Wanaume na Wasichana wa Kazi za Ndani

Status
Not open for further replies.
Ni lazima ufuate kanuni:

a. Usiajiri msaidizi wa ndani wa kike ambaye ni mzuri kuliko mke wako
b. Usiajiri msaidizi wa ndani ambaye ni mwema kuliko mkeo
c. Usiajiri msaidizi wa ndani ambaye analala ndani ya nyumba yako na anasifa a na b
d. Usiajiri msaidizi wa ndani ambaye ukimwangalia unafikiria kilicho chini ya nguo zake
e. Kama wewe ni mwanamke/mke usimuache mumeo akubali kuajiri msaididi mwenye sifa hizo. Mtashindana na utashindwa.

...Lol, hata aletwe akiwa na sifa duni kiasi gani, mikate na siagi haiongopi!..baada ya 'siku mbili tatu' huyoo vishavu na makalio yanaanza kuongezeka... atapendeza na kuvutia tu labda aajiriwe 'mlokole!' :D
 
Kuchungana na kulindana..si heshima pia.Shurti mtu ajue kujitawala yeye na tamaa zake ndio kipimo cha utu.Uchunge mifugo na binadamu mwenye akili na utashi pia?

Nakubaliana na wewe lakini kama nilivyosema hili ni tatizo sugu na gumu. Katika nchi zenye haki bora za wafanyakazi na wanawake matatizo hayo hutokea mara chache. Kabla waTz hatujafika huko inafaa kutakuta quick fixes, moja wapo ni wanamama kuangaza-angaza.

¬K
 
Tatizo hapa ni hii title 'House Girl'. What if angekuwa ni msichana wa nyumba ya jirani?
Suala kubwa ni jinsi gani mahusiano yanavyojengwa baina ya mwanaume na mwanamke.
Wengi wanandoa ukiangalia historia yao ni kwamba kwanza kulikuwa na jukwaa lililowaleta karibu kama vile shule, chuo, kazini, ujirani, rafiki wa rafiki, kwaya, etc. Sasa kwa jinsi ambavyo msichana wa kazi anapokuwa karibu na watu basi uhusiano ambao si rasmi unaweza kuanza kwa hali yeyote ile. Mimi ninachokiona ni kuwa kwa akina mama (wake) ni kuomba tu kwamba mumeo asijiingize kwenye mahusiano hayo, vinginevyo kama anataka huwezi kumzuia kutingisha nyavu ndani ya 18 unless he's not a goal getter.
 
Ni lazima ufuate kanuni:

a. Usiajiri msaidizi wa ndani wa kike ambaye ni mzuri kuliko mke wako
b. Usiajiri msaidizi wa ndani ambaye ni mwema kuliko mkeo
c. Usiajiri msaidizi wa ndani ambaye analala ndani ya nyumba yako na anasifa a na b
d. Usiajiri msaidizi wa ndani ambaye ukimwangalia unafikiria kilicho chini ya nguo zake
e. Kama wewe ni mwanamke/mke usimuache mumeo akubali kuajiri msaididi mwenye sifa hizo. Mtashindana na utashindwa.

Daa hapa patamu..sifa zote hizi ulizozitaja mimi ndio nazitaka kwa msichana wangu wa ndani..binti lazima auzike na ni muhimu akawa mwema. Kimsingi hili suala ni gumu sana..Nimesoma comments zako nyingine baada ya hii nazidi kuchanganyikiwa...kazi ipo kwa kweli.
 
Ni lazima ufuate kanuni:

a. Usiajiri msaidizi wa ndani wa kike ambaye ni mzuri kuliko mke wako
b. Usiajiri msaidizi wa ndani ambaye ni mwema kuliko mkeo
c. Usiajiri msaidizi wa ndani ambaye analala ndani ya nyumba yako na anasifa a na b
d. Usiajiri msaidizi wa ndani ambaye ukimwangalia unafikiria kilicho chini ya nguo zake
e. Kama wewe ni mwanamke/mke usimuache mumeo akubali kuajiri msaididi mwenye sifa hizo. Mtashindana na utashindwa.

Mzee Mwanakijiji, sikubaliani na wewe. Haisadii chochote kwa msichana kuwa/kutokuwa na sifa hizo. Ninavyoelewa hata mwanamke awe mzuri kiasi gani, kama mume anampenda na kumheshimu mke wake kwa dhati hawezi kufanya hivyo. Sio tu kwa wasichana wetu wa kazi bali kwa kila mwanamke atakayekutana naye. Nadhani ni uchu wa baadhi ya wanaume na kutoridhika kwao.
 
nakusikia; siku mkitoka kwenye ulimwengu wa nadharia na kushuka kwenye dunia yahalisia utatambua kuwa huwezi kumstaarabisha paka kutokunywa maziwa! Huwezi kutegemea kuwa simba amestaarabika kwa vile anafugika kiasi kwamba ukimwachia nyama ataiweka kabatini!

Unajua ile sala ya baba yetu inasemaje mahali fulani... "usisutite majaribuni".. do you know kwanini haisemi "utustaarabishe mbele ya majaribu"... ?
 
hayo ni mazoea mabaya tu ya baadhi ya wanaume, kwa kweli naweza kusema huwa hawana sababu yoyote inayowafanya watembee na wasichana wa kazi. kuingia chumbani kwenu-siyo sababu, kukuandalia chakula-siyo sababu, kukuwekea maji ya kuoga- siyo sababu; yaani kwa kifupi hakuna sababu ya msingi, ni ujinga tu wa wababa hao wenye hizo tabia.
msichana wa kazi anapokuwa kwako inabidi umtreat kama mtoto wako tu, sasa ukianza kuwaza kulala naye ndo unaweza siku ukawaza hata kulala na mwanao.
kwa kweli wababa wenye hizo tabia inabadi waachane nazo; na kwa taarifa yenu huwa mnachangia na wachunga ng'ombe hata kama ni wa jirani, wale watu wa sokoni, dukani n.k.
 
nakusikia; siku mkitoka kwenye ulimwengu wa nadharia na kushuka kwenye dunia yahalisia utatambua kuwa huwezi kumstaarabisha paka kutokunywa maziwa! Huwezi kutegemea kuwa simba amestaarabika kwa vile anafugika kiasi kwamba ukimwachia nyama ataiweka kabatini!

Unajua ile sala ya baba yetu inasemaje mahali fulani... "usisutite majaribuni".. do you know kwanini haisemi "utustaarabishe mbele ya majaribu"... ?

Do you think majaribu yanaepukika?hayaepukiki hata kidogo..mtu mkware ni mkware tu hata mwanamke akiwa mbaya vipi huwa analambwa tu.
 
nakusikia; siku mkitoka kwenye ulimwengu wa nadharia na kushuka kwenye dunia yahalisia utatambua kuwa huwezi kumstaarabisha paka kutokunywa maziwa! Huwezi kutegemea kuwa simba amestaarabika kwa vile anafugika kiasi kwamba ukimwachia nyama ataiweka kabatini!

Unajua ile sala ya baba yetu inasemaje mahali fulani... "usisutite majaribuni".. do you know kwanini haisemi "utustaarabishe mbele ya majaribu"... ?

Sawa kabisa, nimefurahi kwa wewe kutoa mfano wa simba maana ni kweli watu wenye tabia hii wanafanana na simba ila kumbuka kuwa Simba akiwa ameshiba sana hawezi kuendelea kula nyama hata ikiwa mbele yake, maana anakuwa ametosheka kabisa. Kukubali kwetu kuwa kuna wanaume/wanawake ambao wako kama paka kamwe hawawezi kustaarabika wanapokuja kwenye suala la maziwa ndiko kunafanya washindwe kuacha hiyo tabia wakidhani tunawasupport. Hii ni kitu iko kwenye stupid mentality yao which cant think beyond sex. Kuna mpaka wanawake wanawaambia waume zao, wewe cheat lakini usinionyeshe mimi, THAT IS SOOO CRAZYYY!!!!! It means she accept and give permission kabisa for her husband to do so as long as haoni. Majaribu yako ila kumbuka kila jaribu lina mlango wake wa kutokea so kamwe tusijaribu kujustify mambo ya aibu ambayo baadhi ya wanaume na wanawake wanafanya.
 
Sebastian Ndege aliwahi kurusha kipindi kimoja clouds, binti aliyekuwa anafanya kazi za ndani O'bay alitembea na baba pamoja na watoto wawili wa huyo baba then binti akapata ukimwi. Wakati kipindi kinarushwa huyo baba alikuwa ameshakufa.
 
Mshahara wa dhambi ni mauti.
 
tokea nafungua jicho kwetu wapo wafanyakazi wa ndani........lkn wote ikifika saa kumi na moja jioni wanaondoka wanarudi majumbani kwao. baada ya wakati huo wazee wanshughulika wenyewe na familia yao, kama kupika cha usiku, home work za watoto, n.k
huu mpango wa kuwalaza wafanyakazi wa ndani majumbani kwetu ndio una tu cost.
unamchukua mtoto ambae yupo katika age ya kujua kinachotokea mwilini mwke kisha unamtarajia akiitwa na baba mwenye nyumba akatae?

nafikiri ni wakati wa kuhakikisha wafanyakazi wa ndani hawalali majumbani mwetu
 
Mnajaribu kuelezea upande mmoja tu!

na vipi pale ambapo HG anatumika kama pazia la kuficha maovu ya mama; kuna ndoa moaja mama amaekuwa akiongozana shopping na HG na huko anakuwa anakuatana na kidume chake cha nje na wakati mwingine kidume kinakuja hapo hapo home HG anapiga kimya; ikatokea HG akaona huruma kwa Baba naye akaamua kuanza kumgawia (of coz alitengeneza mazingira) mautamu Baba; Hivyo wakati mwingine they do it out of compasssion; yaani wanashuhudia baba wa watu anavyoumia na wanamuhurumia!
 
...ahaaa, ndio zile upo safarini...unapiga simu nyumbani house girl anapokea na kusema "dada anaumwa sana kichwa, kasema asiamshwe!" :D
 
tokea nafungua jicho kwetu wapo wafanyakazi wa ndani........lkn wote ikifika saa kumi na moja jioni wanaondoka wanarudi majumbani kwao. baada ya wakati huo wazee wanshughulika wenyewe na familia yao, kama kupika cha usiku, home work za watoto, n.k
huu mpango wa kuwalaza wafanyakazi wa ndani majumbani kwetu ndio una tu cost.
unamchukua mtoto ambae yupo katika age ya kujua kinachotokea mwilini mwke kisha unamtarajia akiitwa na baba mwenye nyumba akatae?

nafikiri ni wakati wa kuhakikisha wafanyakazi wa ndani hawalali majumbani mwetu

Sio rahisi kama unavyodhani na kushauri ndugu yangu..Kwa wafanyakazi wetu wa ndani wa kibongo ni ngumu sana kuwa control wasipokuwa wanakaa kwako..Ukitaka kufanya hivyo maana yake ujiande kulisha familia mbili watakuwa wanaiba ama vyakula au pesa na kupeleka wanakokujau wao.wanawaeza kuiba hata mali pia.
 
Mbona hata hausi boi nae anadanganywa na mama mwenye nyumba??
MMhhh! hayo tena!!
najaribu kuwaza.....kijana wangu wa kazi, ameamka subuhi sana amekamua (nina ng'ombe) then amekwenda kutafuta majani ya ng'ombe, anarudi anakunywa chai na mkate mzima na kiporo cha wali. then analisha ng'ombe, anatoka anenda kuchukua pumba mtaa wa kati. jasho ninamtoka kama yupo kwenye tanuru, anarudi na kupata lunch. anasinzia hovyo hovyo kwenye kibanda chake, anashtuka kabla bos mm sijarudi na anasafisha banda la ngombe na kuanza kujiandaa kukamua jioni!!

Huyu huyu atakwe na wifey yake me myself and I?

aaah! wapi!! nakataa!
 
Ha ha ha!
 
hawana gharama, na kulalamika hawawezi, hiyo ni kwa wale wapenda vya bure, hii pia huchangiwa na mke, maana msichana anafanya kazi mpaka za chumbani kwa mke na mme, na yeye kutafuta ujiko mama hayupo anakuuliza naomba nije kufanya usafi anakuja chumbani unamruhusu anarembue, mwanaume hudanganywa na wanawake mara anamzidi ujanja, mara mzee mzima unajiingiza
Sio hilo tu, hakina mama wanachangia kwa sehemu kubwa sana, maana wanambana mtoto wa watu mpaka anashindwa hata kwenda kusuuza/kuosha rungu (kumegwa) hatimaye anazidiwa, ndio mwanzo wa kumrembulia baba, na wanaume tunazidiwa haraka, amri ya sita inavunjwa,

Cha kufanya muwaruhusu hawa mabinti waende kutembea mara kwa mara ili wapigwe miti mara kwa mara, hatoweza kumrembulia mmeo, na hata akilazimishwa atakataa maana ameishakunwa tayari.
 
Hivi ni kumegwa au kumegana?acha hizo..mapenzi ni ya pande mbili.
 
House girl ni mtu lakini sio wakudanganywa na boss wake..House girl ni kama mwanao hivyo ni vyme nae akaheshimiwa kama watoto wengine ndani ya nyumba.
Ina maana waliosema ``mtoto ni yule ulomzaa wa mwenzio mkubwa mwenzio ``walikosea?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom