Kuna jambo huwa nadhani watu wengi huwa hawajiulizi kabla ya kufanya maamuzi ya kujitangazia kuwa wanautaka urais. Watu hawa huwa fikra zao huishia kuwa kuwa rais ni kula bata na starehe za kufa mtu. Kumbe lah. Nadhani mkimuuliza JK kwa sasa hamasa aliyokuwa na mawazo aliyokuwa nayo wakati anautafuta urais kwa udi na uvumba atakupa jibu tofauti ingawa kwa sasa hali ilivyo ni siri yake. Naelewa kuwa mtu yeyote anao uhuru wa kukitafuta kiti hicho lakini.....sidhani kama wengi huwa wanajiuliza unyeti wa nafasi hiyo.
kwa mtu ambae anania ya kweli yakufaya urais kama kazi hawezi kuung'ang'ania wala kuwa na kitambi akiwa ikulu. JK Ni mfano mzuri. unamuona alivyozeeka mzee!Kuna jambo huwa nadhani watu wengi huwa hawajiulizi kabla ya kufanya maamuzi ya kujitangazia kuwa wanautaka urais. Watu hawa huwa fikra zao huishia kuwa kuwa rais ni kula bata na starehe za kufa mtu. Kumbe lah. Nadhani mkimuuliza JK kwa sasa hamasa aliyokuwa na mawazo aliyokuwa nayo wakati anautafuta urais kwa udi na uvumba atakupa jibu tofauti ingawa kwa sasa hali ilivyo ni siri yake. Naelewa kuwa mtu yeyote anao uhuru wa kukitafuta kiti hicho lakini.....sidhani kama wengi huwa wanajiuliza unyeti wa nafasi hiyo.
Urais siyo mgumu. Hata DJ anaweza kuwa raisi (mfano: Madagascar)!
Urais siyo mgumu. Hata DJ anaweza kuwa raisi (mfano: Madagascar)!
Unasema hata DJ anaweza?! Weka hata kibaka asiyewahi kuingia hata darasani, si ndiyo Demokrasia yenyewe inavyosema bwana? Akishafika huko lazima atashughulika tu na mtamwona Rais yuko Ikulu. Sasa hivi ukitaka kwenda Ikulu usiwaambie watu ukweli, ukweli sasa hivi wengi unawauma, ukiwaambia wanakuona mbaya, hawakupi kura. Ndiyo sababu wote wanaotarajia uRais wanakwenda wakitafuta maendeleo. Mtikila alipokwenda Mara akasema nchi ina ukabila wakampiga mawe, lakini kweli ukabila upo lakini ni waTz hao hao hawataki kukusikia ukiwaambiwa kuwa upo. Sema hakuna ukabila, waambie utajenga reli za kupita angani ....(makofi wawawawawa), sema utawapelekea maji mpaka mlangoni. Lowassa kishafika mpaka Korea kununua mvua ya kutungua kwa risasi (Yarabi mvua gani hiyo? Mbona jangwani Saudi wasingekuwa na matatizo ya kuomba mvua kwa Mola wao!). Ukishapata urais panga mambo yako jinsi unavyotaka kwa sababu hao waliokuchagua hawana uwezo wa hata kukuuliza unafanya nini, wachilia mbali kukunyang'anya kura zao......upo hapo? Kagombee tu, kila mtu uRais anauweza!Urais siyo mgumu. Hata DJ anaweza kuwa raisi (mfano: Madagascar)!
Kuna jambo huwa nadhani watu wengi huwa hawajiulizi kabla ya kufanya maamuzi ya kujitangazia kuwa wanautaka urais. Watu hawa huwa fikra zao huishia kuwa kuwa rais ni kula bata na starehe za kufa mtu. Kumbe lah. Nadhani mkimuuliza JK kwa sasa hamasa aliyokuwa na mawazo aliyokuwa nayo wakati anautafuta urais kwa udi na uvumba atakupa jibu tofauti ingawa kwa sasa hali ilivyo ni siri yake. Naelewa kuwa mtu yeyote anao uhuru wa kukitafuta kiti hicho lakini.....sidhani kama wengi huwa wanajiuliza unyeti wa nafasi hiyo.
nimesoma kwa shida lakini nimekuelewa
hao waliojitangaza mapema ni mbinu tu....
propaganda kwenye siasa ni kawaida ndo maana sisi wana wa nchi hii tunamtaka Dr. ambae hacheki na kima.
post yako haikuwa na mwanzo wala mwisho, nadhani umesharekebisha,Shida gani umeipata ili marekisho yafanyike?
Vizuri, kwa vile inaeleweka.post yako haikuwa na mwanzo wala mwisho, nadhani umesharekebisha,