Wanaume tuache hii- inaharibu Ndoa Zetu

Status
Not open for further replies.
Anayetongozwa na anayetongoza lao moja!! How comes mtu anakuja kwako bila aibu anakutongoza at the same time he is married!! You dare even listen to him!!!
I really dont know what is wrong with human Beings!!

You men!!! can you just answer me the following
1. Do Women have different taste?
2. How do you feel when you are sleeping with another woman while you have your own wife?

Even if women have different tastes why in the first place did you get married to a woman who is not of your choice? Because if you had married a woman of your choice, There is no reason of looking for another woman!!
nyie!! wanaume, nyie!!!!! Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!! To hell with you all

VV inabidi uelewe tofauti ya ndoa na kupenda/kutamani...wanaume au wanawake hata kama kaolewa/kaoa...haimaanishi kuwa kaishiwa hisia za kupenda au hata kutamani...kwa hiyo hapo hakuna suala la ujinga...ni suala la uasilia wa mwanadamu....

DO WOMEN HAVE DIFFERENT TASTES?...

YESSSSS...NDIO.....mfano mzuri ni kwako weye..naamini kabla hujaolewa ulipitia sio chini ya boyfriends 4 kwa kiwango cha chini...ila kila mmoja anayo taste yake tofauti na mwenzake (usibishe...aliyekutoa upya ni tofauti na uliye naye leo)...kumbuka pia utamu wa shubiri chungu yake

How do you feel when you are sleeping with another woman while you have your own wife?

hapa bibie unaongelea feelings...nazo zipo tofauti kwa kila mtu na kwa kila sehemu na kwa kila wakati...kwa wanaume wengi huwa tuna-feeling ya "URIJALI WA KIUME" kwa kuweza kumshawishi mtoto wa kike atoe nguo zake za ndani na afanye utakavyo wewe...

pia baada ya kufanya kile kitendo wanaume huwa tuna feelings za "ukosefu" kuwa tumetenda kosa kubwa kutoka nje ya ndoa zetu...hata kama uliyetoka naye ni miss world/universe or mama obama...lazma roho/nafsi inakusuta kuwa umemkosea mkeo mpendwa

HITIMISHO....mwanaume kutoka nje ya ndoa sio kweli hampendi mkewe...tunawapenda sanaaaaaaaa...ila basi tuuu TAMAAA ZETU

...NI MAONI TUU...FINITO
 
its been long since you made me laugh Fidel, hahahaaaaaaaaaaaa lol!!!

Unajua mm nachukizwa na hii mibaba mingine ni mibabu kabisa utaona ipo na vibinti vidogo kama wajuu zao unasikia sweetie nipapase kipara huu ni uharibifu wanapanua mashimo na kuwachokesha hawa mabinti.sijui sisi tutaoa wapi.
 
wa hivo hawakufai mpwa tena wapishie mbali kabisaaa!!!!
 
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa baadhi ya wanaume walioa siku hizi wanapowatangoza wanawake huanza kuwaponda wake zao kwa kudai kuwa wake zao ni washamba,hawana mvuto...mara mwingine utasikia mara ohoo yaani simpendi kabisa siku hizi mke wangu,yaani sijui hata kwanini nlimuoa..wengine wanadai oho mke wangi nililazimishwa tu kumuoa ila mimi wala simpendi mimi nakupenda wewe...mwingine utasikia wewe unafana sana na meko wangu ila wewe mzuri zaidi na unaakili zaidi ya mke wangu...

Hii inaweza kusababisha yule unayemtongoza akamdharau mkeo if they will gwt time to meet..au anaweza kumsahau hata kama hamfahamu.
Jamani hivi kwani unapomtongoza mtu ni lazima useme haya?hakuna maeneo mengine mazuri ya kumuapproach huyu mrembo mpaka ummuingize mkeo?

Enyi wanandoa fanyeni yote but have atleast a minimum respect to ur wives..

ulijuaje mkuu, manake kutongoza ni ishu ya watu wawili, au we unatumia mbinu hiyo? na sie ambao hatujaoa na tunatongoza wake za watu, tufanyeje? make nakumbka kuna mmoja alikuwa mfanyabiashara mzuri tu ana workshop kubwa ya kushona nguo maeneo ya kinondoni vijana, nilipopata tenda kubwa kushonea watotot yatima wa kituo kmja uniform za shule, nikamuomba tushirikiane kushona , lahaula tukamalizia kabisa baada ya kupata bia kadhaa sikumoja hukohuko kndoni!!!!!!!! tenda ile sitasahau!!!!!

sisi unatushaurije????????
 
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa baadhi ya wanaume walioa siku hizi wanapowatangoza wanawake huanza kuwaponda wake zao kwa kudai kuwa wake zao ni washamba,hawana mvuto...mara mwingine utasikia mara ohoo yaani simpendi kabisa siku hizi mke wangu,yaani sijui hata kwanini nlimuoa..wengine wanadai oho mke wangi nililazimishwa tu kumuoa ila mimi wala simpendi mimi nakupenda wewe...mwingine utasikia wewe unafana sana na meko wangu ila wewe mzuri zaidi na unaakili zaidi ya mke wangu...

Hii inaweza kusababisha yule unayemtongoza akamdharau mkeo if they will gwt time to meet..au anaweza kumsahau hata kama hamfahamu.
Jamani hivi kwani unapomtongoza mtu ni lazima useme haya?hakuna maeneo mengine mazuri ya kumuapproach huyu mrembo mpaka ummuingize mkeo?

Enyi wanandoa fanyeni yote but have atleast a minimum respect to ur wives..

Gender;
Mwanamke mwenye akili hataweza kumdharau mwanamke mwenzake kisa tu anapondwa na mme wake anayezengea uroda kwake, otherwise huyo mwanamke ndiyo atakuwa ana matatizo makubwaaaaa kuliko hata hilo dume. Au labda mimi huwa always nafkria reverse na watu wengine. Mimi km ni mwanamke ninayezengewa nitaridharau sana hilo dume linalomponda mke wake kwangu, na nitaliheshimu sana likiwa linamsifia, hadi nitalihurumia kulichuna sana!
 
wengine wanasemaga wako mbioni kuwa divorce wake zao lakini wake zao ving'ang'anizi hawataki divorce, halafu wakibambwa ndio tunasikia habari za ngumi and or kulia machozi mpaka miguuni

kweli kabisa..hii nimeshawahi kukutana nayo...wanaume wa siku hizi ni vimeo kweli kweli.
 
VV inabidi uelewe tofauti ya ndoa na kupenda/kutamani...wanaume au wanawake hata kama kaolewa/kaoa...haimaanishi kuwa kaishiwa hisia za kupenda au hata kutamani...kwa hiyo hapo hakuna suala la ujinga...ni suala la uasilia wa mwanadamu....

DO WOMEN HAVE DIFFERENT TASTES?...

YESSSSS...NDIO.....mfano mzuri ni kwako weye..naamini kabla hujaolewa ulipitia sio chini ya boyfriends 4 kwa kiwango cha chini...ila kila mmoja anayo taste yake tofauti na mwenzake (usibishe...aliyekutoa upya ni tofauti na uliye naye leo)...kumbuka pia utamu wa shubiri chungu yake

How do you feel when you are sleeping with another woman while you have your own wife?

hapa bibie unaongelea feelings...nazo zipo tofauti kwa kila mtu na kwa kila sehemu na kwa kila wakati...kwa wanaume wengi huwa tuna-feeling ya "URIJALI WA KIUME" kwa kuweza kumshawishi mtoto wa kike atoe nguo zake za ndani na afanye utakavyo wewe...

pia baada ya kufanya kile kitendo wanaume huwa tuna feelings za "ukosefu" kuwa tumetenda kosa kubwa kutoka nje ya ndoa zetu...hata kama uliyetoka naye ni miss world/universe or mama obama...lazma roho/nafsi inakusuta kuwa umemkosea mkeo mpendwa

HITIMISHO....mwanaume kutoka nje ya ndoa sio kweli hampendi mkewe...tunawapenda sanaaaaaaaa...ila basi tuuu TAMAAA ZETU

...NI MAONI TUU...FINITO

Huu ni uongo..sidhani kama wanawake wana taste tofauti ni dhana tu ambayo watu wengi tunayo kwamba mwanamke mmoja na mwingine wametoutiana...na huu ni mfumo dume ulioanzishwa na wanume ili kuhalalisha wao kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja.....SI KWELI KABISA
 
G.S
Asante kwa maelezo mazuri
 
kweli kabisa..hii nimeshawahi kukutana nayo...wanaume wa siku hizi ni vimeo kweli kweli.
Dah nilifikiri ni FL tulio mzoea ntaka nimuulize Avatar kaipeleka wapi? maana majina yanchangaya haya!!

kuna watu wengine unawavumilia hawavumiliki ila jamaaa sio bure!!! we are not compatible may be!!!!!
ha ha ha watu kama hao muhimu kuwepo kuchangmsha kijiwe!!
 
kuna watu wengine unawavumilia hawavumiliki ila jamaaa sio bure!!! we are not compatible may be!!!!![/QUOT

dont take anything persona here!!!!!, if compartibility doesnt work, try miechievous!!!!!!!!!!!!!

JF ina mambo jamani
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom