Wanaume mnaowashika wanawake makalio na matiti Kariakoo kiama chenu kinakuja; Chalamila anawachemshia dawa

Siku 1 natoka mikocheni na enda ilala mida ya saa 12 jioni daladala la rangi tatu. Limejaaa hatari mm nkawa nimesimama next akawepo mdada then mama 42 plus pembeni mdada then Dunga Dunga. Movie lilianzia tuko Morocco Dunga anavusha border mkono kumpita dada tu jimamaz then I anafanya Kama anaingiza kwa matraakooo bi mkubwa akistuka Dunga chapu keshatoa mkono Yuko busy Kama hajui nn knaendelea. Mama akipiga chabo kujua nn hiko anakosa majibu. Dunga hakomi pakitulia anapeleka tena mkono 2nd anaingiza mama kastuka mwamba Kama Kawa kasave tena. La haulaaa kumbe mama kapata akili akasubili akuje kwa Mara ingine. Kweli mwamba kapeleka mkono mama alikua kavaa trouser lakini Dunga akawa anaingiza mkono mama kujifanya Kama hajari ili amkamate. Dunga kuona vile akaona mama kaelewa mchezo kumbeee Dunga akawa anafuta kumpeleka dole gumba pale mama anaponyeaga hapo hapo mama Kama komando ushuzi kanyaka mkono dadeki mwamba alichapika na kushuswa njiani. Ndo mama akawa anasimulia Kama Mimi nlivyosimulia kuanzia kuhisi mpaka kuweka mtego. Ndo Mara ya kwanza kunana na Dunga Dunga nlimwangalia hata sikuamini alikua kjana around 24_27 tena balobalo mtanashati na bonge la hb lakini
 
Bora na asiwasahau wale wanaovuta watu mikono mtu kama hataki kununua muache mnazingua,,,, na wale wanaosumbua watalii yani wabongo wakiona Mzungu tu wanajua ana hela basi atamganda wee na kingereza chake kibovu unamtajia mbuga sijui nini wenzenu kabla ya kuja huku wanasoma Raman sehemu zote na kuna article kwenye mtandao wenzao waliokuja huku wameeleza sehemu za kutembelea,,,pia wazungu wengi wanajua kiswahili sasa na sio wote wanapesa,wengine ni wanafunzi wanakuja kutembea tu,,,hii nimeona sehemu aibu niliona mimi yan tunaonekana watanzania wote tuna mambo ya ajabu.
 
Siku 1 natoka mikocheni na enda ilala mida ya saa 12 jioni daladala la rangi tatu. Limejaaa hatari mm nkawa nimesimama next akawepo mdada then mama 42 plus pembeni mdada then Dunga Dunga. Movie lilianzia tuko Morocco Dunga anavusha border mkono kumpita dada tu jimamaz then I anafanya Kama anaingiza kwa matraakooo bi mkubwa akistuka Dunga chapu keshatoa mkono Yuko busy Kama hajui nn knaendelea. Mama akipiga chabo kujua nn hiko anakosa majibu. Dunga hakomi pakitulia anapeleka tena mkono 2nd anaingiza mama kastuka mwamba Kama Kawa kasave tena. La haulaaa kumbe mama kapata akili akasubili akuje kwa Mara ingine. Kweli mwamba kapeleka mkono mama alikua kavaa trouser lakini Dunga akawa anaingiza mkono mama kujifanya Kama hajari ili amkamate. Dunga kuona vile akaona mama kaelewa mchezo kumbeee Dunga akawa anafuta kumpeleka dole gumba pale mama anaponyeaga hapo hapo mama Kama komando ushuzi kanyaka mkono dadeki mwamba alichapika na kushuswa njiani. Ndo mama akawa anasimulia Kama Mimi nlivyosimulia kuanzia kuhisi mpaka kuweka mtego. Ndo Mara ya kwanza kunana na Dunga Dunga nlimwangalia hata sikuamini alikua kjana around 24_27 tena balobalo mtanashati na bonge la hb lakini
Dunga dunga ni tatizo hasa kwenye mabasi ya Mbagala na Gongolamboto. Wanawachafua sana wanawake.
 
Tanzania bado kuna wengi wanatakiwa kunyooshwa sawa sawa kwa kukosa heshima wakiwa katika mkusanyiko wa watu, mifano :
1.kutumia lugha chafu au kumtukana mtu
2. Kumshika au kumgusa mtu kwa makusudi
3. Kumcheka mtu au kumdhihaki
 
Wanaume wa Dar.....sasa Chalaboy atapagWa Dar kuna mihemko zaidi mil mwisho atakuwa comedian na watamtoa shauri yake na uchizi wake anajitoa akili anadhani sifa.....
 
Napenda kuwafahamisha tu, kuwa juu hapo nime comment kidogo sikutaka kujibu mashambulizi na maswali niliyoulizwa kwa sababu kuna uzi wa nasaha za mahusiano nimeanzisha, yote yatakuwemo humo na zaaidi, tena zaidi sana. Kuna mengi ya kujifunza vijana. Pitieni, bofya chini hapo ndiyo mambo yameanza anza:

Back
Top Bottom