Ukiona hivyo Waridi ujue jamaa yuko fiti kitandani na dada hawezi tia neno ataishia kulalamika pembeni.mwambie anachunwa shost.
amekuwa ustaw wa jamii bla kujijua
amkimbize hakuna love apo zaid ya kutumika
kadanganyika na muhogo?na maneno lain ya blue band....dah kaz nzto ama kwel mwalimu wetu kaded
SEMESTER IJAYO ATALIPIA YEYE PANGO...ahhh ata ivo aijatulia mwambie akatafute nyumba.
dah kuna watuwanapenda jaman dunian umu mpk akil inahama....:twitch:
Heri mimi nikae kimya hapa maana.......