KERO Wananchi wa Kijiji cha Idibula, Kilino (Nzega) hawajawahi kupata maji safi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Tatizo la maji bado ni kubwa sana.

Nimeenda Kijiji cha Idubula Kilino Nzega bado wananchi wa vijiji hivi hawajawahi kupata maji safi na salama tangia uhuru.

Sijui viongozi wa maeneo hayo wanajisikiaje?
 
Back
Top Bottom