Zama hizi ni sahihi kwa mkaka kumuoa binti bila kumuonja?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Kungwi mie leo niko katika mtanziko mkubwa. Nimepata mteja jana alikuja kupata ushauri wa masuala ya mahusiano na ndoa.

Kuna mkaka ana mdada ambaye anamhudumia kwa mwaka wa pili sasa kwa lengo la kuoana. Lkn dada huyu mwenye miaka 24 tu amegoma katakata "kutoa mchezo" mpk ndoa. Hataki kumtembelea huyu mkaka nyumbani kwake na mkaka kapigwa marufuku kwenda kwa mdada (amepanga maana ni mfanyakazi).

Kitu pekee anachokifanya huyu mdada mara moja moja akiwa na nafasi ni kupika na kumtumia msosi mkaka. Na akimaliza kula mkaka anatuma vyombo vinarudi.

Wahuni na wabobezi wa hahusiano hapa JF wasiwasi na maswali ya kaka ni haya:

1. Kaokota turufu ama galasa?

2. Labda dada ana mapungufu fulani kwenye maumbile yake, sasa anataka ampige surprise baada ya kufunga ndoa ya kufa/kuzikana?

3. Huyu dada akiwa na kiu anaikataje? Usikute dada ana mtu anampooza kiu halafu kaka anagandishwa kama ice cream.

4. Kaka anatafutiwa timing aje siku moja amtupilie mbali huku yeye (kaka) kishaliwa (kagharamia) halafu dada hajaliwa (hajatoa papa) hata siku moja.

Mm kungwi hapa pamenichanganya. Naombeni mawazo/majibu ya kumpatia huyu mteja wangu.
 
Labda zanzibar na kwenyewe asilimia ndogo.

Tuonjane kwanza, hata vijijini unaonjeshwa togwa,karanga,mbuzi choma kisha una nunua
 
Shake well before use

Lazima watu wajue yaliyomo yamo kama kuna mapungufu wakae wajadili namna ya kuyatatua
Imani yangu inasema mzigo uliwe kabla ya yote usikute anavunga kwa jamaa kuna mwamba huyu hapa anajilia vyake
 
Sababu zako?
Kwanza sio bikra, yanini nisionje kipi kinazuia hataki apite vile, pia ninavo mtongoza lengo ni kula papuchi then ayo mengine yatafuata taratibu,. Kama alitembea na wanaume bahati mbaya wakamdanganya basi mi sio darasa la kurekebishia mkosa yake, kama kweli ana msimamo angesimamia tangu awali na bikra yake
 
sasa mwanamke sio bikira, unabana nini sasa? Kwa faida gani?
Tatizo liko kwenye kufahamu kama dada ni bikra ama la. Yawezekana dada bado bikra na anataka kuutunza ubikra wake mpk siku ya ndoa. Who knows? And how can the guy know this?

Kaka nikimshauri kumuacha anaweza kuwa anaacha turufu (bikra).
 
Tatizo liko kwenye kufahamu kama dada ni bikra ama la. Yawezekana dada bado bikra na anataka kuutunza ubikra wake mpk siku ya ndoa. Who knows? And how can the guy know this?

Kaka nikimshauri kumuacha anaweza kuwa anaacha turufu (bikra).
basi atake kujua
 
Back
Top Bottom