Wananchi wa Goba wakarabati barabara wenyewe, Serikali za Mtaa washawishi bango litolewe

Sisi tumekuwa tukichangia na kujenga barabara za kijijini kwetu kwa mamilioni mengi japo huwa hatuweki bango. Hawa wenzetu wa Goba wametufungua sababu nahisi tunapojenga wengine wanachukua credit
Safi! Nadhani tukifanya hivyo itaonesha ni namna gani tunachoka ahadi zao wasizotekeleza.
 
Kujenga barabara ni kazi ya msingi ya serikali yoyote duniani inayokusanya kodi.
Waswahili huwa hamna tabia ya kujenga nchi wenyewe bali kila kitu mnasubiri Serikali. Hawa wa Goba wameona miradi haiendi au wamesubiri sana na labda hela zimeishapigwa.

Hongera kwao hata mimi kuna siku niliona Mashimo mbele ya nyumba na halmashauri hawana Habari
Niliyafukia kwa hela zangu.

Kuna wakati kujitolea kwa faida ya wengi ni vizuri wala sio kosa kisa tu eti ni kazi ya serikali. Kwa hiyo mpaka watu wafe?

Tena mjufunze kuwa na Charities nyingi. Kuna nchi matajiri lakini wana Charities tunazochangia kwa kupata maendeleo au hata utafiti wa madawa

Big up kwao
 
Wakazi wa Goba wanajielewa sana , yaani mbunge wao ameshindwa kutoa fedha ya mfuko kuchangia? Yaani mimi naona bunge lifutwe tu maana halina faida yeyote.
 
Tumeamua tuchange maana serikali imetutelekeza.Na tumekubaliana tukimaliza Barabara tutaanza kuchimba visima vya maji na tunamalizia ujenzi wa hospitali Kwa kuchangishana.Tumechoka kusubiri serikali maana Hela zote wananunua v8 za milioni 500 moja
 
Serikali kama bado inakusanya kodi haijawatelekeza.
 
Hii spirit nimeipenda mno! Inaweza kuwa chachu ya mambo mengine mengi tunayosubiri serkali. Hadi serkali ione aibu!

inauma sana nchi ina watu wana pesa lakin ka choo kameandikwa ..kwa hisani ya watu wa Marekani
Ni mchungaji anaweza kuzivuta kirahisi tu kwa hiari ya wateja.

Kuna watu wanachanga huko ulaya kusaidia Afrika kwa kufata ushereheshaji wa picha na makaratasi lakin wengi tunawazidi uwezo binafsi kifedha.

Natafuta wa kuniunga mkono nitoe msaada wa parachichi za kula kwa wazee wa Ujeruman na isomeke Aljazeera *wazee wa kijeruman wapokea shehena ya msaada wa parachichi toka taasisi ya walima avocado, Tanzania.
 
Serikali huwa haioni aibu.

Leo nimesiki kwenye Radio Clouds Diwani kajitokeza sasa kuja kusaidia na kulibeba jukumu la kuijenga hiyo njia, lakini kwa jinsi jamaa anavyoongea pole pole sijui kama uchaguzi unaofwata kuna kumchaguwa tena huyo Diwani, maana jamaa wamejishusha sana. Kwaujumla tunawapongeza sana kwa uthubutu wao.
 
Ni upumbavu kuchanga pesa wakati Serikali imekopa pesa kwa ajili hiyo hiyo.

Ujanja ni kusimama kidete na kuhoji pesa zilizotolewa na WB Kwa ajili ya kujenga miundombinu ya nini la Dar?
Gari yako ikikata springi hasara kwako au ya serikali.
Hata ulaya vingi wanafanya wananchi wenyewe.
 
Tunaweza kufanya maendeleo tukiacha ubinafsi.
Shida utajiri wa wengi ni WA kichawi ndo maana kusaidia wengine hatuwezi.
Unakuta mtu kapaki gari tano kwake kuikumbuka tu shule aliyosoma kijijini kujenga choo cha milioni mbili hawezi lakini anahonga kikojoleo iphone.
 
Kujenga barabara ni kazi ya msingi ya serikali yoyote duniani inayokusanya kodi.
Sio kama za huko ambapo hela zikiwa allocated kwa ajili ya miradi halafu zinaliwa na wajinga majizi
Na hata viongozi wakubwa wanakemea kwa midomo tu ila huoni mtu kafungwa miaka 30 kwa kuiba hela za miradi.

Kama ni kadi zenu mbona zinaliwa kila leo?
Kwa hili mkuu siafiki na kujitolea ni kawaida ingawa sio kwa barabara ila kuna mambo mengi ambayo wananchi husaidia wenyewe
Hao pia hawajakosea ni sawa na taka zilizovunda mitaani na Halmashauri inapigiwa kelele wanakuambia tumemfukuza mkandarasi tunasubiri mwingine ( only in Africa)
Sasa hapo wananchi wakijiongeza ni kosa?
 
Back
Top Bottom