WanaJukwaa lengwa! Kuweni waamuzi wazuri! Arusha one + Arushaone!! Tunaelewekaa????

sasa wewe shida ya nini....tubadilishane password ili tusisumbue watu hapa.....
We...!!
Weeeee!
Haya ni mambo ya Umoja bana!! Lazima Mzee wa Rula aandike yale maandishi maandishi yake kwenye Dadavuzi-Mpakato yake!
Mimi nifanye siri jambo zito hilo?...Ukimpa Arushaone password yangu itakuwaje?...shida yako ukipewa spaletta siri zote njenje!
 
Last edited by a moderator:

njenjeunje....spaletta kali hivyo...grand malta tu...nakuanika....
 
Last edited by a moderator:
We...!!
Weeeee!
Haya ni mambo ya Umoja bana!! Lazima Mzee wa Rula aandike yale maandishi maandishi yake kwenye Dadavuzi-Mpakato yake!
Mimi nifanye siri jambo zito hilo?...Ukimpa Arushaone password yangu itakuwaje?...shida yako ukipewa spaletta siri zote njenje!

umetumia maneno makali sana! Lazima ameelewa! Kha...
 
Last edited by a moderator:
Natoa shikamoo kwa wakubwa na wadogo napokea marahabaaa ingawa salam yenyewe ya kikoloni.
Ninawauliza sasa wanene na wembamba wafupi na warefu hii kesi ya hawa viumbe wa Mungu ilifanyiwa HITIMISHO lipi?
Tushirikiane kumaliza mkasa huu, tusiwe na ahadi hewa kama kile Chama Cha Mapromisi. Naifufua rasmi kesi hii.
 
Wangapi wanasema ndiyoooo?
Wangapi wanasema siyoooo?

Watakuja wenyewe! Bahati mbaya maamuzi yanafanywa na wana chitachat.
La msingi tunahitaji busara zitumike maamuzi yafikiwe salama na atakayenyang'anywa id aridhike kwa moyo mweupe. Ningependekeza anayeshiriki mara nyingi kupewa kipaumbele
 
Waliosema ndiyoo wameshinda! Hoja ya Mungi imeungwa mkono. Arushaone nabaki kuwa hivyohivyo na wengine wanapaswa kubadili majina.. Arusha one hakuna muongozo.. kila mara unataka muongozo wanini? KATIBU kinachofuata..Hoja za wabonge.. Waheshimiwa..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom