Mo graphics 2019
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,002
- 1,460
Hakuna kitu kama hicho.Mimi nadhani labda VP yupo likizo ya mwisho wa mwaka...Ila sijui Kama yupo likizo..lazima aonekane hadharani??!!!!!! Mnataka aende sokoni Magomeni au kariakoo??
Kuna kitu hakipo sawa, Muda utazungumza tu.