Hivi hii imekaaje? ya mwanaume kukaa ukimbembeleza mwanamke/mpenzi masaa kibao akilia wewe unachukua kitambaa unampangusa

Morning_star

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
4,174
11,502
Nilitoka nikaenda sehemu kupata vyombo na kuchill na washikaji! Sasa tangu niingie pale, meza moja alionekana njemba akiwa na mdada na kwa ukaribu wa jinsi walivyokaa inaonekana ni wapenzi au couple! Sasa bwana muda wote mdada analia na kutoa mchozi njemba inambembeleza kwa kumshikashiga bega na kutoa kitambaa kumfuta muda woote mpaka nikaondoka nikawaacha! Matatizo ya mwanamke yanatatuliwa kwa mwanamme kuingilia kati na kutoa jibu lenye mashiko kimaamuzi! Kama tatizo la kifedha mwaga mpunga au mpige fix/sound na dakika kadhaa mwanamke anaanza kutabasamu! Sasa huyu njemba kutwa nzima kumbembeleza na kupanguza machozi huyo manzi!! Huu si ni undezi?
 
mkuu punguza umbea pia punguza kufwatilia maisha ya watu fata kilichokupeleka kama ni bia kunywa bia zako mpaka ujikojolee kama ni soda kunywa mpaka ukojoe asali hamna mtu ata kuuliza.

what if amefiwa jamaa anajaribu kumfariji, what if amegundulika anahoma ya ini jamaa anamfariji....narudia ACHA UMBEA, ACHA KUFWATILIA YASIYO KUHUSU
 
Acha povu!
 
Uzi ufungwe hii inatosha
 
Mjitahidi kufata kilichokupeleka mahali husika mambo ya watu hayakuhusu hujui chanzo cha hayo yote ni nini. Raha ya mwanamke ni kubembelezwa mwanamke ni pambo la nyumba,ni kama ua lazima litunzwe.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hii Dunia Ina mengi,inawezekana Jamaa kampa gudi niuzi kuwa kala shavu wizara ya utalii na madini,na manzi anatoa chozi la furaha,si unajua wanavyopenda maokoto.
 
Back
Top Bottom