Wananchi Mtama wamkataa Nape, kumbe hakushinda yeye

Wanachama zaidi ya 1900 wa chama cha mapinduzi katika jimbo la Mtama wamekusanya kadi zako kwa lengo la kuzichoma moto baada ya mgombea aliyeongoza kura za maoni Suleiman Mathew kuchakachuliwa na Nape Nnauye kutangazwa kama mshindi.

Inasemekana kabla ya Nape kutangazwa, matokeo ya vituo vyote yalikuwa yakionesha Suleiman Mathew kuongoza kwa zaidi ya kura 1200.

Muda utatuambia oil chafu ni nani..
.

Picha kwanza
 
Ni propaganda au kweli huyu nape mbona anataka kutuvua nguo wazee wenzie
 
Nape kashinda kwa kura ngapi??
Hao 1900 ni zaidi ya wale waliompa kura nape??
 
kuna jamaa yangu yupo lindi alikua ananihakikishia kua nape anapigwa chini,nikashangaa matokeo yamekua kinyume chake

Mimi pia
Nlipita juzi nikaambiwa wazee walimwambia Membe arudi Dar na mtu wake
CUF/UKAWA wana mteremko mikoa ya Kusini
 
Huyo Selemani Methew Luwongo ambaye ni diwani wa kata ya Vijibweni anachokilalamika hata hakina mantik, Yeye kila akifika jimbo la Mtama anaishia kwenye kata mbili tu za Majengo na Mtama huku Nape akizunguka karibia sehemu zote za jimbo na jimbo la Mtama kijiografia limekaa vbaya sana. Sasa Methew anamtumia Maluma kuweka mabango eti "Eti Bila Methew Mtama hatutoki" Wakat huyo Methew amekuta wananchi wa Mtama wanaendelea na maisha yao tangu alipofika mwaka 2012 na kutoa pesa zake vijiweni na watu wakapiga pesa kama kawaida.
 
Mtasema saana kuhusu nape,huyo ndiye mwiba kwa lowasa na ukawa,na bado mtanyooka tu ngoja 22/8/2015

Sie tuamwombea Mungu aenguliwe ubunge ili tumnyoshee goti kwenye kampeni! Akipata ridhaa ya kugombea ubunge atajidai alikuwa kwenye kampeni!
 
hatuwezi kumshambulia mtu asiye na baba ni kosa mbele za mungu kuonea yatima na hata kuwasema kwa hali yoyote ile .

Wewe ni dhahiri hujui maandiko. Nukuu hiyo aya kama ilivyoandikwa kwenye biblia tuwekee hapa!
 
DSC_1177.jpg
 
Jisikie aibu kumzungumzia mtu kuhusu wazazi wake.Ki uungwana wacheni topic hii,niwaombe kwa heshima na taadhima,hii ni aina mojawapo ya udhalilishaji.Tuige tabia nzuri za wazazi wetu...AHSANTENI

hana nidhamu nape hata kwa wazazi na wazee,mfyuuuuu
 
Wana Mtama karibun Ukawa, huyu vuvuzela asiwazingue fanyen maamuzi magumu kama EL
 
Back
Top Bottom