2025DG
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 508
- 1,426
Habari,
Mimi kidogo ni mfuatiliaji wa Facebook. Kuna kinachoendelea kwenye page ya jamaa mmoja anayejiita Dr. Harris Kapiga akitoa yake ya moyoni.
Ameweka namba na wanawake waeleze yaliyo moyoni mwao katika Ndoa. Wengi wao wasichana wenzangu wamekuja na madukuduku yafuatayo;
1. Usaliti umekuwa mkubwa sana.
2. Wanaume wengi hawana nguvu za kiume ila ni visirani na wanaongoza kutoka nje ya Ndoa.
3. Matumizi yaliyokithiri ya simu ya mkononi.
4. Uchafu kwa wanaume.
5. Kuomba penzi nyuma ya maumbile.
Jamani mapenzi nini kinaendelea katika Ndoa zetu wanaume, mje mseme mnakoelekea.