pantaleokuroba
Member
- Jul 29, 2015
- 88
- 16
Nahodha wa timu ya mabao ya mkono
Wanachama zaidi ya 1900 wa chama cha mapinduzi katika jimbo la Mtama wamekusanya kadi zako kwa lengo la kuzichoma moto baada ya mgombea aliyeongoza kura za maoni Suleiman Mathew kuchakachuliwa na Nape Nnauye kutangazwa kama mshindi.
Inasemekana kabla ya Nape kutangazwa, matokeo ya vituo vyote yalikuwa yakionesha Suleiman Mathew kuongoza kwa zaidi ya kura 1200.
Muda utatuambia oil chafu ni nani...
Picha kwanza
kuna jamaa yangu yupo lindi alikua ananihakikishia kua nape anapigwa chini,nikashangaa matokeo yamekua kinyume chake
Mtasema saana kuhusu nape,huyo ndiye mwiba kwa lowasa na ukawa,na bado mtanyooka tu ngoja 22/8/2015
hatuwezi kumshambulia mtu asiye na baba ni kosa mbele za mungu kuonea yatima na hata kuwasema kwa hali yoyote ile .
Jisikie aibu kumzungumzia mtu kuhusu wazazi wake.Ki uungwana wacheni topic hii,niwaombe kwa heshima na taadhima,hii ni aina mojawapo ya udhalilishaji.Tuige tabia nzuri za wazazi wetu...AHSANTENI
Nape sio mtoto wa Nnauye