneza sijui nini, magufuli akakataa akasema hiii haikubaliki huuu ni upigaji wa kiwango cha lami na huenda hakupewa hiyo hela ndio maaana huyu Jamaaa kwa sasa humsikii yuko tuliii

Ndugu zangu kuna Wakati ulisikia Yule muhongo aliekuwa waziri wa madini kipindi cha kikwete walikosana na marehemu mengi, Kama unakumbuka alionesha kuzuia upigaji uliokuwa unafanywa na marehemu akisema kuwa ni upigaji wa kiwango cha lami kwenye Mali za umma akasema kuwa Marehemu alikuwa anamiliki vitalu vya madini nusu ya vitalu vyote nchi nzima na alikuwa halipiiii ushuru ndio chanzo cha marehemu kukosana na muhongo.

Ndugu zangu unajua kuwa huyu MO mnaesema kuwa ni tajiri ule Utajiri aliupata toka kwa baba yake? Alirithi?

Ndugu zangu usidanganyike na watu wanaosema eti walianza biashara ya kuuza Karanga wakakudharau ukajisikia vibaya hao ni wasaniii Kama mauki,

Ndugu zangu unajua kuwa marehemu luge alionesha dunia kuwa yeye ni msaada Mkubwa Kwa wasaniii wa Tz? Unajua kuwa yeye aliyasema hayo kila mahali? Sasa wewe unajua kuwa nandy alisemwa Kama mfano wa watu waliosaidiwa Sana kimziki na marehemu? Je unajua kuwa Nandy alipata nafasi ile kwa kupanua mapaja? Je unajua kuwa aslya alikuwa ni Kama chambo

Je unawafaham watangazaji wa clous akina samarada? Unajua kuwa walikuwa wanapanua mapaja ndio wanapata nafasi ya kuwepo pale? Je sheria za ajira zikoje?

Mnamkumbuka Kijana mmoja alikuwa anaitwa Patrick Ngowi? Alitajwa hadi na ile taasisi ya fobes? Kuwa ni vijana tajiri? Alikuwa hakosi kwenye TV akielezea utajiri wake siku ya mwisho nilimsikia akisema kuwa alianza na mtaji wa elfu hamsini alikuwa ananyoa Sana upara alikuwa akipenda kuwalaumu vijana Juu Ya vijana kushindwa kutajirika unamkumbuka? Je unajua yuko wapi sasahivi? Yuko gerezani akitumikia kifungo, Ndugu zangu hawa watu wote wanaojitokeza kulaumu watu waliokosa ni wasaniii wakubwa, wezi wakubwa, waongo wakubwa msiwasikilize

Ndugu zangu nimewapa mifano michache Sana mno.

Ndugu zangu achana na hao wasaniii akina Mauki wanaotumika kwenye ile radio station Ya kimapenzi ile radio Ya kisanii
 
Haya ndio maneno aliyoandika huko instagram.

UKIONA UMEOLEWA NA MUME AMBAYE SENTENSI ZAKE KUTWA KUCHA NI 'SINA HELA'AU KUNA ISHU FULANI NAFUATILIA ITIKI NA JAMAA ANATOKA ASUBUHI ANARUDI JIONI..HUNA HAJA YA KUWAHANGAISHA MITUME NA MANABII WAKUOMBEE JUA TU UMEOLEWA NA MSANII.

Binafsi nimekwazika sana nakuona anawaharibu wadada na kuwakatisha tamaa kwa watu waliopanga mipango yao ya maisha. Kwa taaluma yake ni rahisi mwanamke kuamini kila kitu atachosema huyu mtaalamu. na mashabiki zake wengi ni wanawake kwa kauli badala ya kujenga naona kabomoa.

EYzi762XYAErJNF.jpeg
 
Kwa mauki nakuunga mkojo. Mwanzo nilikuwa namuona kama anawasaidia wapenzi kisaikolojia, ila baadaye nikaona anatongoza wanawake kijanja. Mwanaume anayejielewa hawezi kumbeza mwanaume mwenzie kiasi hicho, unless wawe na bifu na anaijua hali ya muhusika kuwa. Hiyo statement ingefaa kuwalenga wale wenye uwezo lakini hawatekelezi majukumu yao na sio kujumuisha wanaume.

Kuhusu tuhuza za ruge, nafikiri unaijua nguvu ya mwanamke. Akitanua paja (asiwe na sura ka amba ruti) unatoa kila ulichonacho. Pia Zamaradi alikuwa mpenzi halali wa jamaa the same kwa nandy. Wanaume tuliumbiwa wanawake ndio maana tunahangaika kutafuta pesa, nyie mnakesha kutafuta shape.
 
Back
Top Bottom