Wanaume na Wasichana wa Kazi za Ndani

Status
Not open for further replies.
. jasho linamtoka kama yupo kwenye tanuru,

Huyu huyu atakwe na wifey yake me myself and I?

aaah! wapi!! nakataa!

Yes why not! As long as wifey ana fetish na hako ka pafyum na ulibido wa kijana mchapakazi ahaha usiombe ndugu yangu wengine wamelishwa mpaka sumu!:mad:
 
Cha kufanya muwaruhusu hawa mabinti waende kutembea mara kwa mara ili wapigwe miti mara kwa mara, hatoweza kumrembulia mmeo, na hata akilazimishwa atakataa maana ameishakunwa tayari.

Aaa wapi; kuna vibinti vibiriti ngoma; Mama katoka wewe umejipumzisha ndani asubuhi kanakuaj kudeki kakiwa na kaanga ya kujifungia shingoni! Ibilisi lazima akukamate tu!

Dawa ni kuweka mipaka; na wanaume tujizoeze kujitegemea hasa kuwasupport wenzetu ktk chores pale home in a way you dont have to rely on them for everything mapaka kutandika Kitanda!

Mf: sisi tunafunga chumbani muda wote tusipokuwapo na HG haruhusiwi kuingia chumbani ikiwa hatupo arround ama tupo chumbani!:D
 
Wanaume wa namna hiyo ni wale wasiojiamini wala kujithamini wenyewe.Mwanaume aliyekamilika idara zote hata kama ni mkware hatafanyia uchafu nyumbani au kitandani kwake bali atafanyia nje anakojua mwenyewe.Wanaume wachafu hawa, pia hupenda kujifanya mbele ya jamii kuwa hawatembei nje na kweli hutakaa umwone ana mwanamke nje! Kumbe kila kitu anamalizia humohumo ndani mwake.SHAME!

Woman of Subtance. Hapa umenena kweli kabisa..Yaani hawa wanaume wanakera sana.
 
Anakuja kufanya usafi na kanga moja au kimini anakuinamia unaona mpaka mapaja yalipokunania mzee kitu kinachukua futi vibaya akirudia mara mbili au tatu uzalendo unakushinda unamuomba kidude tratiiibu na yeye kama ana nia hiyo anakuchanulia haraka mzee mzima unashindilia kitu kimiani mbaya zaidi ukute ipo vzr duuh utataka kila siku na tena utaanza kuwa na wivu naye ila chunga kisinase mazee
 
Hii topic nimeipenda sana

Turudi ktk saikolojia, mwanaume anatamani ngono kirahisi sana kuliko mwanamke tena kupitia mlango mmoja tu wa fahamu ambao ni kuona tofauti na mwanamke ambaye yeye mpk atumie milango yote mnne ya fahamu, kuona, kugusa kusikia n.k

sasa utakuta umeajiri H/G kafika kwako na ni binti mkubwa tu let say above 18, anaanza kuoga maji na kupaka mafuta ukichanganya na ndizi nyama anaanza kupata umbo halisi la kike na kutamanisha

tatizo linaanza pale ambapo mnakaa nae miaka miwili mama hamruhusu hata siku moja aende kwa wachumbe kupunguza hamu ni kazi na kubanwa asitoke nyumbani

na kama tunavyojua manyenyere yakishaanza kumtembea mtoto wa watu anakuwa kama na mashetani utakuta anaanza kukutegeshea baba mwenye nyumba
Akiona mmebaki wawili anaanza kukukalia vibaya anakuvalia kanga moja na vituko vingine vingi tu ambavyo hawezi kuvifanya mama akiwepo sasa utakuta kwa kuwa m/ume anapata hisia zaidi kwa kuona utakuta tamaa inamshika japo tunajizuia sana lakini wanaume wenzangu nadhani kichwani uwa tunafikiria vibaya kusema ule ukweli

sasa hapo kama ukizidiwa na tamaa ndio unakuta mtu anatafuna H/G wake na mapenzi yalivyo mapumbavu utakuta unarudia tena mpk siku unashikwa

Mie yaliwahi kunikuta haya (ingawa siku-do nae) ila kuna siku mamaa alisafiri huku nyuma nilifanyiwa vituko mpk basi yule H/G alikuwa anakaa mbali sana kutazama TV mamaa akiwepo na mara nyingi mi nikiwepo uwa anaondoka kabisa, sasa baada ya mamaa kusafiri yule HG akaanza kuvaa vitopu kitovu nje na chini kanga na alikuwa na umbo na pia anajiachia mapaja nje akiwa jikoni ambako ndio mlango mkuu wa kutokea nje na nikipita wala hastuki kujifunika ikifika kipindi cha kula ananiwekea nae anakaa hapo hapo kula

Nikikaa kuangalia TV nae akimaliza kazi anakaa sasa kuna siku nilikuwa naangalia Movie ilikuwa above 18 DSTV jamaa akawa anabambia demu na kupiga madenda ya kufa mtu huku anamchezea manyonyo demu kwenye ile movie hapo tuko wawili tu na HG na remote ilikuwa mbali kwa hiyo tukawa tunaangalia yule HG si akaanza kubana bana miguu huku anahema hovyo baadae akakimbia chumbani kwake huku anacheka. mie nikawa najichekea kimoyo moyo baadae akatoka tena kuja kuangalia TV wakati mie naendelea kuangalia akawa kapiga kanga tu kajifunika kuanzia maziwa mpk mapaja halafu akakaa kajichanua. mie uzalendo ukawa unanishinda ila nikakomaa tu simsemeshi ila nikawa namsoma nione mwisho wake

baadae nikawa nataka kutoka kwenda kulala akaniambia anashida anataka kuongea na mie moyoni nikajisemea haya sasa makubwa nikamuuliza una shida gani kakaa kimya huku nachezea vidole nikamchengia kidogo na kumuuliza kwa ukali unashida gani kimya nikaamua kwenda kulala kesho yake asubuhi nikamuuliza tena ulikuwa na shida gani akasema alikuwa anaomba elfu 20 akanunue nguo nikampa nikaenda job, baadae nikawa namkwepa nikirudi home nakula then chumbani

ila nilichikuja kugundua ni kwamba wife alikuwa anambana sana kutoka nje wakati nae alikuwa na manyegele kama watu wengine. Alipokuja kuondoka toka mwaka huo 2007 tunawaajiri wa kiume tu
 
point kubwa presence ya mama/mke nyumbani wakati hgirl anafanya kazi, mara nyingi hii hutokea baba anapokuwa na mda mwingi wa kukaa nyumbani kuliko mke, hivyo mke anachangia kwa kutoona hilo
sASA MWANUME MZIMA UNAKAA KAA NDANI KWA NINI? KAMA UAJUA WEWE UKIKAKAA HOME KASICHANA HAKATAKATIZA (HAPA NASEMA KWA VILE WANAUME WAMEKIRI KUWA WAZAIFU) KWA NINI USITAFUTE VITU VYA KUFANYA BADALA YA KUKAA KWENYE MTEGO?
 
Anakuja kufanya usafi na kanga moja au kimini anakuinamia unaona mpaka mapaja yalipokunania mzee kitu kinachukua futi vibaya akirudia mara mbili au tatu uzalendo unakushinda unamuomba kidude tratiiibu na yeye kama ana nia hiyo anakuchanulia haraka mzee mzima unashindilia kitu kimiani mbaya zaidi ukute ipo vzr duuh utataka kila siku na tena utaanza kuwa na wivu naye ila chunga kisinase mazee

Msichana wa kazi ni kama mtoto wako au mdogo wako sasa kama anakuja kufanya usafi na kanga moja au kimini kinachokukwaza kwanini usimwambie kwamba sio tabia nzuri?in first place huo usafi gani unaofanywa na mtu mwingine amekaa anaangalia?acha hizo mazee,waheshimuni wasichana wa kazi na wake zenu pia..It is very unfair kutoka na msichana wa kazi...
 
You can say this again and again!

Ni tabia tu ya baadhi yetu sisi wanaume. Tena ukikutana na mtu wa hivyo, utakuta ameshatembea/au kujaribu kuwarubuni shemeji zake (ndugu wa kike wa mkewe etc). Tabia ya ujinzi huwa haiangalii cha HG, bar-maid wala nani.

On the other note - wapo pia wanawake wanaotembea na houseboys wao. Ni tabia tu.
Unarudia kufanya kosa lilelile. Unajumuisha wanaume wote katika hitimisho lako. Watu tunatofautiana bwana na kuna sababu nyingi sana za wanaume kutembea na hausigeli wao.
 
Kwa ujumla ni tabia mbaya tu ya uzinifu ambayo mtu anayo. Na haina tofauti na mtu anayetembea nje ya ndoa yake hata kama si kwa H/G au H/B. yate hao ni ukware na ushetani. Badilikeni.
 
Hii topic nimeipenda sana

Turudi ktk saikolojia, mwanaume anatamani ngono kirahisi sana kuliko mwanamke tena kupitia mlango mmoja tu wa fahamu ambao ni kuona tofauti na mwanamke ambaye yeye mpk atumie milango yote mnne ya fahamu, kuona, kugusa kusikia n.k

sasa utakuta umeajiri H/G kafika kwako na ni binti mkubwa tu let say above 18, anaanza kuoga maji na kupaka mafuta ukichanganya na ndizi nyama anaanza kupata umbo halisi la kike na kutamanisha

tatizo linaanza pale ambapo mnakaa nae miaka miwili mama hamruhusu hata siku moja aende kwa wachumbe kupunguza hamu ni kazi na kubanwa asitoke nyumbani

na kama tunavyojua manyenyere yakishaanza kumtembea mtoto wa watu anakuwa kama na mashetani utakuta anaanza kukutegeshea baba mwenye nyumba
Akiona mmebaki wawili anaanza kukukalia vibaya anakuvalia kanga moja na vituko vingine vingi tu ambavyo hawezi kuvifanya mama akiwepo sasa utakuta kwa kuwa m/ume anapata hisia zaidi kwa kuona utakuta tamaa inamshika japo tunajizuia sana lakini wanaume wenzangu nadhani kichwani uwa tunafikiria vibaya kusema ule ukweli

sasa hapo kama ukizidiwa na tamaa ndio unakuta mtu anatafuna H/G wake na mapenzi yalivyo mapumbavu utakuta unarudia tena mpk siku unashikwa

Mie yaliwahi kunikuta haya (ingawa siku-do nae) ila kuna siku mamaa alisafiri huku nyuma nilifanyiwa vituko mpk basi yule H/G alikuwa anakaa mbali sana kutazama TV mamaa akiwepo na mara nyingi mi nikiwepo uwa anaondoka kabisa, sasa baada ya mamaa kusafiri yule HG akaanza kuvaa vitopu kitovu nje na chini kanga na alikuwa na umbo na pia anajiachia mapaja nje akiwa jikoni ambako ndio mlango mkuu wa kutokea nje na nikipita wala hastuki kujifunika ikifika kipindi cha kula ananiwekea nae anakaa hapo hapo kula

Nikikaa kuangalia TV nae akimaliza kazi anakaa sasa kuna siku nilikuwa naangalia Movie ilikuwa above 18 DSTV jamaa akawa anabambia demu na kupiga madenda ya kufa mtu huku anamchezea manyonyo demu kwenye ile movie hapo tuko wawili tu na HG na remote ilikuwa mbali kwa hiyo tukawa tunaangalia yule HG si akaanza kubana bana miguu huku anahema hovyo baadae akakimbia chumbani kwake huku anacheka. mie nikawa najichekea kimoyo moyo baadae akatoka tena kuja kuangalia TV wakati mie naendelea kuangalia akawa kapiga kanga tu kajifunika kuanzia maziwa mpk mapaja halafu akakaa kajichanua. mie uzalendo ukawa unanishinda ila nikakomaa tu simsemeshi ila nikawa namsoma nione mwisho wake

baadae nikawa nataka kutoka kwenda kulala akaniambia anashida anataka kuongea na mie moyoni nikajisemea haya sasa makubwa nikamuuliza una shida gani kakaa kimya huku nachezea vidole nikamchengia kidogo na kumuuliza kwa ukali unashida gani kimya nikaamua kwenda kulala kesho yake asubuhi nikamuuliza tena ulikuwa na shida gani akasema alikuwa anaomba elfu 20 akanunue nguo nikampa nikaenda job, baadae nikawa namkwepa nikirudi home nakula then chumbani

ila nilichikuja kugundua ni kwamba wife alikuwa anambana sana kutoka nje wakati nae alikuwa na manyegele kama watu wengine. Alipokuja kuondoka toka mwaka huo 2007 tunawaajiri wa kiume tu

Hongera sana kwa kuweza kushinda jaribu la msichana wako wa kazi..Wewe ni mwanaume kweli,ur really amazing..
 
Ni uroho na ulafi unaopelekea hali ya namna hiyo. Suala la msingi ni kujiheshimu na kudhibiti tamaa zako. Tamaa zipo siku zote zipo na zinadhibitika na si kuziendekeza.
 
hawana gharama, na kulalamika hawawezi, hiyo ni kwa wale wapenda vya bure, hii pia huchangiwa na mke, maana msichana anafanya kazi mpaka za chumbani kwa mke na mme, na yeye kutafuta ujiko mama hayupo anakuuliza naomba nije kufanya usafi anakuja chumbani unamruhusu anarembue, mwanaume hudanganywa na wanawake mara anamzidi ujanja, mara mzee mzima unajiingiza

Kurembua tu?..HIVI WANAWAKE WANGEKUWA NA VISABABU VYA KIPUUZI VYA KUJIDHALILISHA NA KUWAAIBISHA WANAUME, NDOA ZINGESIMAMA?
NI MARA NGAPI TUNASIKIA WANAWAKE WAKIBEZWA ATI HAWA AKILI AU AKILI ZAO ZINAWATISHA WENYEWE? iWEJE TENA MWEREVU KUDANGANYWA A MJINGA?

WEWE MKAKA UNAYEFANYA VITENDO VYA AIBU NDANI YA NYUMBA YAKO UJUE UNA UJINGA ULIOPITILIZA NA HUFAI KATIKA JAMII.Hili sitaomba radhi kama kuna atakayekuwa kaguswa nalo.
SHAME! puuuh!
 
Ni uroho na ulafi unaopelekea hali ya namna hiyo. Suala la msingi ni kujiheshimu na kudhibiti tamaa zako. Tamaa zipo siku zote zipo na zinadhibitika na si kuziendekeza.

Nimependa comment yako.wanaume wote tungekuwa hivi nadhani tungekuwa mbali sana katika mahusiano yetu.
 
point kubwa presence ya mama/mke nyumbani wakati hgirl anafanya kazi, mara nyingi hii hutokea baba anapokuwa na mda mwingi wa kukaa nyumbani kuliko mke, hivyo mke anachangia kwa kutoona hilo

na je wale wanaotoroka kazini kumwahi hausgeli chap chap? hawa utawaweka kundi gani?. Na wanaowatoroka wake zao vyumbani wakiwa wamelala wote usiku utasema nini?
 
...ahaaa, ndio zile upo safarini...unapiga simu nyumbani house girl anapokea na kusema "dada anaumwa sana kichwa, kasema asiamshwe!" :D
Kama kuna wanawake wajinga wenye kuwekeana siri na wasichana wa ndani basi wajue wanajipalia makaa ... hii ni njia safi sana ya kukuondosha kwenye ndoa yako!
Kuna siku ataanza hivi:
Msichana : " baba..kuna kitu nataka kukuambia siku nyingi lakini naogopa"
Baba ( akiwa macho yamemtoka!: Ehee binti Msipitwe, hebu kaniletee bia na wewe njoo na soda yako kisha uje ukae unieleze vizuri
( Msipitwe huyooooooooo akielekea alikotumwa huku baba akimsindikiza kwa macho hadi anaishia..mara karudi na vinywaji)
Baba: Kaa karibu na moyo wangu hapaaaa..kisha uniambie hicho kitu ulichokiona hadi ukaogopa kuniambia
Msichana: Mama siku hizi kabadilika sana, hayuko kama zamani baba! huwa tunakwenda naye kuleeeeee....
baba akishapata mkanda mzima ulioongezwa na sound effects za nguvu...appetite inapandishwa zaidi na hasira! the rest utajaza msomaji!
 
tumeona na tumesikia wake zetu ama wa jirani zetu au wanawake wenzetu ama wakilalamika au kuvunja ndoa zao kutokana na wanaume kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wasichana wa kazi.

Ukifanya kautafiti kadogo utakuja kugundua kuwa zaidi ya asilimia 60 ya wanaume katika hutembea na wasichana wa kazi ama kwa kuwalazimisha au kwa maelewano. Hivi jamani wanaume tunaofanya hivi hatuoni aibu?kwanini tunajidhalilisha mbele ya wasichana wetu wa

kwanini hatuwatendei haki hawa mabinti na hata wake zetu? Wakati mwingine hufisadi huu hufanyika katika vitanda vyetu tunavyolala pamoja na wake zetu...hebu tuache hii tabia jamani..haipendezi hata kidogo...ebo.!
1.gs hapo kwenye red pako sawa?
2.mchezo wa kuonja mahouse girl haufai kabisa.
3.house girl akikolea anaweza mwekea sumu mkeo.
4.nawashauri muwaeleze(najua hapa jf hawapo wanaume kama hao) wale wote wenye tabia hii waache ni hatari kuliko maelezo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom